Kesi ya Zitto: Shahidi asema ‘nawachukia polisi’

SHAHIDI wapili kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, analichukia Jeshi la Polisi kutokana na matendo ya ukatatili kwa raia. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Leo tarehe 16 Mei2019, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shahidi, upande wa serikali uliongozwa na Wakili Mkuu ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

MwanaHALISI

Shahidi kesi ya Zitto amtaja Lissu

SHAHIDI wa tatu, Shabani Hamis (40) kwenye kesi  Na. 327/2018 ya uchochezi inayomkabili Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameieleza mahakama kwamba, tukio la kushambuliwa Tundu Lissu limefanya azidi kulichukia Jeshi la Polisi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, alishambulia ...

 

3 years ago

MillardAyo

Shahidi akwamisha Kesi ya IPTL dhidi ya Zitto

Zitto-Kabwe

Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ilifungua kesi ya madai ya fidia ya Sh. bilioni 500  Mahakama kuu, kanda ya Dar es Salaam dhidi ya Zitto Kabwe. IPTL pamoja na wadai wenzake waliiomba mahakama imwamuru Zitto kulipa fidia hiyo kwa madai ya kutoa kashfa dhidi yao kimaandishi Kesi hiyo dhidi ya Zitto Kabwe […]

The post Shahidi akwamisha Kesi ya IPTL dhidi ya Zitto appeared first on MillardAyo.Com.

 

1 month ago

MwanaHALISI

Kesi ya Zitto: Shahidi akiri vurugu za Uvinza

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi Na 327 ya 2018 ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Leo tarehe 25 Aprili mwaka 2019 mahakama hiyo ilishuhudia shahidi wa kwanza wa upande wa mashitaka, SSP John Malulu akikabiliana ...

 

1 week ago

MwanaHALISI

Shahidi kesi ya Zitto: Shambulio la Lissu limenifanya nichukue Polisi

SHAHIDI wa tatu, Shabani Hamis (40) kwenye kesi  Na. 327/2018, ya uchochezi inayomkabili Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameieleza mahakama tukio la kushambuliwa, Tundu Lissu limefanya azidi kulichukia Jeshi la Polisi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Lissu ni Mbunge wa Singida Mashariki aliyeshambulia siku ya Septemba 7, 2017 Area ‘D’ jijini Dodoma na ...

 

2 years ago

Bongo Movies

Shahidi Kesi ya Wema Asema Bangi Ilikutwa Jikoni

SHAHIDI upande wa serikali kesi ya Wema Sepetu kutuhumiwa kutumia madawa ya kulevya amesema msokoto wa bangi ulikutwa ukiwa kabatini jikoni kwake.

Wema Sepetu akitoka nje ya Mahakama ya Hakimu MKaziKisutu Dar.

Hayo yamesemwa na ofisa wa ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Inspekta Willy akimweleza Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, wakati akiongozwa na Wakili wa Serikali, Constantine Kakula.

Inspekta Willy anakumbuka Februari 4, mwaka huu aliitwa na mkuu wake wa kazi na...

 

4 years ago

Mwananchi

KESI YA MSUYA: Shahidi asema mwili ulikuwa na majeraha 26 ya risasi

Mwili wa mfanyabiashara tajiri wa Mererani aliyeuawa kwa kupigwa risasi, Erasto Msuya, ulikuwa na majeraha 26 ya risasi yaliyosababisha mfumo wa damu na upumuaji kusimama.

 

1 week ago

MwanaHALISI

Shahidi wa Jamhuri: Nyaraka hizi alisaini Zitto

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi Na. 237/2018 ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea).  Leo tarehe 17 Mei, 2019, shahidi wa nne upande wa Jamhari ameelezwa kuwa ni Inspekta Salum Seif Masoud, mpelelezi kwenye Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, Mkoa ...

 

2 years ago

Mwananchi

Shahidi akwamisha kesi ya Scorpion

 Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njetwe maarufu ‘’Scorpion’’  imeshindwa kuendelea kusikilizwa baada ya upande wa mashtaka  kudai shahidi ambaye walimtegemea kuendelea kuulizwa maswali na wakili anayemtetea Scorpion, kuwa  bado ni mgonjwa.

 

3 years ago

Habarileo

Shahidi asema dereva hakuwa makini ajali ya Bisimba

POLISI kutoka Kituo cha Polisi Selander Bridge, Koplo Salehe (46) ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala kuwa ajali ya gari iliyosababisha majeraha ya watu wanne, akiwemo Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRS) Dk Hellen Bisimba, ilisababishwa na kutokuwa makini kwa dereva.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani