Kikwete awataka viongozi wa dini kuhubiri amani

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini kote nchini kuhakikisha wanasimamia na kuhubiri amani ili kufanikisha upigaji kura wa Katiba Inayopendekezwa unaofanyika Aprili mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi awataka viongozi wa dini kuhubiri amani

581

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiingia ndani ya Ukumbi wa Masai Laugwa Wilaya ya Bagamoyo kuzindua Tamasha la Kuliombea Taifa Amani lililoandaliwa na Kanisa la Restoration { Restoration Bible Church }.Kulia kwa Balozi Seif ni Makamu Askofu Mkuu wa Restoration Bible Church Tanzania Askofu Sedrick Ndonde na kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya  Bagamoyo Nd. Ahmed Kipozi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Viongozi wa Kidini wanapaswa kuwa...

 

3 years ago

Michuzi

RPC WA ARUSHA CHARLES MKUMBO AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUHUBIRI AMANI


 Kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Charles  mkumbo akiwa anaongea na viongozi wa dini zote wa mkoa wa Arusha hii  ikiwa ni mkutano wa kwanza wa kufanya na viongozi hao tangu kuwasili mkoani hapa Picha ya juu na chini ikionyesha baadhi ya mashehe ,askofu,wachungaji ,madiwani pamoja na askari waliohudhuria katika mkutano ulioandaliwa na kamanda wa polisi mkoa wa Arusha kwa ajili ya kuongea na viongozi wa dini juu ya namna gani ya kuendelea kudumisha amani ya nchi na mkoa kwa ujumla...

 

4 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watakiwa kuungana kuhubiri amani

VIONGOZI wa dini nchini, wametakiwa kuwa kitu kimoja kuhubiri amani katika kipindi cha kuelekea kwenye uchuguzi mkuu.

 

3 years ago

Channelten

Viongozi wa Dini wametakiwa kuhubiri na kusisitiza Amani ya nchi

Screen Shot 2016-05-29 at 2.34.18 PM
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni  Ali Salum Hapi amewataka Viongozi wa Dini nchini  pamoja na Taasisi zake  kuendelea kuhubiri na kusisitiza amani pamoja na kukemea vitendo vinavyoashiria Uvunjifu wa amani ikiwemo migogoro na Mauaji kama yale yaliyotokea Mkoani mwanza Hivi karibuni.

Akizungumza wakati wa Ufunguzi wa kongamano la Mawasiliano ya tecknolojia za kisasa faida na Athari zake lililohusisha  wanazuoni wa kiislam,Viongozi wa dini na taasisi mbali mbali pamoja na Masheikh Bw,Hapi amesema...

 

3 years ago

Bongo5

Majaliwa awataka waislamu kuhubiri msingi wa dini hiyo

Waziri mkuu Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa waumini wa dini ya kiislamu nchini kutumia sehemu za ibada kuhubiri masuala ya Mungu na sio siasa .

rg1a0943

Waziri mkuu ametoa wito huo aliposhiriki sala ya Ijumaa katika msikiti wa Nunge mjini Dodoma na kuwataka waumini wa dini ya Kiislamu kutumia nyumba ya ibada kuhubiri msingi wa dini.

“Niendelee kusisitiza kwamba wote lazima tutumie muda wetu pamoja na mambo mengine lakini pia tumtafute Mungu kupitia nyumba za ibada. Ndugu waislamu wenzangu tufanye...

 

4 years ago

Habarileo

Rais Kikwete awapa wosia wa amani viongozi wa dini

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Balozi wa Vatican, Askofu Mkuu Fransisco Padilla (kushoto), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) na Kaimu Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakar Zubeir. (Picha na Ikulu).RAIS Jakaya Kikwete amewaomba viongozi wa dini nchini kuendeleza hali ya amani na utulivu uliopo nchini kwa kuhakikisha kuwa nchi inabaki na amani, kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu, 2015.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Rais JPM awataka maaskofu kuhubiri viwanda na sio dini pekee

Rais John Magufuli amewataka maaskofu badala ya kuhubiri mambo mengine, wahubiri kuhusu ujenzi wa viwanda vya dawa nchini ili Tanzania isinunue dawa nje ya nchi.

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo Machi 26, 2018 katika hafla fupi ya ugawaji wa magari 181 ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kwa ajili ya kusambaza dawa maeneo mbalimbali nchini inayofanyika eneo la Keko, jijini Dar es Salaam.

Amesema kununua dawa nje ya nchi kunasababisha nchi kupoteza Sh500 bilioni. “Asilimia 94 ya dawa zinanunuliwa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Polepole azungumzia viongozi wa dini kuhubiri siasa

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amewazungumzia Viongozi wa dini wanao hubiri siasa ya nchi na kusema kuwa hakuna mtu ambaye amezuiliwa kuongea Tanzania na kuwa wapo huru kutoa maoni yao.

Polepole alisema hayo jana wakati akihojiwa na kituo kimoja cha Television na kusema hakuna mtu ambaye ametishwa kwa kusema ukweli juu ya jambo fulani ambalo huenda lipo au linatokea Tanzania.

“Hakuna mtu amezuiliwa kuongea ukweli ndani ya nchi ya...

 

4 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AISHUKURU NA KUIPONGEZA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA MWANZA

Kuona jinsi Rais Kikwete alivyoshiriki Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza BOFYA HAPA

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani