KIWANDA CHA A TO Z ARUSHA CHAINGIA MKATABA WA MABILIONI KUZALISHA DAWA ITAKAYOTIBU SUMUKUVU KWENYE MAHINDI NA KARANGA

Na Seif Mangwangi, ArushaKIWANDA cha A to Z cha jijini hapa kimeingia mkataba wa bilioni 3.5 wa kuzalisha dawa aina ya AFLASAFE ya kutibia mazao yanayosababisha sumukuvu inayopatikana kwenye mahindi na karanga na ambayo imekuwa ikisababisha maradhi ya saratani ya ini. Mbali ya saratani ya ini, Sumukuvu (AFLATOX), inaelezwa kusababisha kudumaa kwa watoto ambao wamekuwa wakinywa uji unaotumia unga unaotengenezwa kwa zao la mahindi pamoja na karanga kwaajili ya lishe Mtendaji Mkuu wa A to Z,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KILIMO AZINDUA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAHINDI JIJINI ARUSHA

Kampuni ya mbegu ya Seedco imezindua kiwanda kipya cha kuzalisha mbegu bora za mahindi na nafaka nyingine kitakachowasaidia wakulima kulima kilimo chenye tija na kupata mazao mengi.
Uzinduzi huo uliongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula Godifrey Zambi ambaye alifungua rasmi kiwanda hicho ,Amesema kuwa tasnia ya mbegu ni tasnia muhimu katika ukuaji wa sekta ya kilimo hiyo amewataka wazalishaji mbegu kuongeza tija ili kukuza kilimo.
Ameeleza kuwa kampuni hiyo imetimiza matakwa ya serikali...

 

4 years ago

Michuzi

Chuo Kikuu cha Nelson Mandela jijini Arusha chaingia mkataba na kampuni ya Huawei Tanzania

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania, Peter Jiang(Kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Arusha, Profesa Lughano Kusiluka, wakisaini mkataba wa Shilingi Milioni 51 kama msaada wa kuchangia utafiti wa matatizo mbalimbali ya jamii nchini zilizotolewa na Kampuni hiyo mwishoni mwa wiki. Meneja Uhusiano wa Kampuni ya HUAWEI Tanzania, Peter Jiang(Kushoto) akimkabidhi mkataba, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Arusha, Profesa Lughano...

 

3 years ago

Michuzi

BUMBULI WAMPONGEZA WAZIRI MAKAMBA NI BAADA YA SERIKALI KUVUNJA MKATABA NA MWEKEZAJI WA KIWANDA CHA KUZALISHA CHAI MPONDE

NA RAISA SAIDI, BUMBULI. SERIKALI ya Tanzania imevunja rasmi mkataba na mwekezaji wakiwanda cha kuzalisha Chai cha Mponde kilichopo wilayani Bumbuli Mkoani Tanga na kuamuru kitwaliwe na kianze kazi mara moja.  Akizungumza katika mkutano uliowajumuisha wadau wazao la chai,Msajili wa Hazina Laurence Mafuru amesema kuwa kwa mamlaka aliyopewa amevunja rasmi mkataba huo kwasababu Mwekezaji aliyekuwepo kashindwa kutekeleza makubaliano yaliyoweka .  Mafuru alisema...

 

3 years ago

Michuzi

Kiwanda cha kuzalisha viuadudu wa kuua viluwiluwi wa mbu kuzalisha lita milioni 2 kwa mwaka.

Na Daudi Manongi,MAELEZO 
Kiwanda cha Biotec Product kilichopo kibaha mkoani Pwani ambacho kinamilikiwa kwa ubia baina ya Serikali za Tanzania na Cuba kimekusudia kuzalisha lita milioni 2 za dawa za viuadudu vya kuua viluwiluwi wa mbu waenezao ugonjwa wa malaria nchini.

Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa katika kiwanda...

 

2 years ago

Malunde

HAKUNA UPUNGUFU WA ARV's TANZANIA..KIWANDA CHA KUZALISHA ARV's KUJENGWA ARUSHA


BUNGE limearifiwa kuwa kwa sasa nchi haina tatizo la upungufu wa dawa za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARVs).
Kauli hiyo ilitolewa bungeni na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Fatma Toufiq (CCM) aliyetaka kufahamu mpango wa serikali wa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ARVs.
Waziri Ummy alisema kuhusu dawa za ARVs zinazoingizwa nchini, kuna dawa za watoto ambazo ni pamoja na Nevirapine Syrup na...

 

2 years ago

Michuzi

MAGEREZA KUPANUA KIWANDA CHAKE CHA VIATU CHA KARANGA MJINI MOSHI

Jeshi la Magereza nchini limeanza kutekeleza mpango wake wa kupanua shughuli za uzalishaji wa kiwanda cha Viatu cha Karanga  kilichopo mjini Moshi  mkoani Kilimanjaro  sambamba na kujenga Kiwanda Kipya cha Viatu  katika eneo hilo hilo ili kupanua huduma zake kwa wananchi na hivyo kukidhi mahitaji ya soko la sasa.
Hatua hii ni moja ya kati ya Mikakati ya Jeshi la Magereza nchini Tanzania linaloongozwa na Kamishna Jenerali Dk. Juma Malewa (Pichani juu), kuhakikisha fursa  zilizopo na wataalamu...

 

1 year ago

Malunde

Picha : RAIS MAGUFULI AKIANGALIA KIATU KINACHOTENGENEZWA NA KIWANDA CHA MAGEREZA CHA KARANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa kiatu cha Mrakibu Msaidizi wa Magereza Melkior Komba, Katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Viatu hivyo vimetengenezwa na kiwanda cha Jeshi la Magereza Karanga kilichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro.

Jeshi la Magereza linazalisha jozi 150 za viatu kwa siku katika kiwanda chake cha Karanga kilichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro, na kwa kushirikiana na mfuko wa hifadhi ya jamii wa PPF limeanza kuboresha kiwanda...

 

1 year ago

Malunde

DIAMOND KUJENGA KIWANDA CHA KARANGA UGANDA


MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond Platinumz’ wa Tanzania, anakusudia kuwekeza nchini Rwanda kwa kujenga kiwanda cha karanga nchini humo.
Kijana huyo pia anatafuta nyumba ya kuishi jiji Kigali kwa kuwa jiji hilo ni salama, safi na anamkubali sana Rais Paul Kagame. Kwa mujibu wa msanii huyo, atakapofungua kiwanda kitatoa fursa za ajira na kwamba lengo la biashara yake ni zaidi ya soko.
”…nitafurahi zaidi kama watu watafurahia bidhaa zangu, lakini zaidi wakipata ajira...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani