KIWANDA CHAHITAJI TANI 200 ZA NYANYA KWA SIKU

Soko la nyanya lisilo rasmi kando ya Mto Mlowa unaotenganisha vijiji vya Uhominyi na Iyayi katika Kata ya Image wilayani Kilolo. (PICHA NA DANIEL MBEGA) Na Daniel Mbega, Iringa KILIO cha wakulima wa nyanya mkoani Iringa cha ukosefu wa masoko ya zao hili sasa kinaonekana kupata ufumbuzi kufuatia ujenzi wa kiwanda cha kusindika bidhaa za mbogamboga kukaribia kukamilika, KwanzaJamii.com inaripoti kwa uhakika. Kiwanda hicho kipya ambacho kipo chini ya kampuni ya Darsh Industries Limited...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA SUKARI MAHONDA CHAHITAJI ENEO ZAIDI LA ARDHI KUFANIKISHA UZALISHAJI

Kiwanda cha Sukari Mahonda.
Na Mwashungi Tahir Maelezo Zanzibar 9-11-2016
Meneja wa Biashara wa Kiwanda cha sukari Mahonda Bw Pronav Shah amekumbushia ombi lao kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar la kukipatia Kiwanda maeneo zaidi ya ardhi ili kuimarisha uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho.
Amesema kiwanda hulazimika kusitisha uzalishaji wa sukari kutokana na upungufu wa miwa na huku ikwalipa mishahara wafanyakazi bila ya kuzalisha na kukipelekea...

 

2 years ago

Dewji Blog

Kiwanda cha Sukari Mahonda chahitaji eneo la ardhi kufanikisha uzalishaji wake

Meneja wa Biashara wa Kiwanda cha sukari  Mahonda Bw Pronav Shah amekumbushia ombi lao kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar la kukipatia Kiwanda maeneo zaidi ya ardhi  ili kuimarisha uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho.

Amesema kiwanda  hulazimika kusitisha uzalishaji wa sukari kutokana na upungufu wa miwa na huku ikwalipa mishahara wafanyakazi bila ya kuzalisha na kukipelekea kiwanda kuingia katika hasara.

 Ameeleza hayo  Ofisini kwake Mahonda wakati   Kamati ya Fedha, Biashara na...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Serikali kutoa mkopo kiwanda cha nyanya

CHARLES Mwijage, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, amesema serikali itatoa mkopo kwa Mwekezaji atakayejitokeza kujenga  kiwanda cha kuchakata na kusindika nyanya mkoani Morogoro, anaandika Christina Haule. Mwijage ameyasema hayo katika kongamano la uwekezaji la Mkoa wa Morogoro, linalofanyika mjini hapa na kuwahusisha wafanyabiashara, wawekezaji na mabalozi kwa lenye lengo la kutangaza fursa za uwekezaji. ...

 

2 years ago

Dewji Blog

Kasesela kuiomba UN kiwanda cha kusindika nyanya

Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela ameuomba Umoja wa Mataifa kusaidia kuanzishwa kwa kiwanda cha kusindika nyanya wilayani humo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa malengo endelevu ya dunia kipengele cha uondoaji wa umaskini.

Alisema anaamini katika kukabili umaskini ni lazima kuwapo na viwanda vinavyowezesha bidhaa ghafi za wakulima kupata soko na kwa wilaya hiyo kuondoa tatizo la soko la nyanya kutawezesha wananchi wake kupiga vita umaskini.

Aidha alisema kwamba serikali imejiandaa...

 

2 years ago

Bongo5

Dangote akifunga kiwanda chake kipya cha kusindika nyanya

Dangote Tomato Processing Factory, kiwanda kipya kinachomilikiwa na tajiri namba moja Afrika, Aliko Dangote kimefungwa baada ya kukosekana kwa mali ghafi muhimu – nyanya.

image

Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Abdulkadir Kaita, ameviambia vyombo vya habari kuwa baadhi ya mashamba ya nyanya yaliyopo kwenye majimbo ya Kano, Jigawa, Plateau, Katsina na
Kaduna, yameathiriwa na mdudu aitwaye Tuta Absoluta aliyeharibu nyanya kwenye mashamba yote na kupelekea upungufu mkubwa wa zao hilo.

Kaita...

 

2 years ago

Mwananchi

Kiwanda cha sugari cha Magereza kuzalisha tani 30, 000 kwa mwaka

Kiwanda cha sukari cha Jeshi la Magereza kilichokuwa kimefungwa mwaka 1996 kinatarajia kuzalisha tani 30, 000 kwa mwaka baada ya kuanza tena uzalishaji.

 

2 years ago

Mwananchi

Kiwanda cha sukari cha Magereza kuzalisha tani 30, 000 kwa mwaka

Kiwanda cha sukari cha Jeshi la Magereza kilichokuwa kimefungwa mwaka 1996 kinatarajia kuzalisha tani 30, 000 kwa mwaka baada ya kuanza tena uzalishaji.

 

4 years ago

Habarileo

Tani 200,000 za silaha zateketezwa

 Katibu Mkuu wa EAC, Richard SeziberaTANI 200,000 za silaha haramu zilizokuwa zimezagaa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) zimeteketezwa.

 

2 years ago

Channelten

Kiwanda cha saruji cha wazo Dsm kimetoa tani 30 sawa na mifuko 600 kwa shule mpya

screen-shot-2016-12-20-at-3-18-42-pm

Kiwanda cha saruji cha wazo cha jijini Dsm kimetoa tani 30 sawa na mifuko 600 kwa shule mpya iliyopewa jina la Ali hapi Primary ambayo ilijengwa kwa Fedha zilizotolewa za Rais Dr.Magufuri kwa ajili ya kukabiliana na ongezeko la wanafunzi baada ya kuanzishwa mkakati wa Elimu bure kwa wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari.

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ali hapi amepokea mifuko hiyo 600 ya saruji ambayo itakuwa na kazi ya ujenzi wa madarasa,ujenzi wa matundu ya vyoo pamoja na uzio katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani