KILELE CHA IKUNGI HALF MARATHON 2016 CHARINDIMA WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na viongozi wa ngazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ikungi wakishuhudia wakimbiaji wanavyowasili katika uwanja wa shule Ya Sekondari Ikungi.Washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 walivyoanza mbio hizo katika Kijiji Cha Kimbwi Kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi Washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 wakichuana kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi. Mwandishi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

RC Singida: Mashindano ya Ikungi Half Marathon 2016 yameipaisha Singida

Mashindano ya Ikungi Half Marathon yenye lengo la kuibua vipaji kwa vijana na kuviendeleza, Kujenga umoja na mshikamano miongoni mwa vijana na kuwandaa vijana hao katika mashindano mbalimbali ya kitaifa na
kimataifa yamehitimishwa hii leo na kutoa taswira nyingine ya Mashindano ya Ikungi Marathon kwa mwaka 2017.

Mashindano hayo yalianza Septemba 3, 2016 kwa ngazi ya Vijiji, Kata na Tarafa na hatimaye kufikia
ngazi ya Wilaya ambapo viongozi wa Wilaya za Mkoa wa Singida wametakiwa kutafakari...

 

2 years ago

Michuzi

RC SINGIDA: MASHINDANO YA IKUNGI HALF MARATHON 2016 YAMEUPA HESHIMA MKOA WA SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akiwapongeza washiriki waliomaliza kwa wastani mzuri wa muda, kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne MtaturuBi Zaibabu Ramadhani mwenye umri wa miaka 47 akiwasili Katika uwanja wa Shule ya Sekondari Ikungi kumalizia kilomita 21Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akisalimia na Felix Simbu kijana wa Kitanzania aliyeshika nafasi ya tano katika mashindano ya Olimpiki nchini Brazil mara baada ya kuwasili katika...

 

2 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Ikungi Half Marathon kufanyika 29 Octoba

Mashindano ya Ikungi Half Marathon 2016 kufanyika Jumamosi tarehe 29 Octoba 2016 katika Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida.

The post Mashindano ya Ikungi Half Marathon kufanyika 29 Octoba appeared first on DEWJIBLOG.

 

1 year ago

Michuzi

UJUMBE WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAENDELEA KUTEMBELEA MIGODI MIDOGO YA DHAHABU WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Ujumbe kutoka Ofisi yaMakamu wa Rais ukiongozwa na Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bi Ogenia Mpanduji wakimsikiliza Mmiliki wa Mgodi wa Sambaru uliopo wilayani Ikungi Mkoani Singida, Bwana Yusuf Mwandami walipofanya ziara ya kutembelea mgodi huo.Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais,Bi Magdalena Mtenga akiuliza swali kwa mmiliki wa mgodi wa sambaru uliopo Ikungi Mkoani Singida mara baada ya ujumbe toka Ofisi ya Makamu wa Rais kutembelea mgodi huo wa mwisho katika...

 

1 year ago

Michuzi

UVCCM MKOANI SINGIDA WAMPONGEZA DC IKUNGI

Umoja wa Chama cha Mapinduzi UVCCM mkoani Singida umempongeza Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani humo Mhe.Miraji Mtaturu kwa kuanzisha michuano ya Ikungi Elimu Cup 2017 ili kuhamasisha wananchi na wadau mbalimbali kuchangia utatuzi wa changamoto za elimu kupitia Mfuko wa Elimu Ikungi.
Mwenyekiti wa UVCCM mkoani Singida, Jimson Mhagama (pichani) alitoa pongezi hizo jana Agosti 19,2017 kwenye uzinduzi wa michuano hiyo uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya sekondari Ikungi mkoani Singida ambapo...

 

3 years ago

CCM Blog

MTATURU AZUNGUMZIA MAENDELEO IKUNGI MKOANI SINGIDA


Na Mathias Canal, Singida
Ushiriki wa wananchi katika shughuli za maendeleo kwa kutumia nguvu na akili katika kukamilisha na kumiliki miradi ya kijamii imetajwa kuwa njia mojawapo itakayowafanya wananchi kuwa na uchungu na mali pamoja na maendeleo ya katika jamii husika.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu amesema kuwa kumekuwa na matumizi mabaya ya demokrasia katika Wilaya hiyo hususani katika shughuli za kijamii kama vile kuchangia ujenzi wa maabara jambo lililopelekea Wilaya...

 

3 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA IKUNGI MKOANI SINGIDA ATANGAZA SIKU YA JUMATANO KUWA SIKU YA KAZI ZA PAMOJA

Na Mathias Canal, SingidaMkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Jumanne Mtaturu ametangaza rasmi siku ya Jumatano kuwa siku ya kazi za pamoja katika majengo ya Umma katika Vijiji vilivyopo Wilayani humo.Tangazo hilo amelitoa kwenye halfa iliyofanyika katika ukumbi wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida wakati anakabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo ambaye kwa sasa amestaafu Gishuli Charles.Mtaturu amesema kuwa Uongozi utachagua kama ni Shule, Zahanati au Utengenezaji wa Barabara n.k.ambapo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani