Kipa mpya Azam aitaka namba ya Manula

Kipa mpya wa Azam, Benedict Haule amesema atajituma ili kuhakikisha anapata namba ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha mabingwa hao wa Kombe la Mapinduzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Manula ajitetea kuvurunda Azam

KIPA Aishi Manula wa Azam FC, amesema upepo mbaya uliopita kwenye timu yao umechangia kufanya vibaya kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu unaoelekea ukingoni.

 

2 years ago

Mwananchi

Kipa Buffon aitaka mrithi wake mapema

 Kipa wa Juventus, Gianluigi Buffon ameitaka klabu yake kulipa kipaumbele suala la kumsajili nyota wa AC Milan kwa kuwa anatarajia kustaafu soka muda siyo mrefu.

 

2 years ago

MillardAyo

DONE DEAL: Aishi Manula amehama Azam FC leo

Baada ya tetesi za muda mrefu kuhusiana na golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya Azam FC Aishi Manula kuhusishwa kuwa muda wowote anaweza ihama club hiyo na kwenda kujiunga na Simba huku Singida United ikitajwa kumuwania pia. Leo June 11 2017 taarifa kutoka katika mtandao wa habari za michezo […]

The post DONE DEAL: Aishi Manula amehama Azam FC leo appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mwananchi

Manchester City yamwania kipa namba moja wa Napoli

Manchester City imekamia kumsajili kipa wa zamani wa Liverpool, Pepe Raina kutokana na aliyepo sasa Claudio Bravo kukaribia kuondoa kwenye dimba la Etihad.

 

2 years ago

MillardAyo

Saa chache baada ya Manula kuondoka, Azam FC imetangaza mbadala wake

Saa chache baada ya aliyekuwa golikipa wa Azam FC Aishi Manula kutangazwa kuondoka katika club hiyo na kujiunga na club ya Simba, Azam FC usiku wa leo wametangaza mbadala wake. Azam FC leo wamemtangaza golikipa Benedict Haule aliyekuwa akiichezea Mbao FC ya Mwanza kuwa mbadala wa Aishi Manula aliyejiunga na Simba, Benedict amesaini mkataba wa miaka […]

The post Saa chache baada ya Manula kuondoka, Azam FC imetangaza mbadala wake appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba

Golikipa wa zamani wa timu za Simba na Yanga ambaye kwa sasa anaichezea Kagera Sugar ya Bukoba Juma Kaseja alikuwa ni mmoja kati ya wageni waliyoalikwa katika kipindi cha Sports Bar cha Clouds TV kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na soka la Tanzania. Juma Kaseja kama moja ya wachezaji wenye uzoefu ambao wamewahi kucheza vilabu vya […]

The post Kaseja baada ya kuulizwa namna Bocco, Kapombe na Manula walivyoondoka Azam na kujiunga na Simba appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Mtanzania

Azam yaleta kipa Mhispania

NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

KLABU ya Azam FC juzi ilimleta kipa raia wa Hispania, Juan Jesus Gonzalez, kufanya majaribio ya kujiunga na timu hiyo katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Ujio wa kipa huyo unatokana na matakwa ya benchi jipya la ufundi la Azam FC chini ya kocha,  Zeben Hernandez, ambalo linataka kuongeza nguvu langoni na kutengeneza safu bora ya ulinzi na ushindani wa namba katika nafasi hiyo.

Gonzalez ambaye ni mrefu wa kutosha, aliwasili nchini juzi na alipokelewa...

 

3 years ago

Mwananchi

Kipa wa Azam awashukia waamuzi Tanga

Kipa wa Azam FC, Aishi Manula ameshusha utetezi mzito baada ya kufungwa bao la adhabu na Coastal Union na timu yake kuchapwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliofanyika juzi kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

 

3 years ago

Bongo5

Kipa Mhispania atua kufanya majaribio na Azam FC

Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC imemleta golikipa raia wa Hispania, Juan Jesus Gonzalez, aliyetua nchini, tayari kufanya majaribio ya kujiunga na Azam FC.

13619961_1226734537366900_9016876779242190191_n

Ujio wa kipa huyo unatokana na benchi jipya la ufundi la Azam FC chini ya Zeben Hernandez, kutaka kuongeza nguvu kwenye eneo la langoni ili kutengeneza safu bora ya ulinzi na ushindani wa namba katika nafasi hiyo.

Gonzalez mwenye umbo la urefu aliyepokelewa na Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Idd, ataanza rasmi majaribio...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani