Kichuya aukubali usajili wa Simba wa nyota kama Bocco, Kapombe na Manula

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya amesema anaamini timu yake itafanya vizuri kutokana na usajili inaofanya.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba

Golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaichezea Kagera Sugar ya Bukoba Juma Kaseja alikuwa ni mmoja kati ya wageni waliyoalikwa katika kipindi cha Sports Bar cha Clouds TV kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na soka la Tanzania. Juma Kaseja kama moja ya wachezaji wenye uzoefu ambao wamewahi kucheza vilabu vya […]

The post Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

Malunde

MANULA, KICHUYA WAPEWA NJUMU ZA SH 500,000

NYOTA wawili wa kutumainiwa wa klabu ya Simba, Mlinda mlango Aishi Manula pamoja na kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya, wamepokea viatu vyenye thamani ya Sh 500, 000 kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo.

Wawili hao walikabidhiwa viatu hivyo aina ya CR7 Mercurial kutoka kampuni ya Nike, mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Lipuli, ulioisha kwa sare ya bao 1-1 uliopigwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa viatu hivyo, Manula alisema...

 

5 years ago

GPL

Nyota Simba waomba usajili Yanga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akihojiwa na wanahabari. Na Wilbert Molandi
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, baadhi ya wachezaji wa Simba wamepiga hodi kwenye Klabu ya Yanga na kuomba kusajiliwa na timu hiyo. Usajili wa ligi kuu unatarajiwa kufunguliwa Juni 16 na kumalizika mapema Agosti, mwaka huu.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya uongozi wa Yanga, wengi wa… ...

 

4 years ago

Mwananchi

USAJILI: ‘Simba, Yanga zinajengea nyumba nyota’

>Winga wa zamani wa Simba, Ulimboka Mwakingwe amesema sasa ndiyo wakati wa Yanga na Simba kuwajengea nyumba wachezaji.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Bocco tayari! Sasa ni Aishi na Kapombe

SIMBA imemalizana na straika wa Azam, John Bocco na sasa wana kazi moja ya kuwang’oa kipa Aishi Manula, ambaye ni kipa bora wa msimu uliopita na kiraka Shomary Kapombe.

 

3 years ago

Mwananchi

‘Kama Manula tungepigwa 10’

Nyota wa zamani wa Yanga na Tanzania, Kitwana Manara amesema kama si umakini wa kipa Aishi Manula, Taifa Stars ingeweza kufungwa hata mabao 10-0 kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Nigeria.

 

2 years ago

Mwanaspoti

HISIA ZANGU: Ninawaza...sijui kama Msuva, Kichuya watajivua gamba kama Ronaldo

WAKATI Chama cha Mapinduzi, CCM kitakapotimiza miaka 41 itakapofika Februari 5 mwakani, siku hiyo hiyo Cristiano Ronaldo atakuwa anatimiza miaka 33. Usimwone anafunga, umri umemtupa. Bahati nzuri hakudanganya miaka yake.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Manula asaini rasmi Simba

       HABARI njema kwa mashabiki wa Simba ni kwamba kipa bora zaidi nchini kwa sasa, Aishi Manula, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo akimfuata straika, John Bocco ambaye kitambo kamwaga wino.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Manula kuibukia Simba kesho

Kipa Aishi Manula anatarajia kujiunga na Simba kesho katika kambi Eden Vale, Johannesburg, Afrika Kusini  kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani