Kesi ya Wema na wenzake kuunguruma Agosti Mosi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itaanza kusikiliza kesi ya aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu na wenzake ifikapo Agosti Mosi mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

KESI YA MBOWE NA WENZAKE KUUNGURUMA APRILI 16

Upande wa mashtaka wa kesi inayowakabili viongozi saba wa Chadema, akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iruhusu kesi hiyo isikilizwe kwa haraka, ikiwezekana jambo hilo kuanza kesho.

Wakili huyo wa Serikali, Faraja Nchimbi amesema msingi wa maombi hayo ni kutokana nai upelelezi kukamilika.

Amesema sababu nyingine ni kwamba washtakiwa wengi katika kesi hiyo ni wabunge na kwa kuwa kesi hiyo inavuta watu wengi ni vema ikasikilizwa haraka.

"Kwa...

 

2 years ago

Mwananchi

Kesi ya Yericko Nyerere kuunguruma Agosti 7

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itaanza kuzisikiliza kesi za uchochezi zinazomkabili mfanyabiashara Yericko Nyerere  Agosti 7 mwaka huu.

 

2 weeks ago

Michuzi

KESI YA MBOWE NA WENZAKE YAENDELEA KUUNGURUMA MAHAKAMA YA KISUTU

Na Karama Kenyunko, Michuzi TvSHAHIDI wa Tatu katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi Tisa wa Chadema, ameieleza mahakama kuwa alimshuhudia Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe akichukua kipaza sauti  na kutoa tamko la kuwashinikiza  viongozi wenzie na wafuasi wa Chadema kuandamana kuelekea katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kuchukua barua.
Shahidi huyo, E 6976 Koplo Rahimu Msangi, ameeleza hayo leo, Mei 15, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba wa ...

 

2 years ago

Bongo Movies

Kesi ya Wema Sepetu Yaanza Kuunguruma Mahakamani

Kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya inayomkabili malkia wa filamu nchini Wema Sepetu na wenzake wengine wawili imeendelea tena mchana wa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kuahirishwa mapema leo asubuhi.

Katika kesi hiyo imeonekana kuanza kuwavutia watu kutokana na ushindani wa vifungu vya sheria kutoka kwa mawakili wa upande wa washtaki na ule wa washtakiwa.

Mahakama imeanza kusikiliza ushahidi wa kwanza kutoka kwa upande wa Jamuhuri ambao ndio...

 

1 year ago

Michuzi

KESI YA WEMA SEPETU KUUNGURUMA FEBRUARI 26 MWAKA HUU

 Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.
Shahidi wa pili wa Upande wa Mashtaka katika kesi ya kutumia dawa za kulevya  inayomkabili msanii Wema Sepetu ameieleza  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliijaza fomu ya kupima sampuli ya mkojo wa Wema, kabla hajamfanyia vipimo.
Aidha Shahidi huyo, Inspekta Wille, alidai kuwa hajawahi kupeleka sampuli za mkojo  za washtakiwa Angelina Msigwa  na Matrida Seleman Abbas ambao ni wafanyakazi wa Wema kwenda kuchunguzwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kuhusu...

 

5 years ago

Michuzi

Kesi inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco,Willam Mhando na Wenzake kusikilizwa Agosti 26

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imesema itaanza kusikiliza ushahidi wa upande wa Jamhuri dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, Agosti 26, mwaka huu.
Mhando na wenzake wanakabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.
Kesi ilipangwa kusikilizwa ushahidi huo, Julai 29 na 30, mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi...

 

2 years ago

Bongo Movies

Kesi ya Wema Sepetu Kusikilizwa Juni Mosi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeambiwa kwamba upelelezi wa kesi ya kukutwa na bangi inayomkabili Muigizaji maarufu, Wema Sepetu na wenzake umekamilika.

Hatua hiyo imefikiwa leo  ambapo upande wa Jamhuri mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba alisema kwamba upelelezi umekamilika dhidi ya msanii huyo na wakili wa Serikali Helleni Mushi ameomba kesi hiyo kuarishwa leo na kupangwa tarehe ya kuanza kusikilizwa ili watuhumiwa waanze kusomewa maelezo ya awali.

Katika...

 

2 years ago

Bongo Movies

Uamuzi pingamizi kesi ya Wema kutolewa Agosti 31

Dar es Salaam. Uamuzi wa kupokea au kutopokea kielelezo cha ushahidi cha msokoto mmoja wa bangi na vipisi viwili vya bangi katika kesi inayomkabili mlimbwende wa Tanzania 2006, Wema Sepetu utatolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mwisho wa mwezi huu.

Wema Sepetu akiwa na mama yake mahakamani hivi karibuni

Hakimu Mkazi Mkuu,Thomas Simba amesema uamuzi huo ulipaswa autoe leo, lakini bado kuna tafiti anazifanya, hajakamilisha hivyo aliuahirisha hadi Agosti 31,2017.

Hata hivyo, baada ya...

 

2 years ago

Michuzi

USHAHIDI KESI YA WEMA SEPETU NA WENZAKE BADO HAUJAKALIMIKA, KUSIKILIZWA TENA APRILI 11

Miss Tanzania 2006 na Msanii wa Filamu  Wema Sepetu akiwasili  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es salaam leo alipofika kusikiliza kesi inayomkabili ya kukutwa na dawa za kulevya. Upelelezi wa kesi hiyo inayomkabili Wema Sepetu na wenzake wawili haujakamilika, na kesi hiyo imeahirishwa hadi Aprili 11 mwaka huu.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani