Kesi za mafisadi kutozidi miezi 9

JAJI Mkuu, Mohammed Chande Othman, amesema Mahakama Maalumu ya Uhujumu Uchumi na Ufisadi itaamua kesi kwa muda usiozidi miezi tisa na kwamba itaanza na majaji 14.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Kesi mahakama za mafisadi chapuchapu

Mafunzo ya majaji katika kuendesha Mahakama ya Mafisadi yakiwamo ya kanuni za uendeshaji yamekamilika, huku muda wa kusikiliza na kukamilisha mashauri ukiwa usiozidi miezi tisa.

 

3 years ago

Mwananchi

Mahakama ya Mafisadi kuanza na zigo la kesi

Mahakama ya Mafisadi inayotarajiwa kuanza hivi karibuni, itaanza na mzigo wa kesi zilizopo kuendeshwa kwa kusuasua.

 

2 years ago

Mwananchi

Jalada la kesi dhidi ya ‘Mpemba’ kuhamishiwa mahakama ya mafisadi

Jalada la kesi ya kujihusisha na mtandao wa kihalifu na kukutwa na nyara za Serikali zenye thamani ya zaidi ya Sh785 milioni inayomkabili Yusuf Ali Yusuf ‘Mpemba’ aliyetajwa na Rais John Magufuli ipo kwenye maandalizi ya kuhamishiwa Mahakama ya Kuu Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi.

 

2 years ago

Michuzi

KESI YA MENO YA TEMBO INAYOMKABIRI YUSUF ALI ALMAARUFU MPEMBA WA MAGUFULI KUPELEKWA MAHAKAMA YA MAFISADI


Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, hati ya mashtaka ya kesi ya kujihusisha na biashara ya meno ya tembo dhidi ya mfanyabiashara Yusuf Alli maarufu kama mpemba wa Magufuli’ inatarajiwa kupelekwa Mahakama ya mafisadi.

Hayo yameelezwa na wakili wa serikali, Elia Athanas mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kesi hiyo ilipokuja kwa kutajwa. "Mheshimwa, jalada la kesi hii limekamilika, hivyo naomba muda ili wapeleke hati ya mashtaka...

 

3 years ago

Mwananchi

Kesi za ufisadi kutumia miezi 9

Takriban siku 88 zikiwa zimepita tangu Bunge lipitishe muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali ikiwamo kuanzisha Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imefahamika sasa kesi za watuhumiwa ufisadi hazitachukua zaidi ya miezi tisa katika Mahakama hiyo.

 

4 years ago

Mwananchi

Winga mafisadi

Ninapanda jukwaani, ni kero nimekereke, Haya yataisha lini, au yanaimarika, Kwanuka kote nchini, Wakenya tunanung’unika, Tushike misu na ngao, tuwawinge mafisadi.

 

3 years ago

Uhuru Newspaper

Watumishi mafisadi kitanzini Serikali yaibuka na mwongozo mpya Tume ya Maadili yapewa meno makali
NA WILLIAM SHECHAMBO
SERIKALI imeendelea na mikakati ya kuwadhibiti viongozi wa umma wanaokiuka maadili na kushiriki kwenye vitendo vya wizi na ufisadi, ambapo sasa imeunda mwongozo mpya utakaotumika kuwabana.
Mwongozo huo ambao unatajwa kuwa suluhisho na mwarobaini wa watumishi wezi na wanaokwenda kinyume, pia utaipa meno zaidi ya kiutendaji, Sekretari ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tofauti na ilivyo sasa.
Kwa sasa sheria na...

 

4 years ago

Mwananchi

Msirubuniwe na mafisadi - Dk Magufuli

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amewatahadharisha wananchi kuwa makini siku ya kupiga kura, akiwataka wasikubali kurubuniwa na mafisadi akidai wana wasiwasi kuwa endapo ataingia Ikulu, atawashughulikia.

 

4 years ago

Raia Tanzania

Magufuli: Mafisadi kukiona

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli (55), amewaahidi Watanzania kuwa atawatumikia pasipo kujali itikadi zao za kisiasa na kwamba endapo atakuwa Rais, serikali yake haitavumilia wazembe, wala rushwa na wabadhirifu.

Akizungumza katika nyakati tofauti baada ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kuwa mgombea wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Magufuli alisema amepokea kitendo hicho kwa unyenyekevu mkubwa na kwamba hatawaangusha...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani