Kesi ya Ufisadi Korea Kusini, Aliyekuwa Rais wa nchi hiyo akamatwa

_95400135_a7c4deaf-94e1-4d28-8752-9554df5a771e

Aliyekuwa rais wa Korea Kusini Park Geun-hye amekamatwa kuhusiana na madai ya rushwa ambayo yalisababisha kuondolewa kwake madarakani.

Waendesha mashtaka wanaweza kumuweka mahabusu kwa muda wa hadi siku 20 kabla ya kumfungulia mashtaka rasmi.

Rais huyo wa zamani wa Korea Kusini anakabiliwa na madai ya kushirikiana na rafiki yake aliyewalazimisha wafanya biashara wakubwa kutoa fedha kwa lengo la kujinufaisha wenyewe.

Mahakama ya mjini Seoul imesema imeidhinisha kukamatwa Park Geun-hye kwa...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa rais wa Korea Kusini afikishwa mahakamani kuanza kesi

Rais wa zamani wa Korea Kusini, Park Geun-Hye amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza mjini Seoul kwa tuhuma za ufisadi.

 

2 years ago

Channelten

Nyambizi ya Marekani inayotumia kawi ya nyuklia imewasili nchini Korea Kusini katika bandari ya Busan kusini mwa nchi hiyo, linasema jeshi nchini humo

1

Nyambizi ya Marekani inayotumia kawi ya nyuklia imewasili nchini Korea Kusini katika bandari ya Busan kusini mwa nchi hiyo, linasema jeshi nchini humo.
Runinga ya YTN inaripoti kwamba nyambizi hiyo haitarajiwi kushiriki kwenye mazoezi yoyote ya kijeshi au oparehsni lakini ni ujumbe wazi wa Korea kaskazini ambayo imekuwa ikifanya majaribio ya makombora yake ya nyuklia.

Meli hiyo kwa jina USS Michigan, ambayo ina uwezo wa kushambulia kwa makombora, inatarajiwa kujiunga na kundi jingine la...

 

3 years ago

BBCSwahili

Rais wa Korea Kusini alihusika kwenye ufisadi

Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini, wamegundua kwamba Rais Park Guen Hye, alihusika na kashfa ya ubadhirifu wa pesa za umma inayomkabili rafiki yake wa mda mrefu Choi Sun-Sil.

 

2 years ago

Channelten

Kashfa ya Rushwa, Aliyekuwa rais wa Korea ya kusini kukamatwa

korea-2_2432390b

Waendesha mashtaka wamesema wataomba idhini ya kumkamata aliyekuwa rais wa taifa hilo Park Geun-hye, kutonana na kashfa ya ulaji rushwa inayomkabili nchini humo.

Bo Park alipoteza kinga ya rais dhidi ya kufuunguliwa mashtaka mapema mwezi huu na akaondolewa rasmi madarakani baada ya mahakama ya kikatiba kuidhinisha uamuzi wa bunge wa kumng’oa

Bi Park anatuhumiwa kumruhusu rafiki yake wa karibu Choi Soon-sil kudai pesa kwa lazima kutoka kwa kampuni kubwa nchin humo.

Rais huyo wa zamani...

 

2 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa rais Korea Kusini Park Geun-hye 'kukamatwa'

Waendesha mashtaka wamesema wataomba idhini ya kumkamata aliyekuwa rais wa taifa hilo Park Geun-hye, kwa mchango wake katika kashfa ya ulaji rushwa nchini humo.

 

2 years ago

Bongo5

Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye akamatwa

Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye,aliyeondolewa madarakani mapema mwaka huu, amekamatwa Ijumaa hii.

Kwa mujibu wa jaji, kukamatwa kwa Bi. Park kumetokana na hofu kuwa anaweza kujaribu kuharibu ushahidi wa makosa anayotuhumiwa. Waendesha mashtaka walitangaza Jumatatu kuwa walikuwa wakifuatilia kukamatwa kwake kwa mashtaka yanayohusiana na kutumia vibaya madaraka, ufisadi na kuvujisha taarifa muhimu.

Park alikuwa ameshikiliwa kwa muda katika ofisi maalum za mwendesha mashtaka wa ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani Korea Kusini Park Geun-hye akamatwa

Alisafirishwa kwa gari hadi kwenye kituo cha kuwazuilia watuhumiwa wa uhalifu kusini mwa Seoul baada ya mahakama kuidhinisha kukamatwa kwake.

 

2 years ago

BBCSwahili

Park Geun-hye: Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini ashtakiwa kuhusu rushwa

Rais wa South Korea aliyeondolewa mamlakani Park Geun-hye ameshtakiwa rasmi kuhusiana na kashfa ya rushwa iliyopelekea kung'atuliwa kwake uongozini.

 

2 years ago

Channelten

Jaribio la Kombora Korea Kaskazini, Rais Donald Trump ataka nchi hiyo kuwekewa vikwazo vigumu zaidi

article-2571912-18A6CC6C000005DC-183_634x421-620x400

Rais wa Marekani Donald Trump ametaka kutangazwa vikwazo vigumu zaidi kwa nchi ya Korea Kaskazini baada ya nchi hiyo kufanya jaribio jingine la kombora la masafa marefu, jaribio linaloonekana kama ni kuupima utawala mpya wa Korea Kusini ambao hauna msimamo mkali dhidi yake.

Kombora hilo limeripotiwa kusafiri umbali wa kilometa 700 kabla ya kuangukia kwenye pwani ya bahari ya Japan upande wa mashariki.

Rais Trump amesema kombora hilo lililipuka jirani kabisa na ardhi ya Urusi na hadhani kama...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani