Kimondo Super SC imeshushwa madaraja mawili

Timu ya Kimondo Super SC imeshushwa madaraja mawili (hadi Ligi ya Mkoa), na matokeo ya mechi zake zote ilizocheza katika kundi la B yamefutwa kwa kushindwa kufika uwanjani kucheza mechi dhidi ya JKT Mlale bila sababu za msingi.

Mechi hiyo namba 47 (JKT Mlale vs Kimondo Super SC), ilitakiwa kuchezwa Januari 28, 2017 kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea, lakini Kimondo Super SC haikutokea uwanjani wala kutoa taarifa yoyote hadi Februari 1, 2017 ilipotuma taarifa Bodi ya ligi kuu Tanzania...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

KIMONDO SUPER FC YASHUSHWA HADI LIGI YA MKOA

Timu ya Kimondo Super SC imeshushwa madaraja mawili (hadi Ligi ya Mkoa), na matokeo ya mechi zake zote ilizocheza katika kundi la B yamefutwa kwa kushindwa kufika uwanjani kucheza mechi dhidi ya JKT Mlale bila sababu za msingi.
Mechi hiyo namba 47 (JKT Mlale vs Kimondo Super SC), ilitakiwa kuchezwa Januari 28, 2017 kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea, lakini Kimondo Super SC haikutokea uwanjani wala kutoa taarifa yoyote hadi Februari 1, 2017 ilipotuma taarifa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania...

 

4 years ago

Michuzi

Klabu ya Kimondo Super Sports yaijia juu yanga kwa usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya

Klabu ya Kimondo Super Sports inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania yenye maskani yake wilayani Mbozi mkoani Mbeya inapenda kutoa tamko juu ya mkanganganyiko wa taarifa za kuptosha za usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya.


Klabu inasikitishwa saana na habari/taarifa zenye mkanganyiko zinazotolewa na msemaji wa timu ya Yanga,Katibu wa timu ya Yanga na mchezaji wetu Geofrey Mwashiuya katika vyombo mbalimbali vya habari;

Jerry Muro alisikika katika vyombo vya habari akijinadi...

 

4 years ago

Michuzi

TIMU ZA FC BONGO NA FC KILIMANJARO ZILITOKA SARE YA MABAO MAWILI MAWILI KATIKA MECHI ILIYOFANYIKA KTK JIJI LA HELSINKI NCHINI FINLAND

Mechi ilianza kwa kasi na dakika 1 tu ya mchezo fc bongo walipata bao lao la kwanza kwa mkwaju wa penalt lililofungwa na mchezaji wao machachari Abass Kunha.
Kilimanjaro ilikuja juu na kufanikiwa kusawazisha kwa kona iliyopigwa na Richard Joseph ambayo ilimshinda nguvu kipa wa fc Bongo baada ya purukushani ndani ya lango hilo.
Kipindi cha pili kilianza kwa nguvu na kwenye dkk ya 80 Abass Kunha aliongeza bao la pili, vijana wa kilimanjaro waliongeza nguvu na baada ya dkk 5 wakafanikiwa kukomboa...

 

4 years ago

Mwananchi

Yanga yaufyata kwa Kimondo

Waswahili wanasema kubali yaishe. Hicho ndicho kilichotokea baada ya mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ‘kuiangukia’ Kimondo FC ili kumaliza mgogoro wa usajili wa mshambuliaji Geofrey Mwashiuya.

 

4 years ago

Raia Tanzania

Kimondo FC yambadilikia Jerry Muro

UONGOZI wa Kimondo FC ya Mbeya unatarajia kuwasilisha barua kwenye Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuomba   kufungiwa kutokujiusisha na soka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano na Habari wa Yanga, Jerry Muro kwa madai ya kutoa maneno machafu kwa Mkurugenzi wa timu hiyo, Erick Ambakisye.

Msemaji wa Kimondo FC Chriss Kashilika alisema jana kuwa uongozi wao ulitoa siku saba kwa  Muro kumuomba msahama Ambakisye kutokana na maneno hayo machafu aliyomtolea mkurugenzi wao...

 

4 years ago

Raia Mwema

Karibu kimondo uoshe nyota

UMEKUJA kuosha nyota?

Felix Mwakyembe

 

4 years ago

BBCSwahili

Wanasayansi wajawa na shauku ya kimondo

Wanasanyansi wamejawa na shauku ya kutaka thibitisho kwamba Chombo kilichopelekwa na kutua kwenye kimondo.

 

3 years ago

Habarileo

Kocha Kimondo amwaga manyanga

KOCHA Mkuu wa timu ya Kimondo iliyopo Ligi Daraja la Kwanza, Anthony Mwamlima amejiuzulu.

 

3 years ago

Habarileo

Kimondo FC yapata kocha mpya

UONGOZI wa klabu ya soka ya Kimondo FC ya mkoani Mbeya imeanza mikakati yake ya kushiriki Ligi Daraja la Kwanza msimu wa mwaka 2016/2017 kwa kufanya usajili wa baadhi ya wachezaji na kupata kocha mkuu mpya.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani