Kijiji cha Milenia chakoleza kasi ya maendeleo Uyui

WANANCHI wanaoishi katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora wameanza kunufaika na Mradi wa Kijiji cha Milenia unaotekelezwa katika kijiji cha Mbola kilichoko wilayani humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 months ago

Zanzibar 24

OmbaOmba: Janga linalokua kwa kasi kijiji cha Nungwi

Wamiliki  wa mahotel  kijiji cha Nungwi wamewataka wazazi na walezi  wanaoishi karibu na mahoteli kuwazuia watoto  na kuwakataza tabia ya kuomba omba watalii kwani hatua hiyo itaweza kuwasababishia kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji. 

Wakizungumza kwa masikitiko makubwa baadhi ya wamiliki wa mahoteli hao ambao wamekataa kutajwa majina yao wamesema tabia ya kuomba omb pia ni chanzo cha udhalilishaji kwa watoto kwani wapo baadhi ya wageni hawatoi pesa zao bure. 

Wamesema wazazi...

 

2 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA MAENDELEO YA JAMII AWAONGOZA WANANCHI WA KIJIJI CHA MONDO KUSHIRIKI KATIKA UJENZI WA KITUO CHA AFYA CHA KATA YA MONDO, MISUNGWI.


Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WAMJW
Sera ya Maendeleo ya Jamii pamoja na mambo mengine, inaelekeza jamii kushiriki kazi za kujiletea maaendeleo yao wenyewe maana jamii ndiyo kitovu cha maendeleo.
Kwa kutambua hilo, Mkurugenzi wa Maendelo ya Jamii Bw. Patrich Golwike ametembelea katika Kijiji cha Mondo, Kata ya Mondo, kilichopo katika Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kuhamsha ari ya wananchi kushiriki katika ujenzi wa jengo la Kituo cha Afya cha kijiji chao.Bw. Golwike alibainisha...

 

3 years ago

Dewji Blog

Januari Makamba awahakikishia Ustawi wa maendeleo Wananchi wa kijiji cha Mpunda

Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba amewahakikishia wananchi wa jimbo lake hilo kuwa ataendelea kushirikiana nao bega kwa bega kuhakikisha  anatatua changamoto na kuchochea Ustawi wa maendeleo kwa wananchi wote wakiwemo wale wa Kijiji cha Mpunda. Makamba ameeleza hayo alipotembelea jimbo humo kwa lengo la kujua changamoto zao na namna ya kutatua changamoto hizo.  Wananchi wa Kijiji cha Mpunda Kata ya Usambara wakimuonesha Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba eneo ambalo...

 

2 years ago

Channelten

Jamii ya wafugaji kijiji cha Mawala (w) moshi, Washauriwa kuachana na imani potofu inayodumaza maendeleo

CANA5

Asilimia kubwa ya watanzania ambayo inadaiwa bado wanaamini katika ushirikina hali inayodaiwa kuchangia kudumaza maendeleo nchini.

Ni asilimia inayotajwa na mbunge wa wa jimbo la vunjo James Mbatia katika sherehe za kustaafisha rika kutoka jamii ya wafugaji ya wamasai katika kijiji cha Mawala kata ya Kahe wilaya ya Moshi . Huku pia mchungaji wa kanisa la KKKT Joshua Laizer akiaasa jamii hii kuacha kupoteza muda mwingi na kujicheleweshea maendeleo kutokana na kuamini katika ushirikina...

 

2 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA MAENDELEO YA JAMII AONGOZA UCHIMBAJI WA LAMBO KATIKA KIJIJI CHA MANGHANGU, MPWAPWA DODOMA


Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW
Serikali imeadhimia kuwa Sera ya Maendeleo ya Jamii ya mwaka 1996, inatekelezwa kikamilifu na inafuatilia utekelezaji wa Sera hiyo katika ngazi ya mikoa, Wilaya, Kata na Vijiji mbalimbali hapa nchini.
Akiongea na wananchi wa Kijiji cha Manghangu, kilichoko Kata ya Vinghawe Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike amesema Sera hiyo imeweka wazi kuwa wananchi ndiyo kitovu cha maendeleo maana...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Maghembe akagua Maendeleo ya Ujenzi wa Tanki la Maji katika kijiji cha Itege mjini Dodoma

Waziri wa Maji,Mhe. Prof. Jumanne Maghembe akikagua ujenzi wa tanki la maji lenye ujazo wa lita million 5.5 kwa ajili ya kuhudumia wakazi wapatao 20,000 katika eneo la Itege mjini Dodoma. Tanki hilo ni miongoni mwa matenki manne yanayoendelea kujengwa. Ujenzi wa mradi huu unajengwa kwa ushirikiano wa Serikali za Tanznia na Jamhuri ya Korea kwa gharama ya Sh. Billion 78. Mkandarasi wa Ujenzi wa Matanki hayo akimuelekeza kitu Waziri wa Maji,Mhe. Prof. Jumanne Maghembe wakati alipofika kukagua...

 

4 years ago

Dewji Blog

Tanzania yakataa rasmi ndoa za jinsia moja kwenye agenda za maendeleo ya milenia

001

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Wanawake, Anna Collins akitoa hotuba yake wakati akifungua warsha ya siku moja kuhusu Malengo ya Milenia kwa washiriki mbalimbali na kwa kiasi ngani Tanzania imeweza kufikia malengo hayo.iliofanyika Makao Makuu ya Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii nchini (ESRF) Oktoba 27, 2014 jijini Dar es Salaam.

Na Mwandishi wetu

SERIKALI ya Tanzania imekataa rasmi kutambua ndoa za jinsia moja (ushoga) kama moja ya agenda za maendeleo katika malengo ya...

 

2 years ago

Michuzi

WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA LORI KIJIJI CHA KATIKA KIJIJI CHA KIJOTA, SINGIDA.

Watu sita wamefariki dunia huku wengine 42 wakijeruhiwa baada ya lori lenye namba za usajili T.806 AEL aina ya scania mali ya Abdalla Mussa (39) mfanyabiashara mkazi wa Mwenge mjini Singida, kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kijota, Singida.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Debora Magiligimba amesema ajali hiyo imetokea Agosti 27 mwaka huu saa 1.30 usiku katika kijiji cha Kijota wakati likitokea mnadani katika kijiji cha Mtinko Singida vijijini, likielekea Singida mjini.
ACP...

 

4 years ago

GPL

TANZANIA YAKATAA RASMI NDOA ZA JINSIA MOJA KWENYE AGENDA ZA MAENDELEO YA MILENIA‏

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Wanawake, Anna Collins akitoa hotuba yake wakati akifungua warsha ya siku moja kuhusu Malengo ya Milenia kwa washiriki mbalimbali na kwa kiasi ngani Tanzania imeweza kufikia malengo hayo.iliofanyika Makao Makuu ya Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii nchini (ESRF) Oktoba 27, 2014 jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Programu kutoka Taasisi ya… ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani