Kituo cha Uwekezaji (TIC) chatoa ufafanuzi tuhuma za gazeti la “THE ECONOMIST” la Uingereza

Serikali  imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti la Kiingereza linalotpka kila wiki lililodai kuwa Rais Dk.John Magufuli anaongoza nchi kwa msukumo licha ya kuonekana mzuri na kuwa taarifa hiyo imelenga kuupotosha umma.

Habari iliyoandikwa kwenye gazeti hilo ilikuwa na kichwa kilicho andikwa “Government by gesture, A President who looks good but governs impulsively”

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Juni 3.2016 wakati akitoa ufafanuzi wa habari hiyo Kaimu  Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa alisema taarifa hiyo haikuwa na uzalendo na amewataka wanahabari kuwa makini na habari zenye mlengo wa kupotosha taifa.

“Nawaombeni wanahabari wenzangu kuweni makini na taarifa zenye mlengo wa kupotosha umma” alisema Zamarad.

Akitoa ufafanuzi kuhusu suala la uchumi Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Daud Biganda alisema taarifa hiyo siyo sahihi na imelenga kupotosha na inavuruga ukweli kwani Tangu Rais Dk.John Magufuli aingie madarakani kwa kipindi cha kati ya mwezi Desemba 2015 na 2016, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kuandikisha miradi ya uwekezaji ipatayo 551 yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 9,211.88 kati ya miradi hiyo miradi 229 yenye asilimia 42 inamilikiwa na watanzania.

Miradi 215 yenye asilimia 39 inamilikiwa na wageni na miradi 107 yenye asilimia 19 inamilikiwa kwa njia ya ubia kati ya watanzania na wageni.

Biganda alisema kuwa miradi yote hiyo ya uwekezaji ilitarajiwa kuzalisha ajira zipatazo 55,970 na kuleta matokeo mengine kwa watanzania na kuwa imesajiliwa na TIC.

 Kaimu  Mkurugenzi wa Idara Habari Maelezo, Zamarad Kawawa (kushoto) na Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TCI), Daud Biganda. wakisikiliza swali kwa makini lililokuwa likiulizwa na mwandishi wa habari (hayupo pichani) wakati wa mkutano huo. juu ya tuhuma zilizotolewa na mwandishi wa ” The Ecomist” Gazeti la Kiingereza linatoka kwa wiki dhidi ya Serikali ya Tanzania.  DSC_6109Meneja Uhusiano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TCI), Daud Biganda (kulia), akitoa ufafanuzi wa Uchumi tangu Rais Dk. John Magufuli aingie madaraka na miradi iliyosajiliwa na kituo hicho. wakati akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma zilizotolewa na mwandishi wa ” The Ecomist” Gazeti la Kiingereza linatoka kwa wiki dhidi ya Serikali ya Tanzania. (Picha na Andrew Chale, modewjiblog)

The post Kituo cha Uwekezaji (TIC) chatoa ufafanuzi tuhuma za gazeti la “THE ECONOMIST” la Uingereza appeared first on DEWJIBLOG.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Ufafanuzi wa Serikali kuhusu tuhuma zilizotolewa na gazeti la ‘THE ECONOMIST’ la Uingereza

seri

Serikali imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti la Kiingereza linalotoka kila wiki lililodai kuwa Rais John Magufuli anaongoza nchi kwa msukumo licha ya kuonekana mzuri na kuwa taarifa hiyo imelenga kuupotosha umma. Habari iliyoandikwa kwenye gazeti hilo ilikuwa na kichwa kilicho andikwa “Government by gesture, A President who looks good but governs impulsively” Akizungumza na waandishi […]

The post Ufafanuzi wa Serikali kuhusu tuhuma zilizotolewa na gazeti la ‘THE ECONOMIST’ la...

 

2 years ago

Michuzi

KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) YAWAFUNDA WAHARIRI WA HABARI MASUALA MBALIMBALI YA UWEKEZAJI HAPA NCHINI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Uwekezaji (TIC), Clifford Tandari akifafanua jambo wakati wa Kangamano la pili la Wahariri wa Habari lililofanyika mapema leo kwenye Makao makuu ya Ofisi hizo jijini Dar.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Bw. Tandari alieleleza lengo kubwa la kukutana na Wahariri na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali ni kuwaeleza na kuwafanya watambue fursa na mchango wa Kituo cha Uwekezaji wa kunadi miradi ya uwekezaji, Kuishauri Serikali kuhusiana na masuala mazima...

 

4 years ago

Dewji Blog

Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) chasajili miradi 885

DSC00437

Meneja Mawasiliano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Pendo Gondwe (katikati), akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na usajili wa miradi 885 wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa Mwandamizi Huduma kwa Wawekezaji Kituo hicho, Patrick Chove na kulia ni  Ofisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO), Frank Mvungi.(Picha na Maktaba).

Frank Mvungi-Maelezo

Kituo cha uwekezaji Tanzania chasajili (TIC)...

 

4 years ago

Michuzi

BODI MPYA YA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo na Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (wa pili kushoto) wakati alipozindua bodi mpya ya kituo hicho Jumatatu wiki hii jijini Dar es Salaam. Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu (kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bi. Juliet kairuki (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Bw. Raymond Mushi (kushoto).  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza jambo...

 

1 year ago

Michuzi

UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA ABU DHABI WATEMBELEA KITUO CHA UWEKEZAJI NCHINI (TIC) LEO

Meneja Uwekezaji Kimataifa wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Zacharia Kingu akifafanua jambo wakati akielezea fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana nchini kwa Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Abu Dhabi, walietembelea Kituo hicho leo Oktoba 27, 2016.Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari akiteta jambo na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje kitengo cha Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima, katika Mkutano ulioikutanisha TIC na Ujumbe wa Wafanyabiashara...

 

10 months ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AMTEUA MKUU WA WILAYA YA MANYONI KUWA MKURUGENZI MTEDAJI WA KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC)

Ikulu, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli amemteua Geoffrey Idelphonce Mwambe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijni Dar es Salaam, leo, imesema, kabla ya Uteuzi huo Geoffrey Idelphonce Mwambe alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida na kuongeza kuwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni itajazwa baadaye.

Taarifa imesema, wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Clifford Tandari kuwa Katibu...

 

2 years ago

Bongo5

Kituo cha uwekezaji chakanusha taarifa za gazeti la The Economist kuwa tangu Rais Magufuli aingie madarakani wawekezaji wa nje wanaikimbia TZ

Gazeti la Uingereza, The Economist, May 28 liliandika makala isemayo; Government by gesture: A president who looks good but governs impulsively.

20160528_mad001

Kwenye makala hiyo, gazeti hilo liliandika mambo mengi yanayohusu uongozi wa Rais Dkt John Pombe Magufuli ikiwemo namna alivyozuia safari za nje za maofisa, kupambana na wafanyakazi hewa, kuanzishwa kwa sheria na kodi kali kwenye bandari ya Dar es Salaam ambapo gazeti hilo limedai kuwakatisha tamaa wafanyabiashara wengi walioanza kutumia bandari...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani