Kilichosababisha Juma Kaseja aondoke Simba 2008 na kujiunga na Yanga

Inawezekana ukataka kufahami ile ishu iliyotokea mwaka 2008 ya golikipa wa Kagera Sugar Juma Kaseja kuweka rekodi ya usajili kwa kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa ndani ya Tanzania kwa dau la Tsh milioni 36  kipindi yupo Simba na kwenda Yanga. Katika mahojiano na Sports Bar ya Clouds TV Juma Kaseja amezungumzia namna ilivyokuwa mwaka 2008 […]

The post Kilichosababisha Juma Kaseja aondoke Simba 2008 na kujiunga na Yanga appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GPL

BAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja (kulia) akijaribu kuumiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Awadh Juma. ...Kaseja akiuchukua mpira.…

 

4 years ago

GPL

Juma Kaseja basi tena Yanga

Kipa namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja. Na Wilbert Molandi
KIPA namba mbili wa Yanga, Juma Kaseja, imefahamika kuwa, amefikia kikomo cha kuendelea kuichezea timu hiyo inayojiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika (Caf). Awali, meneja wa kipa huyo, Abdulfatah Saleh, aliwahi kutamka kusitisha mkataba wa mchezaji wake, Kaseja wakati huu wa usajili wa dirisha dogo kwenye msimu huu wa ligi kutokana...

 

4 years ago

Mwananchi

Yanga wamgeuzia kibao Juma Kaseja

Uongozi wa Yanga umeingia kwenye uhasama na kipa, Juma Kaseja ‘Tanzania One’ baada ya kumtaka kipa huyo kuwalipa fidia ya Sh340 milioni.

 

4 years ago

GPL

YANGA YATANGAZA KUACHANA NA JUMA KASEJA

Juma Kaseja. YANGA SC imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango Juma Kaseja, iliyemsajili kwa Sh. Milioni 40 Novemba 8, mwaka juzi. Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro amewaambia Waandishi wa Habari leo katika hoteli ya Zanzibar Ocean View visiwani hapa kwamba, hatua hiyo imefikiwa baada ya mchezaji huyo kuanza kujiengua katika timu. “Tumefikia uamuzi wa kuachana na Kaseja, baada ya yeye mwenyewe...

 

4 years ago

Bongo5

Yanga watangaza kuachana na Juma Kaseja

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake Juma Kaseja kwa madai kuwa mchezaji huyo hajaonekana klabuni kwa majuma matatu. Akizungumza mjini Zanzibar leo Mkurugenzi wa Habari wa Yanga, Jerry Muro amesema Kaseja amevunja mkataba kutokana na kutokwenda mazoezini kwa saa 48. Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Jerry Murro […]

 

3 years ago

Bongo5

Juma Kaseja kuikosa mechi dhidi ya Simba SC

JUM

Kocha mkuu wa Mbeya City F, Kinnah Phiri amethibitisha kuwa mlinda mlango mahiri wa kikosi chake Juma Kaseja hatakuwa sehemu ya nyota watakaoiwakililisha City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Simba Sports alub uliopangwa kuchezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

JUM

Kocha Phiri aliongea na mtandao wa Taarifa.co.tz kuwa ilikuwa waungane na kipa huyo leo asubuhi kwenye kambi ya muda mjini Morogoro lakini imemlazimu kumuongezea muda zaidi wa kukaa...

 

5 years ago

Vijimambo

Juma Kaseja aamua kuvunja mkataba Yanga

Kipa Juma Kaseja ametoa masharti mawili mazito Yanga na kama hayatatekelezwa yuko tayari mkataba wake na klabu hiyo uvunjwe rasmi, imeelezwa.

Hata hivyo, moja ya sharti ambalo ni vigumu kutekelezeka ni pamoja na kutaka kupewa nafasi za kudaka katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), ambayo hajawahi kusimama langoni msimu huu tangu pazia lilipofunguliwa Septemba 20.

Kupitia meneja wake, Abdulfatah Saleh, Kaseja ameipa masharti Klabu ya Yanga kama inataka kubaki naye immalizie fedha za...

 

4 years ago

CloudsFM

Makipa wa timu ya Simba,Ivo Mapunda na Juma Kaseja watembelea Jahazini.

Kipa wa Klabu ya Simba Ivo Mapunda akizungumza kwenye kipindi cha Jahazi leo.

 

2 years ago

MillardAyo

Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba

Golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaichezea Kagera Sugar ya Bukoba Juma Kaseja alikuwa ni mmoja kati ya wageni waliyoalikwa katika kipindi cha Sports Bar cha Clouds TV kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na soka la Tanzania. Juma Kaseja kama moja ya wachezaji wenye uzoefu ambao wamewahi kucheza vilabu vya […]

The post Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani