Kipchoge aibuka mshindi kwa mara ya tatu

Mwanariadha wa Kenya Eliud Kipchoge, ameshinda mbio za Marathon za London kwa mara ya tatu Jumapili.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

MKISI AIBUKA MSHINDI KWA MARA YA NYINGINE

Wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Vwawa wakiwa wambeba juu Fanuel Mkisi mara baada ya kutangazwa mshindi wa kwanza, kura za Maoni kumpata mgombea Ubunge uliofanyijka jana katika kanisa la Moravian Mjini Vwawa. (Picha na Kenneth Ngelesi)Mshindi wa nafasi ya kwanza uchaguzi wa marudio kura za maoni wa kumpata mgombea atakaye peperusha bendera ya chma cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) Jimbo la Vwawa Fanuel Mkisi akiwa juu ya gari huku akipunga Mikono kwa wafuasi...

 

1 year ago

Michuzi

Ruth Maeda aibuka Mshindi wa Tatu Mzuka jackpot kwa kujinyakulia milioni 20

 Mshindi wa Jackpot ya Tatu Mzuka iliyofanyika Jumapili hii Bi Ruth Rodgers Maeda akikabidhiwa hundi ya shilingi Milioni 20 aliyojishindia kutoka kwa balozi wa Mchezo wa Tatu Mzuka, Mussa Hussein. Mchezo wa Tatu Mzuka umefanikiwa kujizoelea umaarufu kwa kutoa washindi kila saa. Jackpot hiyo inaendelea jumapili hii kwa mshindi kujishindia shilingi milioni 80.Mshindi wa Jackpot ya Tatu Mzuka iliyofanyika Jumapili hii Bi Ruth Rodgers Maeda (wa pili kutoa kulia) akishangilia pamoja na familia...

 

9 months ago

BBCSwahili

Kipchoge aibuka kidedea London Marathon

Mkenya Eliud Kipchoge, aibuka ameibuka kidedea katika mbio za Marathoni za London wa mara ya tatu

 

3 years ago

Dewji Blog

Museveni aibuka mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda kwa awamu ya tano

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amefanikiwa kuibuka mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda 2016 na hivyo kupata nafasi ya kuwa rais wa Uganda kwa awamu ya tano.

Museveni ameongoza Uchaguzi Mkuu wa Uganda kwa kushinda kura asilimia 60.75 huku mpinzani wake mkubwa katika uchaguzi huo, Kizza Besigye akipata asilimia 35 za matokeo ya uchaguzi huo.

Baada ya matokeo kutangazwa, baadhi ya wananchi ambao walikuwa upande wa Museveni walisema kuwa wapinzani wao walishindwa kuelezea ni jinsi gani...

 

2 years ago

RFI

Kwa mara nyingine tuzo ya MO Ibrahim yakosa mshindi

Kwa mara nyingine tuzo ya MO Ibrahim yakosa mshindi barani Afrika baada ya kukosekana kiongozi aliyemaliza uongozi na kukidhi vigezo vyake.

 

2 years ago

Mwananchi

Mtanzania aibuka mshindi UN

Mwanafunzi wa Kitanzania, Amani Naburi ni mmoja kati ya wanafunzi 60 kutoka vyuo vikuu mbalimbali  duniani walioshinda shindano la insha ijulikanayo; “Lugha Nyingi, Dunia Moja” lililoandaliwa kwa ushirikiano baina ya  United Nations Academic Impact (UNAI) na ELS Educational Services, Inc.

 

1 year ago

BBCSwahili

Markel aibuka mshindi

Kansela wa ujerumani , Angela Markel ameibuka kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu nchini humo kwa kipindi cha nne

 

2 years ago

Bongo5

Mkenya aibuka mshindi wa Maisha Plus

Olivie Kiarie wa Kenya ameibuka mshindi wa shindano la Maisha Plus. Fainali za shindano hilo zilifanyika mwishoni mwa wiki.

14718410_961980247240074_7413618168603607040_n

Ushindi huo umempa Olive kitita cha shilingi milioni 30 za Kitanzania.

14716392_1050374031742088_4550964926142742528_n

Shindano la Maisha Plus lilishirikisha nchi za Afrika Mashariki.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

3 years ago

Michuzi

MAJALIWA AKABIDHI ZAWADI YA LAPTOP KWA MSHINDI WA TATU WA MASHINDANO YA INSHA AFRIKA YA MASHARIKI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Said Jabir wa Shule ya Mbekenyera  wilayani Ruangwa,  zawadi ya Laptop baada ya kuwa   mshindi wa tatu katika mashindano ya uandishi wa Insha kwa nchi za Jumuiya ya  Afrika ya Mashariki. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 7, 2016.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Said Jabir zawadi ya Laptop baada ya kuwa mshindi wa tatu katika mashindano ya uandishi wa Insha kwa nchi za Jumuiya ya  Afrika ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani