Kifo cha Kijana Anayedaiwa Kujirusha Ghorofani Jijini Mwanza Chaibua Utata

Wakazi wa jiji la Mwanza wamekumbwa na sintofahamu baada ya kijana mmoja asiyefahamika kusadikiwa kujirusha kwenye jengo la ghorofa ya tatu katika  hoteli ya Gold Crest iliyopo jijini humo.
Taarifa za awali za kifo cha kijana huyo zinaeleza kuwa baada ya kudondoka kutoka ghorofani, alipoteza maisha papo hapo.
Wakizungumza mapema asubuhi, wakazi wa mji wa Mwanza wameonyesha kusikitishwa na kifo cha kijana huyo anayesadikiwa kuwa na umri kati ya miaka 25 hadi 30 ambae chanzo cha kifo chake...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUJIRUSHA KUTOKA KWENYE MNARA WA SIMU JIJINI MWANZA


Kijana Mmoja (pichani) ambaye jina lake halikupatikana kwa haraka, mkazi wa Jijini Mwanza amenusurika kifo baada ya kujirusha kutoka katikati moja ya minara wa simu iliopo jijini humo, mchana wa leo.

Tukio hilo limetokea hii leo na kuvuta watu wengi waliofika kumshuhudia kijana huo ambae amepanda katika mnara huo tangu majira ya asubuhi na kukatalia mnarani hadi majira ya saa sita mchana.

Mashuhuda wa tukio hilo ambao pia ni marafiki wa karibu na kijana huyo, wamesema huenda kijana huyo...

 

3 years ago

Mwananchi

Utata wagubika kifo cha kijana

Utata umegubika kifo cha mchimbaji mdogo wa madini, Elisha Musa (23) baada ya polisi kudai kwamba alifariki dunia baada ya kuanguka kwenye ngazi za kushuka mgodini huku mitandao ya kijamii ikidai amekufa kutokana na kupigwa na mwajiri wake raia wa China.

 

3 years ago

Global Publishers

Kifo cha Kijana Huyu Chazua Utata

AFIA NDANI (1)Wakazi wa jirani wakielekea eneo la tukio. AFIA NDANI (12)Maiti ya Kijana Bocho ikichukuliwa na Jeshi la Polisi.
AFIA NDANI (3)AFIA NDANI (4)….Wkimiminika eneo la tukio. AFIA NDANI (5)AFIA NDANI (6)   AFIA NDANI (9)AFIA NDANI (10)Wakazi wa Kwakopa, Kijitonyama wakitaharuki eneo la tukio.

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la utani la Bocho mkazi wa Kwakopa, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, amefariki dunia huku kifo chake kikionekana kuwa na utata kutokana na  mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Mistlipenga kuendelea na shughuli zake bila ya hofu yoyote.

Tukio hilo la ajabu...

 

2 years ago

Mwananchi

Si mara ya kwanza mgonjwa kujirusha ghorofani Muhimbili

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mgonjwa mmoja aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alijirusha kutoka ghorofani jana asubuhi na kujeruhiwa kichwani.

 

4 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa ugaidi ajaribu kujiua kwa kujirusha ghorofani

Mtu anayedaiwa kuwa mratibu wa matukio ya ugaidi, uporaji wa silaha na mauaji katika vituo vya polisi , Ally Ulature (60) amejeruhiwa baada ya kujirusha katika ghorofa  kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni azimio la kujiua  au kutoroka.

 

3 years ago

Mwananchi

Kifo cha Mashali utata mtupu!

Saa chache baada ya kifo cha bondia mwenye makeke na vituko vingi nje ya ulingo, Thomas Mashali, baba mzazi wa bondia huyo, Christopher Malifedha  (pichani chini) amefunguka na kueleza namna alivyoletewa taarifa za kifo cha mwanaye.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Utata maelezo kifo cha mshtakiwa wa ugaidi

WAKATI Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ikielezwa kuwa taratibu za mazishi ya mtuhumiwa wa pili katika kesi ya ugaidi ya tukio la mlipuko wa bomu katika Baa ya Arusha Night...

 

4 years ago

BBCSwahili

Utata wajitokeza kifo cha Meshack Yebei

Hali tata imezidi kujitokeza juu ya kifo cha mtu anayetajwa kuwa shahidi katika kesi inayomkabili Naibu Rais wa Kenya William Ruto

 

5 years ago

Mwananchi

Kifo cha meneja wa Ewura utata mtupu

>Wakati kukiwa na utata wa kifo cha Meneja wa Biashara ya Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), imebainika kuwa tofauti ya takwimu kati ya mamlaka hiyo na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), iliyotolewa kwenye Kamati ya Bunge ya Bajeti ni Sh25 bilioni.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani