Kisena Wa Udart Afutiwa Mashtaka

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, chini ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, leo Jumatano Mei 15, 2019 imewafutia mashtaka Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Usafirishaji wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar (UDA-RT), Robert Kisena na wenzake watatu.

Kisena na wenzake walikuwa wakikabiliwa na mashtaka 19 likiwemo la utakatishaji wa fedha na kuusababishia mradi wa UDART hasara ya zaidi ya Tsh bilioni 2.41. 
Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Kulwa Kisena, Charles Newe na raia wa China, Cheni...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Malunde

Mke wa Kisena wa Udart naye Kafutiwa Mashitaka

Florencia Membe ambaye ni  mke wa  mkurugenzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena amefutiwa mashtaka na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu.

Florencia ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Zenon Oil Gas Limited alikuwa akikabiliwa na makosa saba likiwamo la kuisababishia hasara ya Sh2.4bilioni kampuni ya Udart.

Mshtakiwa huyo amefutiwa kesi hiyo leo Jumatano Mei 15 chini ya kifungu 91(1) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai (CPA) sura ya 20 iliyofanyiwa...

 

3 years ago

Mtanzania

Ruto afutiwa mashtaka ICC

William-RutoTHE HAGUE, UHOLANZI

NAIBU Rais wa Kenya, William Ruto na mtangazaji wa zamani wa redio, Joshua arap Sang, wamefutiwa mashtaka na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) baada ya kuonekana hawana kesi ya kujibu.

Majaji waliamua kwa wingi wa kura kuwa kesi ya Ruto na Sang ifutwe, wakiongeza kuwa uamuzi wao huo hauzuii kufunguliwa upya kwa kesi dhidi yao ICC au mahakama za kitaifa.

“Mashtaka yanafutwa na watuhumiwa wanakuwa huru bila kujali imani yao kwamba hawana kesi ya kujibu au haki ya...

 

3 years ago

Mwananchi

Lissu afutiwa mashtaka mawili

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amefutiwa mashtaka mawili na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutokana na kushindwa kukidhi matakwa ya kisheria.

 

2 years ago

Mwananchi

Gwajima afutiwa mashtaka ya kutoa lugha chafu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta   kesi ya kutoa lugha chafu inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima.

 

4 years ago

Bongo5

Lionel Messi afutiwa mashtaka ya kukwepa kodi Hispania

Mchezaji wa timu ya taifa Argentina na Barcelona Lionel Messi amefutiwa mashtaka ya kukwepa kulipa kodi ya zaidi ya pauni milioni 4 kwa mamlaka za Hispania. Yeye na baba yake walishtakiwa. Waendesha mashtaka nchini humo wamefuta mashtaka hayo kwa Lionel Messi lakini wataendelea na kesi dhidi ya baba yake. Baba yake Lionel Messi, Jorge Messi […]

 

2 weeks ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA KIGOGO WA UDART

Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia mashtaka mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART) Robert Kisena (46) na mkewe Frolencia Mashauri nisha kukamatwa tena na kuunganishwa katika kesi moja yenye  mashitaka 19 ikiwemo kusababisha hasara kwa UDART ya Bil.2.41.

Awali washtakiwa hao  walikuwa wakishtakiwa  pamoja na wenzao watatu mbele ya Mahakimu Thomas Simba na Augustine. Mbali na Kisena na Mkewe, washtakiwa wengine katika kesi hiyo...

 

5 months ago

Michuzi

UPANDE WA MASHTAKA WAAMRIWA KUREKEBISHA HATI YA MASHTAKA KESI INAYOMKABILI MBOWE, WENZAKE

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAM ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuamuru upande wa mashtaka katika kesi ya uchochezi inayomkabikili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake nane kufanyia  marekebisho katika hati ya mashtaka.
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo leo mahakamani hapo baada ya kupitia mapingamizi nane yaliyowasilishwa mahakamani hapo na mawakili wa utetezi, Peter Kibatala na Jeremiah Mtobesya.
Hata hivyo, kutokana na  uamuzi huo Wakili, Kibatala alieleza...

 

3 years ago

Raia Mwema

Mwendesha Mashtaka anapoandaliwa Mashtaka

NOVEMBA 2, mwaka huu, tukio kubwa la aina yake lilikuwa likitarajiwa kutokea katika Mahakama ya Mkoa iliyopo Pretoria hapa Afrika Kusini ambapo Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu (NPA) ilikuwa inatarajiwa kumpandisha kizimbani Waziri wa Fedha, Pravin Gordhan.

Waziri Gordhan alikuwa akituhumiwa kufanya ufisadi ikiwa ni pamoja na kukiuka sheria zinazohusu ajira pale alipoidhinisha kustaafu mapema kwa aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mapato ya Afrika Kusini (SARS), Ivan Pillay, kabla ya wakati...

 

3 years ago

Mtanzania

Kisena wa UDA alipuliwa

kisena*Ni kuhusu mkataba tata wa mradi wa DART

* Waziri asema alifanya vitu kwa ujanja ujanja

Na Florian Masinde, Dar es Salaam

WAKATI hatima ya mkataba tata wa Kampuni ya Lugumi Entrprises na Jeshi la Polisi bado ipo gizani, Serikali imenusa harufu ya ufisadi katika mkataba unaoihusisha Kampuni ya Simon Group, inayomilikiwa na mfanyabiashara, Robert Kisena.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene, ameeleza namna mchezo mchafu ulivyotawala...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani