KOCHA MSAIDIZI SIMBA SC AKANUSHA KUJIUZULU

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

YANGA NA SIMBA ZAPIGWA FAINI, SIMBA YAPEWA ONYO KALI KWA KOCHA WAKE MSAIDIZI

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imepitia ripoti za michezo yote ya Ligi Kuu Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja Pili (SDL) na kufanya uamuzi ufuatao.

Mechi namba 54 (Simba 4 v Njombe Mji 0).


Klabu ya Simba imepewa Onyo Kali kutokana na Kocha wake Msaidizi Masoud Djuma kuanza kufundisha bila kuwa na vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini. Uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Kanuni ya 40(13) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa Makocha.


Pia klabu...

 

3 years ago

Dewji Blog

Kocha msaidizi wa Simba SC, Selemani Matola aachana rasmi na klabu hiyo!

Matola5                                       Kocha Seleman Matola 

Na Rabi Hume

Kocha msaidizi wa klabu ya Simba SC, Selemani Matola ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na Simba kufuatia kutokuwepo kwa maelewano mazuri na kocha mkuu, Dyran Kerr.

Matola amesema kuwa kwa kipindi kirefu amekuwa hana maelewano mazuri na kocha huyo kwa kila jambo ambalo anamshauli kocha mkuu Kerr kuwa akikataa na hata muda mwingine kumtolea maneno ya dharau.

Aidha Matola amesema kuonyesha kuwa kocha huyo hakuwa...

 

2 years ago

Michuzi

SAA 24 ZA KUJIUZULU KWA JACKSON MAYANJA, SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA MRUNDI

Afisa habari wa Simba Haji Manara akimtambukisha kocha mpya Masoud Djuma (Kulia) aliyechukua nafasi ya Jackson Mayanja pamoja na meneja mpya wa Simba Richard Robert leo katika mkutano na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam. 
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.UONGOZI wa klabu ya Simba leo mchana umemtambulisha kocha mpya atakayevaa viatu vya aliyekuwa kocha msaidizi Jackson Mayanja pamoja na meneja mpya anayechukua nafasi ya Dr Cosmas Kapinga.
Akitoa utambulisho huo mbele ya  waandishi...

 

3 years ago

Global Publishers

Makamu wa Rais Akanusha Kujiuzulu

index

YAH: KUKANUSHA TAARIFA INAYOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII

Ofisi ya Makamu wa Rais inakanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake na kwamba taarifa hiyo ni ya uzushi na uongo haina ukweli wowote.

Taarifa hiyo ni ya uchochezi inayolenga kuliweka Taifa kwenye taharuki. Mhe. Makamu wa Rais yuko bega kwa bega na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

2 years ago

Habarileo

Tajdin kocha msaidizi Ndanda

UONGOZI wa timu ya soka ya Ndanda FC ya Mtwara umemtangaza kocha Mohamed Tajdin kuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo mpaka pale msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakapomalizika.

 

2 years ago

BBCSwahili

Claudio Makelele ndiye msaidizi wa kocha Swansea

Klabu ya Swansea City imemsajili aliyekuwa kiungo wa kati wa Ufaransa na Chelsea Claudio Makelele kuwa naibu wa kocha

 

4 years ago

CloudsFM

ALIYEKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TAIFA STARS AFARIKI DUNIA

Aliye kuwa kocha wa zamani wa timu ya Taifa Star Sylvester Marsh amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili ambapo alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Saratani ya koo kwa muda mrefu Sylvester enzi za uhai wake alishawahi kufanya kazi kakita timu tofauti tofauti ikiwemo timu ya Toto Africa Mwanza,Kagera Suger ,Azam FC ya Dar Es Salaam na Taifa Stars Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi Amen

 

2 years ago

Mwananchi

Kocha msaidizi Bayern Munich aja na mipango mizito

 Kocha mpya msaidizi wa klabu ya Bayern Munich, Willy Sagno amesema amerudi klabuni hapo na mipango kabambe ya kuifanya Bayern Munich kuwa bora zaidi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani