KINANA: CHAGUENI VIONGOZI WATAKAOWASAIDIA SIYO WATAKAOSHUGHULIKA NA SHIDA ZA MATUMBO YAO


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea Udiwani kata ya Ngarenanyuki, Arumeru mkoani Arusha, Mwalimu Zakaria Nnko, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo, uliofanyika kwenye Viwanja vya Mpira vya Shule ya Ngarenanyuki, leo Januari 21, 2017.

Akimnadi Mgombea huyo, Kinana amewataka Watanzania kujenga tabia ya kuchagua  viongozi watakaowasaidia na kuacha kuchagua ambao wakishapata madaraka wanashughulikia shidao za matumbo yao badala ya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

CHADEMA Blog

WANAOHAMA CHADEMA KWENDA CCM WANAJALI MATUMBO YAO NA SIYO KUSAIDIA TAIFA (BAVICHA)

BARAZA la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema wimbi la kuhama kwa viongozi na wanachama wa chama hicho, unakipa nafasi ya kujirekebisha na kujipanga vizuri ikiwamo kubaki na wanaofuata misingi ya chama.Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa, Julius Mwita akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kauli ya Bavicha kuhusu wimbi la kung'atuka kwa

 

2 years ago

Mwananchi

Mwalusako: TFF siyo sehemu ya majaribio chagueni viongozi wanaojua matatizo ya mpira

Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Lawrence Mwalusako amewaambiwa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuwa shirikisho hilo siyo sehemu ya majaribio na anayeingia hapo lazima afuate misingi ya soka.

 

5 years ago

Michuzi

KINANA ATINGA ISIMANI IRINGA AWATAKA VIONGOZI WASIKWEPE MAJUKUMU YAO YA KUWATUMIKIA WANANCHI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsifia Mbunge wa Jimbo la Isimani,  William Lukuvi kwa uchapakazi wake mzuri wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Magozi, Kata ya Ilolo Mpya, Iringa Vijini leo. Kinana alimjia juu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu kwa kushindwa kutafutia ufumbuzi migogoro ya wananchi.Pia aliwataka wananchi kuacha kukwepa majukumu yao ya kuwatumikia Wananchi.  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa  CCM, Nape Nauye akihutubia katika mkutano huo

 

5 years ago

GPL

KINANA ATINGA ISIMANI IRINGA AWATAKA VIONGOZI WASIKWEPE MAJUKUMU YAO YA KUWATUMIKIA WANANCHI‏

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsifia Mbunge wa Jimbo la Isimani,  William Lukuvi kwa uchapakazi wake mzuri wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Magozi, Kata ya Ilolo Mpya, Iringa Vijini leo. Kinana alimjia juu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu kwa kushindwa kutafutia ufumbuzi migogoro ya wananchi.Pia aliwataka wananchi kuacha kukwepa majukumu yao ya kuwatumikia Wananchi. PICHA ZOTE NA...

 

5 years ago

Vijimambo

KINANA ATOA WITO KWA VIONGOZI KUFANYA MIKUTANO NA WANANCHI NA KURHUSU MASWALI YANAYOHUSU MAENDELEO YAO


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Kilolo Mnadani waliojitokeza kumlaki katika ziara yake wilayani Kilolo.

MBUNGE wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa Profesa Peter Msolla akiwasalimia wananchi wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali ya kikundi cha vijana cha Muungano ambacho kina jumla ya vijana arobaini waliopata mafunzo ya kufyatua matofali na ujenzi.

  Katibu Mkuu...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Chagueni viongozi wenye kazi

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewataka wananchi kuchagua viongozi wenye kazi zao binafsi, badala ya kuchagua  viongozi wasiojishughulisha. Kinana alitoa rai hiyo juzi wakati akiwahutubia wananchi...

 

4 years ago

Mwananchi

Mawaziri, ma-DC, viongozi wa Serikali matumbo joto

Hatima ya mawaziri na watendaji waliotajwa katika sakata la uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow itajulikana Jumatatu ijayo wakati Rais Jakaya Kikwete atakapohutubia taifa kupitia mazungumzo na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.

 

4 years ago

Habarileo

Waumini wa dini chagueni viongozi bora -Madenge

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mahmoud Madenge amesema uhuru na raha ya kuabudu vitaendelea kuwepo, endapo waumini wa dini mbalimbali watashiriki Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuchagua viongozi wanaoshughulikia matatizo ya wananchi.

 

2 years ago

Mwananchi

Chagueni viongozi wenye shughuli za kufanya- Kadutu

Wakati wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakisema hawako tayari kupangiwa safu ya viongozi, mbunge amewataka kuchangua wenye shughuli za kufanya badala ya wanaoshinda vijiweni.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani