KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU KIMETOA KAULI HII BAADA YA SAKATA LA LISSU

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Haki Elimu na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu walaani tukio la kupigwa mwanafunzi Mbeya

Shirika la Haki Elimu na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, wamelaani kitendo cha adhabu ya kikatili aliyopewa mwanafunzi wa shule ya sekondari Mbeya Day, Sebastian Chinguku na walimu wa shule hiyo.

mrcun5tg

Akiongea na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji wa Haki Elimu, John Kalage amesema vitendo kama hivyo vinachangia kwa kiasi kikubwa watoto wengi hususani wa kike kuacha shule hivyo kukosa haki yao ya msingi ya kupata elimu.

Pia ameishauri serikali juu ya uboreshaji wa utoaji wa taarifa...

 

4 years ago

Vijimambo

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Hellen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu changamoto za utekelezaji wa sheria ya kura ya maoni ya Katiba. Kulia ni Mratibu wa Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Ezekiel Massanja.Wanahabari wakichukua taarifa hiyoWapiga picha na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
KITUO cha Sheria na Haki za...

 

4 years ago

GPL

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Hellen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu changamoto za utekelezaji wa sheria ya kura ya maoni ya Katiba. Kulia ni Mratibu wa Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala, Ezekiel Massanja.… ...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kituo cha sheria na Haki za binadamu wameishtaki Bodi ya mikopo

Baada ya makato kwa wanafunzi walionufaika na mikopo ya elimu juu kupandishwa kutoka 8% hadi 15%, leo May 2 2017 kituo cha sheria na haki za binadamu kimefungua kesi ya kikatiba kwenye mahakama kuu ya Tanzania dhidi ya bodi ya mikopo kuhoji uhalali wa ongezeko la makato hayo. Bonyeza play hapa chini kutazama VIDEO: Ombi […]

The post VIDEO: Kituo cha sheria na Haki za binadamu wameishtaki Bodi ya mikopo appeared first on millardayo.com.

 

4 years ago

GPL

KITUO CHA SHERIA, HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA YA KAMPENI YA PILI YA GOGOTA

Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk. Helen Kijo-Bisimba akizungumza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Wadau…

 

4 years ago

GPL

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU (LHRC) CHAENDELEA KUIPINGA ADHABU YA KIFO  Mkurugenzi Mtendaji  wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba.

 Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC.…

 

2 years ago

Michuzi

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) chatoa tamko siku ya wazee duniani


Dkt.Helen Kijo-BisimbaOKTOBA Mosi (1) ya kila mwaka ni siku iliyoteuliwa na Umoja wa Mataifa kuadhimisha uwepo wa wazee katika jamii kote ulimwenguni. 
Siku hii ilianza kuadhimishwa rasmi Oktoba 1, 1991 kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu mambo yanayowalenga wazee ikiwemo kutoheshimu haki za wazee, kutazama mahitaji na maslahi ya wazee na kuhakikisha mzee popote alipo ulimwenguni anapata huduma za msingi za kijamii kama vile huduma bora za afya na matibabu. 
Mahususi, siku hii imekuwa na lengo...

 

9 months ago

RFI

Kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania (LHRC) chatangaza uteuzi wa mkurugenzi mpya

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimetangaza uteuzi wa Ana Henga kuwa mkurugenzi wake mkuu. Anachukua nafasi ya Dr. Hellen Kijo Bisimba ambaye amekiongoza kituo hicho kwa zaidi ya miaka 20.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani