Kinadada wa Arsenal watupwa nje Kombe la FA

Mabingwa watetezi wa Kombe la FA la Wanawake nchini Uingereza, Kinadada wa Arsenal, wametupwa nje ya michuano ya mwaka huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Nottingham yaitupa nje ya kombe la Fa Arsenal

Bingwa mtetezi wa michuano ya kombe la Fa klabu ya Arsenal imeondolewa katika michuano hiyo kwa kuchapwa 4-0 na Nottingham Forest

 

4 years ago

Habarileo

Kapuya, Kagasheki na Zambi watupwa nje

WAZIRI katika Serikali ya Awamu ya Nne, Godfrey Zambi pamoja na waliokuwa mawaziri katika Serikali hiyo, Profesa Juma Kapuya na Balozi Khamis Kagasheki ni miongoni mwa wabunge waliotupwa nje katika matokeo ya ubunge yanayoendelea kutolewa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Jumapili wiki hii.

 

5 years ago

GPL

Yondani, Cannavaro watupwa nje Yanga

Beki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani Na Waandishi Wetu
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga, ikizidi kupamba moto, mabeki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani na nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wametupwa nje ya kikosi hicho baada kushindwa kufanya mazoezi na timu hiyo kutokana na kupata majeraha. Katika mazoezi ya jana asubuhi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Dar, Yondani alianza programu ya...

 

3 years ago

BBCSwahili

Uganda watupwa nje michuano ya Chan

Zambia na Mali zimefuzu kwa robo fainali ya michuano ya CHAN baada ya kutoka sare mechi iliyochezwa Jumatano lakini Uganda wameyaaga mashindano.

 

2 years ago

BBCSwahili

Waingereza watupwa nje Luxembourg Open

Wacheza tennis waingereza Heather Watson na Naomi Brady kwa pamoja wametupwa nje ya michuano ya Luxembourg Open katika hatua ya robo fainali.

 

3 years ago

BBCSwahili

Yanga hoi,Mazembe nao watupwa nje

Wakicheza Ugenini huko Nchini Misri, Yanga wamefungwa 2-1 na Al Ahly na kuondolewa katika michuano ya klabu bingwa Africa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Nadal, Federer watupwa nje nne bora

Nyota wawili wa mchezo wa tenesi Rafael Nadal na Roger Federer wamekosekana kwenye nafasi nne za juu za ubora wa viwango vya mchezo wa tenesi dunia hii ikiwa ni mara ya kwanza katika muda wa miaka 13.

 

2 years ago

BBCSwahili

Murray, Warrinka watupwa nje michuano ya Aegon

Bingwa mtetezi wa michuano ya tenesi ya Aegon Muingereza Andy Murray, ametupwa nje ya michuano hiyo na mchezaji namba 90 kwa ubora wa mchezo huo Jordan Thompson.

 

2 years ago

Bongo5

Real Madrid watupwa nje Copa Del Rey

Klabu ya ligi ya La Liga Celta Vigo imefanikiwa kuwatoa viongozi wa ligi hiyo Real Madrid na kuingia katika nusu fainali ya kombe la Copa del Rey baada ya kutoka sare ya 2-2 na hivyobasi kufuzu kwa jumla ya mabao 4-3.

Wenyeji Celta Vigo ndio waliokuwa wa kwanza kupata goli baada ya muda wa kupumzika kupitia beki Danilo aliyejifunga.

Christiano Ronaldo alifunga goli la kusawazisha baada ya kupiga mkwaju wa adhabu kabla ya Daniel Wass kuiweka kifua mbele Celta Vigo.

Lucas Vazquez alifunga...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani