Kesi ya William Mhando na wenzake wa Tanesco MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu yawaachia huru

Mhando-768x516

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando na wenzake wa nne, waliokuwa wakikabiliwa na mashitaka sita ambayo ni matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.

Mbali na Mhando, washtakiwa wengine ni anayedaiwa kuwa mke wake, Eva Mhando, ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Santa Clara Supplies, Wahasibu Wafawidhi wa Tanesco, France Mchalange, Sophia...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

BREAKING NYUUUUZZZ:MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU YAWAACHIA HURU MASAMAKI NA WENZAKE WATANO


Karama Kenyunko-Globu ya Jamii.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru aliyekuwa Kamishna wa TRA, Tiagi Masamaki na Wenzake watano waliokuwa wakishtakiwa na makosa ya uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya sh. Bilioni 12.7.

Washtakiwa hao wameachiwa na Hakimu Mkazi Huruma Shahidi baada ya upande wa mashtaka uliokuwa ukiongozwa na wakili wa Serikali Mwandamizi, Timon Vitalis kuiomba mahakama kufanya hivyo chini ya kifungu cha 91(1) ya makosa ya jinai (CPA)  kuwa DPP...

 

3 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco william Mhando aachiwa Huru na mahakama ya Kisutu.

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, William Mhando (kushoto) akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Jana , ambapo alisomewa shitaka la matumizi mabaya ya madaraka. (Picha na Maktaba).
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mkewe Eva Mhando na mtoto.
Mhando na wenzake walikuwa wanashitakiwa kwa makosa sita likiwemo la matumizi mabaya ya ofisi, hivyo...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Masogange ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ ameachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kulipa faini ya Shilingi Milioni 1.5.

Masogange alihukumiwa miaka 3 jela ama alipe faini ya Milioni 1.5 baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepam.

Msanii huyo alikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Februari 15, 2017, akituhumiwa kuhusika na biashara na matumizi ya madawa ya kulevya.

Masogange alikuwa miongoni mwa watu maarufu waliotajwa...

 

2 years ago

Michuzi

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Yamuachia huru mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfed Lwakatare

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfed Lwakatare baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Kuwasilisha hati ya kuondoa shauli hilo kwa kuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yake.
Lwakatare ambaye kesi yake imedumu kwa zaidi miaka minne alikuwa akikabiliwa na tuhuma za kula njama kutenda kosa
Akiwasilisha hati hiyo mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba, wakili wa serikali mwandamizi, Mutalemwa Kishenyi ameeleza kuwa wanaomba kesi hiyo iondolewe chini ya...

 

3 years ago

MillardAyo

Breaking: Mahakama Dar imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco William Mhando na mkewe

breaking-news-1

Kesi iliyokuwa ikiwakabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke wake Eva Mhando, wameishinda leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo walikuwa wakituhumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Mhando alikuwa anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka kwa kuipa zabuni Kampuni ya […]

The post Breaking: Mahakama Dar imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco William...

 

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU YASHINDWA KUSIKILIZA KESI YA AGNES MASOGANGE

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu imekwama kusikiliza kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili video Queen, Agnes Gerald 'Masogange' kwa sababu ana tatizo la kiafya.

Hayo yameelezwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri baada ya wakili wa serikali, Costantine Kakula kueleza shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya kusikilizwa.

Hata hivyo, wakili wa Masogane, Ruben Simwanza alimueleza Hakimu kwamba mteja wake anaumwa hivyo anaomba kesi iahirishwe.

Hakimu Mashauri aliahirisha kesi...

 

2 years ago

Michuzi

YUSUF MANJI ANA KESI YA KUJIBU - MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU

Mhakama ya hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo imetoa uamuzi kwamba mfanyabiashara  Yusuf Manji ana kesi ya kujibu katika shtaka linalomkabiri la matumizi ya dawa za kulevya aina ya heroini.

Taarifa kamili yaja baada ya muda.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa maamuzi kesi ya Wema Sepetu April 23

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajiwa kutoa maamuzi kuhusu kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya inayomkabili Muigizaji Wema Sepetu, Aprili 23 mwaka huu.

Mahakama hiyo inatarajiwa kutoa maamuzi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya kupitia ushahidi uliotolewa na mashahidi watano wa upande wa mashtaka na kuanika iwapo Wema Sepetu na wenzake wawili kama wana kesi ya kijibu au la.

Wengine wanaokabiliwa na kesi hiyo ni Angelina Msigwa na Matrida Seleman Abbas ambao wote kwa...

 

2 years ago

Channelten

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imemkuta Mfanyabishara Yusuph Manji na kesi ya kujibu

1

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imemkuta Mfanyabishara Yusuph Manji na kesi ya kujibu kuhusu tuhuma za kutumia Dawa za kulevya aina ya Heroin. Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi mfawidhi Cyprian Mkeha mapema leo.

Hakimu Mkeha amesema ameridhika na ushahidi wa upande wa Jamhuri na kwamba mshitakiwa ana haki ya kujitetea kutokana na mkojo wake kukutwa dawa aina ya Morphine ambayo zao lake ni Heroin

Baada ya kuelezwa hayo Wakili wa Utetezi Hudson Ndusyepo alidai kuwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani