Kilimo cha Nyanya Iringa (02) – 16.05.2017

Share on: WhatsApp

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

6 months ago

Channelten

1 year ago

Michuzi

KILIMO HIFADHI CHA NYANYA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.Dk. Sophia Mlote, mkazi wa Kinyerezi Zimbili jijini Dar es Salaam akiweka sawa vifaa mbalimbali kwenye banda lake la kilimo ambamo amepanda nyanya. Dk. Mlote anatekeleza kilimo hai kupitia mradi wa Green Voices unaofadhiliwa na taasisi ya Foundation for Women of Africa ambayo inaongozwa na Makamu wa Rais mstaafu wa Hispania, María Teresa Fernández de la Vega. (Makala na Picha zimeandaliwa na www.brotherdanny.comBw. Hamaro akiandaa tray maalum kwa ajili ya kuwapa wanakikundi kupandikiza mbegu...

 

3 months ago

Michuzi

AKINAMAMA WALIMA NYANYA KINYEREZI DAR WAJIFUNZA KILIMO CHA UYOGA

AKINAMAMA wanaojishughulisha na kilimo cha nyanya, spinachi, kabichi na mapapai kutoka Kinyerezi jijini Dar es Salaam wameamua kujifunza pia kilimo cha uyoga kutoka kwa wenzao wa Bunju ikiwa ni hatua ya kuongeza fursa ya ujasiriamali pamoja na kubadilishana uzoefu.

Wakiongozwa na Dkt. Sophia Mlote, akinamama hao wa kikundi cha Kinyerezi Green Voice wameamua kuchukua hatua hiyo katika awamu ya pili ya kutekeleza Mradi wa Green Voices unaolenga kuwawezesha wanawake kujihusisha na...

 

3 years ago

Mwananchi

Wakulima wa nyanya Iringa watakiwa kuunda vikundi

Wakulima wa nyanya mkoani Iringa, wameshauriwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na misaada mbalimbali pamoja na mikopo kutoka katika taasisi za fedha ikiwamo benki na vicoba ili kuinua thamani ya mazao wanayozalisha.

 

7 months ago

Channelten

12 months ago

MwanaHALISI

Serikali kutoa mkopo kiwanda cha nyanya

CHARLES Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, amesema serikali itatoa mkopo kwa Mwekezaji atakayejitokeza kujenga  kiwanda cha kuchakata na kusindika nyanya mkoani Morogoro, anaandika Christina Haule. Mwijage ameyasema hayo katika kongamano la uwekezaji la Mkoa wa Morogoro, linalofanyika mjini hapa na kuwahusisha wafanyabiashara, wawekezaji na mabalozi kwa lenye lengo la kutangaza fursa za uwekezaji. ...

 

10 months ago

Dewji Blog

Kasesela kuiomba UN kiwanda cha kusindika nyanya

Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela ameuomba Umoja wa Mataifa kusaidia kuanzishwa kwa kiwanda cha kusindika nyanya wilayani humo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa malengo endelevu ya dunia kipengele cha uondoaji wa umaskini.

Alisema anaamini katika kukabili umaskini ni lazima kuwapo na viwanda vinavyowezesha bidhaa ghafi za wakulima kupata soko na kwa wilaya hiyo kuondoa tatizo la soko la nyanya kutawezesha wananchi wake kupiga vita umaskini.

Aidha alisema kwamba serikali imejiandaa...

 

1 year ago

Habarileo

Ahamasisha kilimo Iringa

KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka huu, George Mbijima, ametoa rai kwa wananchi mkoani hapa kutokipuuza kilimo kwa sababu kina faida nyingi.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani