Kifo cha Mandela:Maelfu waomboleza

Maombolezo ya Kiongozi wa kwanza wa Afrika kusini Nelson Mandela yaingia siku ya pili hii leo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Maelfu waomboleza kifo cha Papa Wemba

Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mjini Bukavu katika jimboni Kivu ya Kusini, wakazi wanaendelea kuomboleza kufuatia kifo cha mwanamuziki nguli wa muziki wa rumba Papa Wemba aliyefariki wiki moja iliyopita.

 

2 years ago

BBCSwahili

Maelfu waomboleza kifo cha 'Iron Lady' wa India Jayalalithaa Jayaram

Maelfu ya watu wamejitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwanasiasa mashuhuri nchini India, Jayalalithaa Jayaram.

 

5 years ago

BBCSwahili

Waomboleza kifo cha Nyani India

Wanakijiji 200 nchini India walinyoa nywele kama ishara ya kuomboleza kifo cha Nyani mmoja aliyekuwa akiishi akribu na hekalu.

 

3 weeks ago

MwanaHALISI

Wanasiasa, wasanii waomboleza kifo cha Dk. Mengi

MAMIA ya waombelezaji wameendelea kumiminika nyumbani kwa Dk. Reginald Mengi Hananasif, Kinondoni, jijini Dar es Salaam kutoa salamu za pole huku wakimuelezea marehemu kuwa aligusa mioyo ya watu wengi. Ananripoti Faki Sosi … (endelea). Mwili wa Dk. Mengi aliyefariki usiku ya kuamkia tarehe 2 Mei, 2019 jijini Dubai, Falme za Kiarabu, unatarajiwa kuwasili nchini Jumatatu ...

 

5 years ago

GPL

CHADEMA WAOMBOLEZA KIFO CHA DKT WILLIAM MGIMWA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi na Mbunge wa Kalenga, Dkt. William Mgimwa ambaye amefariki akiwa kwenye matibabu Afrika Kusini. Kwa masikitiko makubwa CHADEMA kinatuma salaam za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa kuondokewa na msaidizi wake wa karibu na mtumishi mwenzake serikalini. Chama kinatoa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Uzbekistan waomboleza kifo cha rais Islam Karimov

Watangazaji waandamizi wa runinga ya taifa na viongozi wakuu wa serikali nchini Uzbekistan wametuma ujumbe wa tanzia katika mitandao ya kijamii kufuatia kuzagaa kwa uvumi kuwa rais Islam Karimov ameaga dunia.

 

3 years ago

BBCSwahili

Raia wa Thailand waomboleza kifo cha mfalme Bhumibol

Maelfu ya waombolezaji wa Thai wanapanga foleni katika barabara za miji ya Bangkok ,wakiwa na matumaini ya kuuona mwili wa wa mfalme Bhumibol Adulyade

 

5 months ago

RFI

Wanyarandwa waomboleza kifo cha Shujaa wa mauaji ya kimbari

Raia wa Rwanda wanaomboleza kifo cha Zura Karuhimbi, mama aliyehatarisha maisha yake kwa kuwaficha zaidi ya watu 100 wakati wa mauaji kimbari mwaka 1994.

 

1 year ago

RFI

Watanzania waomboleza kifo cha mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale-Mwiru

Rais wa Tanzania John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Kingunge Ngombale-Mwiru.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani