KINANA AENDESHA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA BARA NA VISIWANI

 Naibu katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi bara Ndg:Rodrick Mpogoro akizungumza kabla ya ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa na Watendaji wa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina ya mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA NDG: RODRICK MPOGORO AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA UVCCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI.

Naibu katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi Bara ndg; Rodrick mpogoro akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam.
 Mwenyekiti wa umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu  ya Chama Cha Mapinduzi Ndg:Sadifa Juma khamisi akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm...

 

10 months ago

CCM Blog

CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kushoto) akiongoza nyimbo ya hamasa mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana kuwasili  kufunga  mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma
  Katibu wa NEC Uchumi na fedha Dkt.Frank George Haule hawassi   akiwasilisha mada wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania...

 

10 months ago

Malunde

Picha : CCM YAHITIMISHA MAFUNZO ELEKEZI YA SIKU MBILI KWA MAKATIBU WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI MJINI DODOMA


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kushoto) akiongoza nyimbo ya hamasa mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana kuwasili kufunga mafunzo elekezi ya siku mbili kwa Makatibu wa Mikoa CCM tanzania bara na Visiwani yaliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.Katibu wa NEC Uchumi na fedha Dkt.Frank George Haule hawassi akiwasilisha mada wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa CCM Tanzania bara...

 

10 months ago

Michuzi

MPOGORO AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA UVCCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI.Naibu katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi ndugu Rodrick mpogoro akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam.
Mwenyekiti wa umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi Ndg:Sadifa Juma khamisi akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA KUWASHUKURU WENYEVITI, MAKATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WA MIKOA NA WILAYA ZA TANZANIA BARA NA VISIWANI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wenyeviti, Makatibu wa Chama cha Mapinduzi wa mikoa na Wilaya za Tanzania bara na Visiwani Ikulu jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wenyeviti wa CCM wa Mikoa mbalimbali wakipiga makofi kumshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa hotuba yake Ikulu jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wenyeviti wa CCM wa Mikoa mbalimbali wakipiga makofi kumshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

1 year ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI AFUNGA SEMINA ELEKEZI KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WA CCM WA MIKOA NA WILAYA NCHINI ,JINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akiagana na Watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya CCM, kwenye ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo Machi 14, 2017 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akiagana na Watendaji, Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa Wilaya na Mikoa baada ya kufunga semina yao elekezi kuhusu...

 

1 year ago

CCM Blog

SEMINA ELEKEZI KUHUSU MAGEUZI NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WA CCM WA MIKOA NA WILAYA YAENDELEA LEO MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili ukumbini na viongozi wengine wa meza kuu tayari kuendelea na siku ya pili ya semina elekezi kwa Wenyekiti na Makatibu wa CCM wa mikoa na wilaya nchini, kuhusu mageuzi na mabadiliko ndani ya Chama, leo katika Ukumbi wa Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. 
 Washiriki wa semina hiyo wakiwa wamesimama kumlaki Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na viongozi wengine wa meza kuu.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Naibu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani