Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid

Baada ya kuondolewa katika michuano ya UEFA Champions League kwa timu ya FC Barcelona usiku wa April 23 2017 walisafiri hadi katika jiji la Madrid kuendeleza harakati zao za kuwania Kombe la LaLiga kwa kucheza dhidi ya wapinzania wao wa jadi Real Madrid katika uwanja wa Santiago Bernabeu. FC Barcelona walisafiri kuelekea Madrid tayari wakiwa […]

The post Kipigo cha Barcelona kwa Real Madrid kilichovunja rekodi ya Real Madrid appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Miaka 7 iliyopita tarehe kama ya leo Mei 2, Real Madrid walikutana na kipigo cha goli 2-6 dhidi ya FC Barcelona

Thierry-Henry-Real-Madrid-001

Ulimwengu wa soka miaka 7 iliyopita tarehe kama ya leo  Mei 2 2016 inakumbuka mchezo wa kihistoria ambapo kwa Hispania unaitwa mchezo wa El Clasco uliokuwa unazihusisha timu za Real Madrid dhidi ya FC Barcelona katika uwanja wa Santiago Bernabeu, huu ni mchezo ambao Real walikuwa na wachezaji wengi nyota. Jikumbushe kwa kuangalia video ya […]

The post VIDEO: Miaka 7 iliyopita tarehe kama ya leo Mei 2, Real Madrid walikutana na kipigo cha goli 2-6 dhidi ya FC Barcelona appeared first on...

 

3 years ago

Dewji Blog

Barcelona yavunja rekodi ya Real Madrid, ipo hapa

2341052_heroa

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Barcelona ya nchini Hispania imefanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na wapinzani wao wakubwa Real Madrid ambayo waliiweka mwaka 2014.

Real Madrid mwaka jana ilifanikiwa kufunga magoli 178 ambayo yalikuwa hayajawahi kufungwa na klabu yoyote katika historia ya klabu ya Hispania.

Awali kabla ya mchezo kati ya Barcelona na Real Betis, Barcelona ilikuwa na magoli 176 na baada ya kuibuka na ushindi wa goli nne kwa bila dhidi ya Real Betis sasa Barcelona ndiyo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Barcelona yavunja rekodi ya Real Madrid iliyowekwa msimu wa 1888/1889 (Video)

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Barcelona usiku wa kuamkia Ijumaa wamefanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na wapinzani wao wakubwa, Real Madrid baada ya kupata ushindi wa goli tano kwa moja walpokuwa wakipamabana na Rayo Vallecano.

Barcelona wamevunja rekodi ya kucheza michezo 35 bila kufungwa na kuipita rekodi ambayo Madrid waliiweka ya kucheza michezo 34 bila kufungwa msimu wa 1888/1889 ambapo ni miaka 27 iliyopita.

Mchezaji bora wa mchezo huo alikuwa ni Lionel Messi abaye...

 

2 years ago

MillardAyo

Sergio Ramos alivyozuia rekodi ya Real Madrid isivunjwe na FC Barcelona Dec 3 2016

1480784995849_lc_galleryimage_barcelona_spain_december_

Baada ya presha na ubishi wa zaidi ya wiki moja wa mashabiki wa FC Barcelona na Real Madrid za Hispania, kubishana timu ipi itapata ushindi katika mchezo wa El Clasico uliochezwa katika uwanja wa Nou Camp jijini Barcelona, hatimae ubishi umemalizwa usiku wa December 3 2016. Timu za Barcelona na Real Madrid zote ziliingia zikiwa […]

The post Sergio Ramos alivyozuia rekodi ya Real Madrid isivunjwe na FC Barcelona Dec 3 2016 appeared first on millardayo.com.

 

12 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane anaachia ngazi Real Madrid: Je Real Madrid itafanya nini?

Uamuzi wa Zinedine Zidane kuondoka Real Madrid unawacha maswali mengi ikiwemo la ni nani atakayemrithi

 

2 years ago

MillardAyo

FC Barcelona imetuma ujumbe kwa Real Madrid baada ya ushindi vs Juventus

Ujumbe wa pongezi kwa Real Madrid unaweza kuwa mwingi na kutoka sehemu mbalimbali hasa baada ya kufanikiwa kutetea Ubingwa wa Champions League baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Juventus Jumamosi usiku. Hilo linaweza lisiwe kubwa sana lakini linalotajwa kuwa kubwa na linaloleta mkanganyiko kwa mashabiki wa soka ni baada ya FC Barcelona ambao […]

The post FC Barcelona imetuma ujumbe kwa Real Madrid baada ya ushindi vs Juventus appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

BBCSwahili

Real Madrid 0-4 Barcelona El Clasico

Kocha wa Madrid,Rafael Benitez anawashauri vijana wake wasiomboleze sana kufuatoa kichapo cha 0-4 dhidi ya Barcelona katika mechi ya El Clasico.

 

4 years ago

GPL

Tutawapwelepweta, Barcelona vs Real Madrid

BARCELONA, Hispania SIRI ni moja ni kuwa kama Real Madrid inahitaji kutwaa ubingwa wa La Liga msimu huu basi inatakiwa kuhakikisha haipotezi mchezo wa keshokutwa Jumapili dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Camp Nou. Takwimu zinaonyesha kuwa mechi za miaka ya hivi karibuni baina ya timu hizo ambayo inajulikana kwa jina la El Clásico, huwa inakuwa na faida kwa Madrid kama inashinda kwenye uwanja huo unaomilikiwa na Barcelona....

 

4 years ago

BBCSwahili

Real Madrid yachapwa na Barcelona 2 - 1

Real Madrid jana ilidondokea pua katika mechi ya kukata na shoka baina yake na mahasimu wao Barcelonakukubali kichapo cha magoli 2 -1.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani