KINANA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha ofisini kwake Spika wa bunge la Afrika mashariki, Daniel Kidega, katika ofisi ndogo za makao makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na  Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Daniel Kidega, katika ofisi ndogo za makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

SPIKA WA KWANZA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE HILO LEO


Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungunguza na wabunge wa Bunge hilo, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam, ili umsalimia na kupata mawazo kutokana na uzoefu wake hasa alipokuwa Spika wa Bunge hilo la Afrika Mashariki. Wa Kwanza kulia upande wa mstari wa kushoto, ni Mwenyekiti wa Wabunge hao, Makongoro Nyerere, Shayrose Bhaji, Yves Nsabimana, Maryam Ussi, Twaha Tasilima, Wilime Asheri ambaye ni mratibu EALA,...

 

4 years ago

Michuzi

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA Makamu Mwenyekiti ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya

Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akimkaribisha Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu kabla ya kufanya nao mazungumzo katika ukumbi wa mkutano wa Spika.Mhe.Nakululu alikuwa kiongozi wa msafara huo.Spika wa Bunge Mhe.Anna Makinda akifurahi jambo na Makamu Mwenyekiti  ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Bunge la Kenya Mhe. Chris Nakulelu wakati wa mazungumzo yao katika ukumbi wa mkutano wa Spika.Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa katika...

 

2 years ago

CCM Blog

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAMTEMBELEA SPIKA WA KWANZA WA BUNGE HILO, KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA, LEO

Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungunguza na wabunge wa Bunge hilo, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam, ili umsalimia na kupata mawazo kutokana na uzoefu wake hasa alipokuwa Spika wa Bunge hilo la Afrika Mashariki. Wa Kwanza kulia upande wa mstari wa kushoto, ni Mwenyekiti wa Wabunge hao, Makongoro Nyerere, Shayrose Bhaji, Yves Nsabimana, Maryam Ussi, Twaha Tasilima, Wilime Asheri ambaye ni mratibu EALA, na...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli apongezwa na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, akutana na viongozi Ikulu

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Daniel Kidega amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kazi kubwa ya kujenga uchumi wa Tanzania na amewaomba wananchi wa Tanzania na Afrika Mashariki kuunga mkono mfano mzuri unaooneshwa na kiongozi huyo.

Mhe. Daniel Kidega amesema hayo leo tarehe 13 Februari, 2017 Ikulu Jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kukutana na Mhe. Rais Magufuli na kufanya nae mazungumzo yaliyojikita kujadili masuala mbalimbali...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA TANZANIA

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mheshimiwa Abdullah Makame (katikati) ambae ni kiongozi wa msafara wa Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza na Wabunge wa...

 

12 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe. Martin Ngoga (watatu kushoto) baada ya mazungumzo, Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. Wengine pichani ni Wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, kutoka kushoto ni Dkt. Abdullah Hasnuu Makame, Fancy Nkuhi na Mariam Ussi Yahya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki,Mhe. Martin Ngoga, Bungeni mjini Dodoma...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA TANZANIA

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. IMGL7358Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. IMGL7421Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mheshimiwa Abdullah Makame (katikati) ambae ni kiongozi wa msafara wa...

 

12 months ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA AFRIKA AKUTANA NA SPIKA NDUGAI PAMOJA NA WABUNGE WA BUNGE LA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger Dang (wa pili kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wa pili kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) na Mwenyekiti wa Wabunge wa Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia)Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza jambo na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger Dang (kulia)...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WANAOWAKILISHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) NA SAKATA LA KUTAKA KUMVUA MADARAKA SPIKA WA BUNGE HILO

Mwenyekiti wa Wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wa Tanzania, Adam Kimbisa, akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka Spika wa Bunge hilo. Kulia ni mbunge wa bunge hilo, Twaha Taslima na Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji. Katibu wa Wabunge wa EALA, Shy-Rose  Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu sakata la kutaka kumvua madaraka...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani