Klabu ya Simba yaipa neno serikali

KLABU ya Simba imeishauri serikali kuvutia uwezekaji katika sekta ya michezo kwa kuwa ni kiwanda kikubwa ambacho kina uwezo wa kuzalisha ajira nyingi za vijana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

TFF yaipa neno Yanga

3*Wenyewe waomba uzalendo utumike kuwasaidia

NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema klabu ya soka ya Yanga iache kutumia njia ya mkato kutafuta mwafaka wa kupata barua kutoka Simba, ili imruhusu  mchezaji wake wa zamani, Hassani Ramadhani ‘Kessy’, kucheza timu hiyo.

Yanga juzi iliiandikia barua TFF ili kuisaidia kuiomba Simba kuandika barua ya kumruhusu Kessy kucheza kwenye timu hiyo, hasa baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kumbania mchezaji huyo hadi...

 

2 years ago

Habarileo

Serikali yatoa neno mechi Simba vs Yanga

KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga utakaochezwa Jumamosi ya wiki hii, serikali imetoa tahadhari kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhakikisha wanapanga waamuzi wazuri wenye maadili ya kutosha.

 

1 year ago

Michuzi

Serikali yatoa Msimamo wake kwa Klabu ya Simba kuhusu suala la uwekezaji

Na Anitha Jonas – WHUSM
Serikali imetoa msisitizo kwa Klabu ya Mchezo ya Simba kuzingatia sheria na kanuni zinayosimamia suala la uwekezaji kwa Klabu zilizoanzishwa na wanachama ambapo wanachama wanachukua 51% na mwekezaji anachukua 49%.
Msisitizo huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe alipokutana na uongozi wa Klabu ya Simba na kuzungumza nao kufuatia kutoa asilimia 50% kwa mwekezaji wa klabu hiyo Bw.Mohamed Dewji...

 

5 years ago

GPL

TP Mazembe yaipa Simba straika

Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Botswana, Jerome Ramatlhakwane. Na Mwandishi Wetu
SIMBA iko katika hatua za mwisho kumtwaa mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Botswana, Jerome Ramatlhakwane ambaye ni mali ya TP Mazembe ya DR Congo. TP Mazembe imekubali kumtoa Ramatlhakwane, maarufu kama Rama kwa Simba kwa mkopo katika kipindi cha msimu mmoja… ...

 

3 years ago

BBCSwahili

Simba yaipa Yanga ubingwa

Timu ya soka ya Yanga imetwaa kwa mara ya pili mfululizo ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara.

 

2 years ago

Global Publishers

Breaking News: Kamati ya Saa 72 Yaipa Simba Pointi 3

KLABU ya Simba imezidi kujihakikishia ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kushinda rufaa yake dhidi ya Kagera Sugar ambao imethibitika mbele ya Kamati ya Saa 72 kuwa mchezaji wa Kagera Sugar, Mohamed Fakhi alicheza mechi ya Simba akiwa na kadi tatu.

Simba ilikata rufaa ikitaka ipewe pointi tatu kwa kuwa Kagera Sugar ilimchezesha Mohamed Fakhi akiwa na kadi tatu za njano. Katika mechi hiyo, Simba ililala kwa mabao 2-1 na baada ya hapo, ikatangaza kutangaza kukata rufaa. Kulingana na kanuni za...

 

4 years ago

Dewji Blog

Klabu ya Simba yashirikiana na Tigo Tanzania kuzindua huduma ya Simba news

4

Meneja Mawasiliano ya Biashara wa Tigo Jacqueline Nnunduma, (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya Simba News uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Rais wa Simba Evans Aveva na kushoto ni Mkurugenzi wa EAG Group LTD, Iman Kajula ambaye ni Mshauri wa kutekeleza shughuli za Kibiashara na Masoko katika Klabu ya Simba.

3

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa huduma ya...

 

3 years ago

Bongo5

Klabu ya Simba na MO Dewji wamefikia makubaliano ya kuiendesha Simba katika mfumo wa hisa

Kamati ya utendaji ya Klabu ya Simba August 15 2016 ilikutana na mkurugenzi mtendaji mkuu wa makampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL) Mohammed Dewji ambaye aliomba kununua asilimia 51 ya hisa za Simba kama mfumo ukibadilika na kuanza kuendeshwa klabu hiyo kwa hisa, leo August 17 Simba wametoa makubaliano yao walioafikiana katika kikao chao cha pamoja.

14697730421469773042

Katika taarifa ambayo imetolewa na msemaji wa Simba, Haji Manara kuhusu mazungumzo yaliyofanywa na kamati ya utendaji ya Simba na...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …

Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]

The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani