KILI STARS KUIKABILI Z’BAR HEROES BALOZI WETU NCHINI KENYA DKT PINDI CHANA AKISHUHUDIA

Na Alfred Lucas wa TFF, Machakos
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kesho Alhamis Desemba 7, 2017 inatupa karata yake ya pili kwenye michuano ya CECAFA dhidi ya Zanzibar Heroes ya Zanzibar kwenye mchezo wa kwanza utakaoanza saa 8.00 mchana kwenye Uwanja wa Kenyatta, Machakos.Mchezo huo unatarajiwa kushuhudiwa na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk. Pindi Hazara Chana ambaye anaiwakilisha nchi katika Kenya. Kuelekea mchezo huo, Kilimanjaro Stars imefanya mazoezi yake ya mwisho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Dkt. Pindi Hazara Chana aripoti kwenye kituo chake cha kazi

Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, Mheshimiwa Dkt. Pindi Hazara Chana ameripoti kwenye kituo chake cha kazi jijini Nairobi na kulakiwa na wafanyakazi wa kituo hicho.Balozi Chana amekutana na wafanyakazi wa kutoka nyumbani na wale walioajiriwa hapa Kenya. Balozi ameelezea kituo cha Nairobi kama moja ya vituo vyenye shughuli nyingi na vinavyosifiwa kwa utendaji mzuri licha ya mazingira magumu ya kazi. Amewaahidi wafanyakazi kuwa atakuwa kiongozi wa kujichanganya kwani anaamini katika uwazi,...

 

3 years ago

Mwananchi

Kili Stars, Z’bar Heroes kikaangoni

Macho na masikio ya Watanzania leo yatakuwa mjini Awassa wakati Kilimanjaro Stars na Zanzibar Heroes zitakaposhuka uwanjani kuzikabiri Rwanda na Uganda katika mashindano ya Kombe la Chalenji yanayoendelea nchini Ethiopia.

 

3 years ago

Michuzi

MHE. Dkt. PINDI CHANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA JINSIA NA MAENDELEO YA WANAWAKE WA NCHI ZA SADC, NCHINI HARARE, ZIMBABWE

 Mhe. Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto (kushoto) pamoja na mmoja wa wajumbe kutoka Tanzania,  Bi. Costansia Gabusa, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Jinsia wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi za SADC wanaoshughulikia masuala ya Jinsia na Wanawake, Harare Zimbabwe. Mhe. Dkt. Pindi Chana, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto (kushoto) akiwa na mmoja wa wajumbe kutoka Tanzania,  Bi. ...

 

1 year ago

Michuzi

BALOZI PINDI CHANA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwenye Ikulu ya Eldoret Juni 13,2017. Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya (katikati) mara baada ya zoezi la kuwasilisha Hati za Utambulisho kukamilika. 

 

4 years ago

Michuzi

DKT. PINDI CHANA AZINDUA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA LEO

 Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi,Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akifungua rasmi mkutano wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara mjini Dodoma leo. Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji Sera - Utumishi ambaye pia ni Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi katika Utumishi wa Umma Tanzania Bara Bw.Mathias Kabunduguru akimkaribisha Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi,Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh.Pindi Chana (hayupo pichani) kufungua...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI, DKT. PINDI CHANA ATEMBELEA DAWATI LA JINSIA LA POLISI LA WILAYA DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt Pindi Chana leo ametembelea Dawati la Jinsia na Watoto la Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Dodoma Mjini kwa lengo la kukagua utendaji kazi wa madawati haya yaliyoanzishwa kwa lengo kushughulikia kesi zote zinazohusiana na unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto nchini, kama njia moja wapo ya kuboresha utoaji wa huduma bora za ulinzi na usalama kwa watoto na watu wa jinsi zote.  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,...

 

4 years ago

Michuzi

MHE. DKT PINDI CHANA AZINDUA SEMINA YA KUDUMISHA AMANI NA KUKOMESHA VITENDO VYA UKATILI ROLYA, MARA

Mheshimiwa Dkt.Pindi Chana (Mb.) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto tarehe 17/12/2014 alifungua rasmi semina maalum kuhusu masuala ya kukomesha vitendo vya Ukatili na kudumisha Amani Mkoani Mara.
 Semina hiyo ilindaliwa na kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Rorya , Kanisa kuu Mt. Petro Kowak, kata ya Nyathorogo.
Wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo Mheshimiwa Naibu Waziri aliwasihi wadau mbalimbali wa maendeleo ya Jinsia kutekeleza kwa vitendo kauli Mbiu Siku ya...

 

3 years ago

Mtanzania

Zanzibar Heroes, Kili Stars kazini Chalenji

2-5NA ZAINAB IDDY

MICHUANO ya Chalenji inayoshirikisha nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), inatarajia kuanza leo nchini Ethiopia huku timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’ ikianza kibarua kwa kuvaana na Burundi huku wenzao wa Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ wakicheza kesho kwa kucheza na Somalia.

Michuano hiyo inayoanza leo itamalizika Desemba 6 mwaka huu ambapo Zanzibar Heroes inayonolewa na Kocha mkuu, Hemed Morocco, akisaidiana na Malale Hamsini, ipo kundi B pamoja...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani