KIDAO KUHUDHURIA SEMINA YA FIFA NCHINI MALAWI.

Na Agness Francis, Michuzi Tv.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Kidao Wilfred pamoja na Mkurugenzi wa Mashindano TFF Salum Madadi wanatakiwa  kushiriki kwenye semina ya FIFA ya siku mbili huko nchini Malawi. 

Uongozi wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) umetanabaisha kuwa semina hiyo itakayofanyika Blantyre nchini  humo ambayo inatarajia kuanza leo  Mei 15 na kumalizika kesho Mei 16 mwaka huu itahusiana na miundo mbinu

Uongozi huo umesema kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAMIA YA WANAWAKE WAJITOKEZA KUHUDHURIA SEMINA YA MWANAMKE NA AKIBA

Katika kuitikia wito uliotolewa jana na Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilali wakati akifungua Tamasha la kwanza la kipekee kwa ajili ya wanawake na vijana lililopewa jina la Mwanamke na Akiba, mamia wa kinamama na vijana kutoka maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam na mkoa wa Pwani, leo walijitokeza kuhudhuria Semina ya Mwanamke na Akiba inayoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Dar Live.
Akizungumza katika Semina hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Bi Naima Malima...

 

2 weeks ago

Michuzi

WAZIRI MKUCHIKA AWATAKA WAAJIRI KUWAPA RUHUSA MAKATIBU MAHSUSI KUHUDHURIA SEMINA NA VIKAO

WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala bora, George Mkuchika amewataka waajili kuwapa ruhusa makatibu mahsusi kuhudhuria semina na vikao, kwani kutokufanya hivyo wanarudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Mkuchika ameyasema hayo leo wakati akifungua mkutano mkuu wa saba wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) unaofanyika jijini Arusha na kuwaambia kuwa wao kama Serikali wanaadaa waraka kwa waajili hao kuona umuhimu wa kuwapa ruhusa makatibu hao mahtasi.
Amesema kuwa mwajili hatakiwi...

 

2 years ago

Michuzi

KIDAO WILFRED KAIMU KATIBU MKUU TFF

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imepitisha jina la Kidao Wilfred kuwa Kaimu Katibu Mkuu.
Kidao ambaye ni mchezaji wa zamani wa Taifa Stars ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha Makocha Tanzania (TAFCA), ameteuliwa rasmi jana Agosti 22, 2017 na Kamati ya Utendaji ya TFF. Wasifu wa Kidao utawajia punde.

 

2 years ago

BBCSwahili

Balozi wa Korea Kaskazini nchini Malaysia bado hajaondoka nchini Malawi hata baada ya kupewa saa 48 kuondoka

Balozi wa Korea Kaskazini nchini Malaysia anakabiliwa na notisi ya kuondoka nchini humo kufuatia mgogoro kuhusiana na uchunguzi wa kifo cha Kim Jong nam nduguye wa kambo rais wa Korea kaskazini.

 

2 years ago

Ippmedia

Rais Magufuli ameanza kuhudhuria Mkutano wa 28 wa AU nchini Ethiopia

Day n Time: jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS DK SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA KUHUDHURIA MKUTANO WA IORA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  akiwa katika ukumbi wa watu mashuhuri,  baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno -Hatta Jakarta nchini humo, kuhudhuria Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (IORA) kumwakilisha Rais John Magufuli

 

2 years ago

Michuzi

RAIS JACOB ZUMA KUHUDHURIA KONGAMANO LA BIASHARA NCHINI MEI 11.

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma anatarajiwa kuhudhuria Kongamano la Biashara litakalofanyika kesho May 11 katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Katika Kongamano hilo, Mhe. Zuma ataongozana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, pamoja na Wafanyabiashara wakubwa kutoka nchi hizo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Kaimu...

 

4 years ago

Vijimambo

Rais Museveni awasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Jukwaa la Uongozi la Afrika

Rais wa Uganda, Mhe.Yoweri Kaguta Museveni akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Said Meck Sadiq mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere, tayari kwa kuhudhuria mkutano wa Jukwaa la Uongozi la Afrika unaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 30 na 31 Agosti, 2015Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Zuhura Bundala akisalimiana na Rais Museveni baada ya kuwasili uwanjani hapo .Mhe. Rais...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani