KIGWANGALLA AAGIZA MSAKO MKALI KWA WALIOUA SIMBA TISA SERENGETI

Na Hamza Temba-Dodoma
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza Kikosi Kazi Dhidi ya Ujangili cha Taifa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Serengeti kuwasaka watu waliohusika na mauaji ya simba tisa katika kijiji cha Nyichoka, wilaya ya Serengeti mkoani Mara na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Dkt. Kigwangalla ametoa agizo hilo ofisini kwake Jijini Dodoma jana baada ya kupokea taarifa rasmi ya mauaji hayo ya kikatili yaliyoripotiwa hivi karibuni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Mwananchi

Msako mkali kwa waliochoma kambi

>Serikali imetangaza kuanza msako wa kuwatafuta viongozi wa kisiasa na watu wengine, waliopanga na kuratibu tukio la kuchoma moto Kambi ya Watalii ya Ndarakwai wilayani Siha.

 

2 years ago

Bongo5

Majambazi wanne walioua askari 8 Kibiti wauawa, msako waendelea

Jeshi la Polisi Tanzania limesema limewaua majambazi wanne ambao walikuwa ni sehemu ya kundi la majambazi lililowashambulia na kuwaua askari 8 wilayani Kibiti mkoani Pwana jana usiku.

Akiongea na waandishi wa habari Ijumaa hii, Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa jeshi hilo, Nsato Marijani amesema kuwa mara baada ya kundi hilo kuwashambulia askari, kikosi kingine cha askari kilifanya msako na kubaini maficho ya majambazi hao.

Amesema baada ya kuwabaini, yalifanyika mashambulizi ya...

 

4 years ago

GPL

JESHI LA POLISI LAENDESHA MSAKO MKALI KWA WALIOWAUA ASKARI WAWILI

Kamishina  wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) …Akisisitiza jambo. Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Kova kwa makini.…

 

5 years ago

CloudsFM

POLISI KUFANYA MSAKO MKALI KWA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA SISTA WA KANISA KATOLIKI

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanzisha msako mkali, kuwatafuta watu waliohusika na mauaji ya Mhasibu wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka jijini Dar es Salaam, Sista Cresencia Kapuri (50), ambao utahusisha vikosi vyote vya Polisi. Vikosi hivyo ni Usalama Barabarani, askari wa doria wanaotumia pikipiki na magari, wapelelezi na askari Polisi wa kawaida.
Mauaji ya mtawa huyo, yalitokea juzi mchana katika eneo la Ubungo Riverside, jijini humo, ambapo alipigwa risasi na watu wanaodaiwa...

 

5 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Msako mkali waanza Arusha baada ya Sheikh wa msikiti wa Qiblatan kujeruhiwa kwa bomu

 

Kutoka Arusha taarifa zinasema msako mkali unaendelea kufuatia shambulio la bomu la mkono alilotupiwa  Sheikh wa msikiti wa Qiblatan Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero jijini Arusha  wakati akila daku.Kwa mujibu wa taarifa hiyo imedaiwa kuwa Sheikh huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbali ikiwemo miguu yake yote miwili sehemu za mapajani pamoja na Kifuani na kupoteza baadhi ya vidole vya miguu yote miwili.

Mbali na Sheikh huyo pia kuna mtu mwingine aliyekuwa nyumbani kwake hapo...

 

1 year ago

CCM Blog

SERIKALI KUFANYA MSAKO MKALI KUWASAKA WAAJIRI AMBAO BADO HAWAJAJISAJILI NA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF)


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe.Anthony Mavunde, akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Bw.Masha Mshomba, kushoto, wakati akizindua baraza la kwanza la wafanyakazi wa Mfuko huo leo Desemba 22,2017 jijini Dar es Salaam.NA K-VIS BLOG, FELIX ANDREWWAAJIRI Tanzania Bara wametakiwa kuwashirikisha wafanyakazi  wao  kabla ya  kufanya maamuzi mbali mbali ili kuendelea kudumisha amani na mshikamano maeneo ya kazi.Ushauri huo...

 

3 years ago

Habarileo

Mwigulu aagiza walioua mifugo 80 kukamatwa

WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba ameiagiza Polisi wilayani Mvomero na Mkoa wa Morogoro kuwasaka na kukitia mbaroni kikundi cha ulinzi wa jadi kiitwacho Mwano kwa tuhuma za kuua mbuzi na kondoo wapatao 80.

 

2 years ago

Mwananchi

Samia aagiza walioua Supermarket kusakwa

Tukio la mauaji ya kijambazi lililotokea juzi usiku mjini hapa, limemshtua Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ameagiza wahusika wasakwe, huku akiwataka wananchi kuwa watulivu.

 

2 years ago

Channelten

Jeshi la Polisi limetangaza Msako mkali kuanzia jumatatu kwa wafanyabiashara na wauzaji wa vifaa vilivyotumika TV,Simu na Computer “USED”

2 (1)

Jeshi la Polisi kanda maalum Dsm limetangaza Msako mkali kuanzia jumatatu ijayo kwa wafanyabiashara na wauzaji wa television,Computer na simu za Mkononi zilizotumika maarufu Used’ baada ya kubaini katk maduka hayo kumekuwa maficho ya mali zinazoibiwa katika maeneo mbali mbali jijini dsm.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini dsm Kaimu Kamanda wa Polisi kanda Maalum Dsm Lucas Mkondya amesema katika miezi ya hivi karibu kumeibuka wizi wa Uvunjaji majumbani ambao wahalifu huchuku Tv hasa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani