Kitu Afande Sele kaongea toka ajivua uanachama ACT-Wazalendo….

dsc_0304

Ni msanii mkongwe Afande Sele kutoka Tanzania alitangaza kujivua  uanachama wa ACT Wazalendo.Kilichomfanya Afande Sele a-trend kwenye mitandao ya kijamii Dec 15 2016 ni baada ya kuchukua maamuzi hayo ya kujiondoa ndani ya chama hicho cha ACT- Wazalendo. Baada ya hapo wengi wametoa maoni yao kwenye mitandao ya kijamii kuhusu maamuzi ya Afande Sele na usidhani […]

The post Kitu Afande Sele kaongea toka ajivua uanachama ACT-Wazalendo…. appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Afande Sele atangaza kujivua uanachama ACT-Wazalendo

Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop kutoka mkoani Morogoro, Afande Sele ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya ubunge katika uchaguzi uliopita kwa tiketi ya ACT Wazalendo, leo Disemba 15 ametangaza rasmi kujivua uanachama wa ACT-Wazalendo.

Ikumbukwe kuwa October 3 mwaka huu rapa huyo alifunguka kuonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo.

Kupitia ukurasa wake binafsi wa Instagram, Afande Sele ameyaandika haya

Habari za wkt huu akina ndugu nyote,naamini tupo pamoja...

 

2 years ago

Bongo5

Afande Sele atangaza rasmi kujivua uanachama wa ACT-Wazalendo

Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop kutoka mkoani Morogoro, Afande Sele ambaye alikuwa mgombea wa nafasi ya ubunge katika uchaguzi uliopita kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Alhamisi hii ametangaza rasmi kujivua uanachama wa ACT-Wazalendo.

Afande na Zitto Kabwe wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu iliyopita

October 3 mwaka huu rapa huyo alifunguka kuonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo.

Rapa huyo kupitia Instagram, ameandika:

Habari za wkt huu akina ndugu...

 

2 years ago

Mwananchi

Afande Sele aichana ACT

Dar es Salaam. Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Morogoro Mjini kupitia ACT–Wazalendo, Seleman Msindi maarufu Afande Sele, amewashtumu viongozi wa chama hicho akidai kuwa wamekosa msimamo.

 

2 years ago

Mtanzania

AFANDE SELE AJITOA ACT- WAZALENDO

Afande Sele

Afande Sele

Na ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM

ALIYEWAHI kuwa mgombea ubunge wa Morogoro Mjini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Selemani Msindi maarufu Afande Sele, amejivua uanachama wa chama hicho.

Uamuzi huo wa Afande Sele unakuja ikiwa ni siku chache tangu aliyekuwa Katibu wa Kamati ya Mipango, Habib Mchange kujivua uanachama na kutangaza kuachana na siasa.

Taarifa ya Afande Sele kujivua uanachama wa chama hicho, aliiweka katika ukurasa wake Facebook.

Itakumbukwa kuwa katika siku za...

 

4 years ago

GPL

AFANDE SELE NAYE AJIUNGA RASMI NA ACT

Zitto Kabwe, Afande Sele wakiwa na baadhi ya wanachama wapya wa ACT-Tanzania. MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' naye amejiunga rasmi na chama cha ACT-Tanzania. Zitto akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano ndani ya Hoteli ya Serena, Dar. Afande Sele ambaye alikuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amejiunga na ACT-Tanzania leo wakati wa mkutano na wanahabari...

 

4 years ago

Mtanzania

Afande Sele kugombea Ubunge kupitia ACT

Afande SeleNA SHABANI MATUTU
MWANAMUZIKI wa kizazi kipya, Suleimani Msindi ‘Afande sele’, ametangaza nia ya kuwania ubunge wa Morogoro mjini kupitia Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania).
Msanii huyo ametangaza azma yake hiyo jana mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, baada ya kujiunga na chama hicho akitokea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
“Niliumizwa baada ya kusikia kuwa eti katiba ya chama inasema kuwa mwanachama anayekwenda mahakamani kudai haki...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Afande Sele naye akimbia ACT Wazalendo

SELEMANI Msindi maarufu kwa jina la “Afande Sele” ambaye ni msanii mkongwe wa muziki wa Hip hop hapa nchini na aliyekuwa mgombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho, anaandika Charles William. Uamuzi wa Afande Sele unakuja ikiwa ni wiki moja ...

 

3 years ago

MillardAyo

Kitu Jackline Wolper kaongea toka kajiunga na CCM… kazisoma comments zao

Screen Shot 2016-07-27 at 12.18.08 AM

Ilijulikana mwigizaji wa movie za bongo Jackline Wolper alikua mfuasi wa chama cha CHADEMA ambapo alimpigia sana debe mgombea wake wa urais Edward Lowassa kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Kilichomfanya Wolper a-trend kwenye mitandao ya kijamii July 23 2016 ni baada ya kuonekana kwenye mkutano mkuu wa chama cha kisiasa cha CCM Dodoma na kutangaza […]

The post Kitu Jackline Wolper kaongea toka kajiunga na CCM… kazisoma comments zao appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo Movies

Afande Sele Awapa Makavu Viongozi wa ACT-Wazalendo

Mwanamuziki Afande Sele ambaye alikuwa mgombea nafasi ya ubunge katika uchaguzi uliopita kwa tiketi ya ACT Wazalendo amefunguka na kuwachana baadhi ya viongozi wa chama hicho kutokana na viongozi hao kukosa msimamo thabiti katika baadhi ya mambo.

AFANDE34

Afande Sele

Afande Sele ametumia ukurasa wake wa Facebook kufikisha ujumbe wake kwa watanzania huku akisema anashindwa kuwaelewa viongozi wake wanasimamia jambo gani kiasi cha wao kama wanachama wanashindwa kukielewa chama hicho kama ni malaika au...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani