KINANA AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA WAJUMBE WA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA LEO JIJINI DODOMA.

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizungumza kabla ya Kumkaribisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Kheri Denis James (MCC) Kumkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Kufungua Semina Elekezi kwa Wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana Wa Chama cha Mapinduzi leo Mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri Denis James(MCC) akizungumza wakati wa kutoa maelezo na kumkaribisha Mgeni Rasmi...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Michuzi

KINANA AZINDUA SEMINA ELEKEZI KWA WAJUMBE WA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA LEO MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa leo katika Ukumbi wa NEC katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini DodomaWashiriki wakifuatilia semina elekezi kwa wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana,leo katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.Washiriki wakifuatilia semina elekezi ,leo katikaUkumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.Meza kuu ikifuatilia Semina hiyo.Kwa habari kamili BOFYA...

 

2 years ago

CCM Blog

KINANA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MABADILIKO NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WACCM, MJINI DODOMA, LEO

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya Chama, kwa Wenyeviti na Makatibu wa mikoa na wa wilaya na watendaji, leo katika Ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma 
 Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo...

 

2 years ago

Michuzi

KOMREDI KINANA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MABADILIKO NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WACCM, MJINI DODOMA, LEO

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya Chama, kwa Wenyeviti na Makatibu wa mikoa na wa wilaya na watendaji, leo katika Ukumbi wa Sekretarieti katika Jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma  Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo katikaUkumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Washiriki wakiwa kwenye semina elekezi kuhusu mageuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, leo...

 

1 year ago

CCM Blog

UVCCM TEMEKE WAFANYA BARAZA KUU KWA KISHINDO, WACHAGUA WAJUMBE WA BARAZA LA UTELEKEZAJI NA KUTHBITISHA KATIBU WA HAMASA

Fadhili FamohaNa Bashir Nkoromo, Temeke
Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, leo umefanya kwa kishindo kikao chake cha kwanza cha Baraza Kuu kikao hicho kikiwa na ajenda moja ya  uchaguzi wa wajumbe wa Baraza la Utekelezaji na kumthibitisha Katibu wa Hamasa wa UVCCM Wilayani humo.

"Ndugu wajumbe, kikao hiki ni rasmi na ni cha kwanza baada ya kuchaguzi uliopita, ajenda yetu ni moja tu, kuchagua wajumbe wawili wa Baraza la Utekelezaji ambao watatokana na wagombea watatu,...

 

2 years ago

CCM Blog

KIKAO CHA BARAZA KUU MAALUM UVCCM TAIFA, KUFANYIKA MACHI 09, MJINI DODOMA

Na FAHADI SIRAJI
Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) , umepanga kufanya kikao cha Baraza kuu  Maalum , Machi 09, 2017  kitakacho tanguliwa na kikao cha kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu  UVCCM Taifa mjini Dodoma .Taarifa iliyosainiwa na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka,imesema kikao hicho Maalum kinafanyika kwa ajili ya kupokea mapendekezo ya marekebisho ya kanuni ya Umoja wa Vijana wa CCM kufuatia maboresho yanayo tarajiwa kufanyika katika katiba ya Chama Cha...

 

1 year ago

CCM Blog

SHAKA AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIET YA BARAZA KUU UVCCM TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akiongoza kikao cha Secretariet ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kwa  maandalizi ya vikao vya kikanuni vya Umoja wa Vijana wa CCM vitakavyofanyika Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine vitajadili waombaji wa nafasi mbali mbali za uongozi kwa nafasi za Mkoa na Taifa kupitia Umoja wa Vijana wa CCM kabla kuwasilisha katika vikao vya Chama Cha Mapinduzi kwa uteuzi wa mwisho.(picha na Fahadi Siraji wa UVCCM )

 

5 years ago

Michuzi

TASAF YAFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MAAFISA WAKE JIJINI DAR LEO

 Maafisa ufuatiliaji wa TASAF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Ladislaus Mwamanga (aliyeketi katikati) baada ya kufungua semina elekezi jijini DSM  Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akisisitiza jambo wakati alipofungua semina elekezi kwa maafisa ufuatiliaji (TA) iliyofanyika kwenye ukumbi wa CEEMI jijini DSM.  Baadhi ya Maafisa ufuatiliaji ambao wanatarajiwa kuanza kazi katika halmashauri kadhaa za wilaya nchini wakimsikiliza mkurugenzi...

 

1 year ago

Michuzi

KIKAO CHA BARAZA KUU LA UWT TAIFA LEO DODOMA

  Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi akizungumza wakati wa Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyi Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima na katikati ni Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho Diana Chilolo. (Picha na Bashir Nkoromo) Mwenyekiti wa muda wa kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo Taifa, Diana Chilolo, akizungumza wakati wa kikao hicho kilichofanyika...

 

2 years ago

CCM Blog

SEMINA ELEKEZI KUHUSU MAGEUZI NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA MAKATIBU WA CCM WA MIKOA NA WILAYA YAENDELEA LEO MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili ukumbini na viongozi wengine wa meza kuu tayari kuendelea na siku ya pili ya semina elekezi kwa Wenyekiti na Makatibu wa CCM wa mikoa na wilaya nchini, kuhusu mageuzi na mabadiliko ndani ya Chama, leo katika Ukumbi wa Ofisi ya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. 
 Washiriki wa semina hiyo wakiwa wamesimama kumlaki Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na viongozi wengine wa meza kuu.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Naibu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani