Kikosi cha Taifa Stars kitakachoshuka dimbani dhidi ya Harambee Stars leo

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kushuka dimbani jioni ya leo  kucheza mchezo wa kirafiki wakimataifa na timu ya Taifa Kenya (Harambee Stars)  Jijini Nairobi, Kenya. Awali vikosi vyote vilikuwa kwenye mazoezi yha kujiandaa na mchezo huo.

Vikosi vitakavyoshuka dimbani katika mchezo huo jioni ya leo ni kama ifuatavyo:

The post Kikosi cha Taifa Stars kitakachoshuka dimbani dhidi ya Harambee Stars leo appeared first on DEWJIBLOG.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

KIKOSI CHA TAIFA STARS KINACHOANZA LEO DHIDI YA MAFARAO WA MISRI HIKI HAPA

KIKOSI CHA KWANZA
1. Deogratius Munish 'Dida'2.Juma Abdul 3. Mwinyi Haji4. Aggrey Morris5. Erasto Nyoni6. Himid Mao7. Thomas Ulimwengu8. Mwinyi Kazimoto9. Elius Maguli10.Mbwana Samatta11.Farid Mussa
Akiba
1. Aishi Manula2. Mohamed Hussein 3. David Mwantika4. Shiza Kichuya5. Jonas Mkude6. Deus Kaseke7. John Bocco
Benchi la ufundi
Kocha. Charles Boniface MkwasaKocha msaidiz. Hemed Morroco

 

2 years ago

BBCSwahili

Harambee stars yataja kikosi dhidi ya Angola

Kenya inashikilia nafasi ya 78 kwneye orodha mpya iliyotolewa na shirikisho la soka duniani FIFA

 

2 years ago

Zanzibar 24

Haya hapa Majina 26 ya kikosi cha Taifa Stars yaliyotangazwa leo

Kocha wa muda wa timu ya Taifa la Tanzania (Taifa Stars) Salum Mayanga leo ametangaza majina ya wachezaji 26 watakaounda kikosi cha timu hiyo.

Wachezaji hao wataingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya kufuzu kucheza michuano ya CHAN pamoja na ile ya AFCON.

Magolikipa                

Deo Munishi (Yanga) Aishi Manula (Azam) Said Mohamed (Mtibwa Sugar)

Mabeki

Erasto Nyoni (Azam) Andrew Vincent (Yanga) Hassan Kessy (Yanga) Mohamed Hussein (Simba) Salim Mbonde (Mtibwa Sugar) Abdi...

 

4 years ago

Michuzi

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28


Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya
Tanzania (Taifa Stars), Mart NooijKocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam, kujiandaa na michuano ya kombe la COSAFA na kuwania kufuzu kwa AFCON na CHAN mwezi Juni mwaka huu. Akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF amesema, wachezaji 28 aliowaita, amewaona kwa...

 

3 years ago

Habarileo

Taifa Stars kujipima kwa Harambee Stars

TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kucheza kujipima nguvu dhidi ya wenzao wa Kenya `Harambee Stars’, Mei 29 mwaka huu.

 

3 years ago

Bongo5

Taifa Stars kujipima na Harambee Stars Mei 29

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa Kenya (Harambee Stars) Mei 29, 2016 jijini Nairobi.

stars11

Mchezo huo wa kirafiki utachezwa jijini Nairobi Mei, 29 mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kwa timu zote mbili kujiandaa na michezo ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika mwezi Juni, 2016 ambapo Taifa Stars itacheza dhidi ya Misri Juni 04, mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

harambee-stars

TFF kwa kushirkiana na...

 

3 years ago

BBCSwahili

Harambee Stars yajiandaa kucheza na Taifa Stars

Timu ya taifa ya soka ya Kenya Harambee Stars imeanza kambi rasmi ya mazoezi mjini Nairobi zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kucheza dhidi ya Tanzania katika mechi ya kirafiki.

 

3 years ago

BBCSwahili

Taifa stars, Harambee Stars hoi

Michezo ya awali ya kusaka tiketi ya kushiriki kombe la dunia nchini Urusi 2018 ukanda wa Afrika, zimepigwa usiku wa kuamka leo

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani