Kesi za ufisadi kutumia miezi 9

Takriban siku 88 zikiwa zimepita tangu Bunge lipitishe muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali ikiwamo kuanzisha Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imefahamika sasa kesi za watuhumiwa ufisadi hazitachukua zaidi ya miezi tisa katika Mahakama hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Habarileo

Kiwango kesi za ufisadi kupunguzwa

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema serikali inatarajia kujadili kushusha kiwango cha fedha kinachohusika katika makosa ya rushwa na uhujumu uchumi kwenye mahakama ya mafisadi ili kukomesha vitendo vya rushwa.

 

3 years ago

Habarileo

Kesi za mafisadi kutozidi miezi 9

JAJI Mkuu, Mohammed Chande Othman, amesema Mahakama Maalumu ya Uhujumu Uchumi na Ufisadi itaamua kesi kwa muda usiozidi miezi tisa na kwamba itaanza na majaji 14.

 

3 years ago

Ippmedia

Wakuu wa nchi za EAC wamekubaliana kutumia miezi 3 zaidi kutafakari.

Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wamekubaliana kutumia miezi mitatu zaidi kutafakari namna mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati yake na umoja wa Ulaya utakavyoweza kuwanufaisha.

Station: ITV

 

3 years ago

Mtanzania

Ndugai atajwa kesi ya ufisadi Ngorongoro

ndugai (1) NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

SPIKA wa Bunge Job Ndugai ametajwa katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA),  upotevu  wa Dola za Marekani 66,890 sawa na Sh. Milioni 133.7

Washitakiwa katika kesi hiyo ni Mhifadhi Mkuu wa zamani wa NCAA, Benard Murunya ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Meneja wa Utalii wa NCAA Veronica Funguo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Cosmas ya Uwakala wa Usafirishaji Salha Issa.

Kesi hiyo...

 

11 months ago

Malunde

SERIKALI YATANGAZA KUTUMIA KIFAA MAALUMU KUFICHUA WATU WAONGO VITA YA UFISADI

Maafisa wakuu wa serikali ya Kenya watalazimika kupimwa kwa kutumia kifaa cha kuwafichua watu waongo ikiwa ni miongoni mwa harakati za kukabiliana na ufisadi , rais Uhuru Kenyatta amesema.
Bwana Kenyatta alisema kuwa kifaa hicho ambacho kitafichua maadili ya wafanyikazi ni miongoni mwa mikakati ya kukabiliana na tatizo hilo.
Alikuwa akizungumza baada ya kufichuliwa kwamba shilingi dola bilioni 8 za Kenya zilipotea katika kitengo kimoja cha serikali.
Takriban wafanyikazi 40 wa umma wanakabiliwa...

 

3 years ago

Global Publishers

Jeshi la Polisi: Kesi 23 za Ufisadi Zipo kwa DPP

1.Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kamishna Diwan Athuman akisoma taarifa yake.-001Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kamishna Diwani Athumani, akisoma taarifa.
2.Mkurugenzi wa mashtaka DPP, Biswalo,E.Mganga ( katikati) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari baada ya kupokea maswali yaliyokuwa yakiulizwa.-001Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga (katikati) akitoa ufafanuzi kwa wanahabari waliouliza maswali.
3.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya JInai,Kamishna Diwan Athuman,Mkurugenzi wa Mashtaka,DPP Biswalo,E.Mganga na Mkurugenzi wa Upelelezi wa TAKUKURU, Alex Mfungo.-001Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kamishna Diwani Athumani, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga na Mkurugenzi wa Upelelezi wa TAKUKURU, Alex Mfungo.
4.Mkutano na wanahabri ukiendelea.-001Mkutano na wanahabari ukiendelea.
5.Wanahabri wakichukua tukio hilo.-001Wanahabari wakiwa na zana zao za kazi.

IDARA ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini kwa...

 

2 years ago

RFI

Mahakama maalum ya kusikiliza kesi za ufisadi yazinduliwa nchini Kenya

Mahakama maalum ya kusikiliza kesi zinazohusu tuhma za ufisaidi nchini Kenya, imezinduliwa rasmi jijini Nairobi.

 

2 years ago

Channelten

Kesi ya Ufisadi Korea Kusini, Aliyekuwa Rais wa nchi hiyo akamatwa

_95400135_a7c4deaf-94e1-4d28-8752-9554df5a771e

Aliyekuwa rais wa Korea Kusini Park Geun-hye amekamatwa kuhusiana na madai ya rushwa ambayo yalisababisha kuondolewa kwake madarakani.

Waendesha mashtaka wanaweza kumuweka mahabusu kwa muda wa hadi siku 20 kabla ya kumfungulia mashtaka rasmi.

Rais huyo wa zamani wa Korea Kusini anakabiliwa na madai ya kushirikiana na rafiki yake aliyewalazimisha wafanya biashara wakubwa kutoa fedha kwa lengo la kujinufaisha wenyewe.

Mahakama ya mjini Seoul imesema imeidhinisha kukamatwa Park Geun-hye kwa...

 

4 months ago

RFI

Khawar Qureshi kusimamia kesi za ufisadi zinazowahusu viongozi mashuhuri Kenya

Ofisi ya mwendesha mashtaka nchini Kenya, imemteua Wakili maarufu nchini Uingereza Khawar Qureshi, kusimamia kesi za ufisadi zinazowahusu viongozi mashuhuri nchini humo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani