Kocha wa Zanzibar Cosmos Seif Mbuzi Aongeza Juhudi ya kunyanyua Kiwango cha Mpira wa Miguu Zenj

Kocha wa timu ya Zanzibar Cosmos Seif Mbuzi akiwa katika Mazoezi ya kawaida kwenye viwanja vya mpira wa Miguu Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar siku ya Jumanne Aug 26,2014. Kocha wa timu ya Zanzibar Cosmos Seif  Mbuzi akiwafundisha na vijana wake jinsi ya kufunga magoli ya mbali katika Mazoezi kwenye viwanja vya mpira wa Miguu Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar siku ya Jumanne Aug 26,2014.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Kocha Khalfan Ngassa na benchi la timu ya mpira wa miguu ya Toto Africans ya Mwanza

Kocha Khalfan Ngassa amekuwa kwenye benchi la timu ya mpira wa miguu ya Toto Africans ya Mwanza akiwa kocha msaidizi kwa mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inayoendelea kwenye viwanja mbalimbali nchini. 
Khalfan Ngassa aliongoza timu kwenye mchezo Na. 62 dhidi ya Kagera Sugar Oktoba 7, 2016; mchezo Na. 67 dhidi ya Mbao FC uliofanyika Oktoba 12, 2016 na Mchezo Na. 79 dhidi ya Majimaji ya Songea uliofanyika Oktoba 15, mwaka huu. 
Kwa mujibu wa Kanuni ya 72 (3) (5) ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

ZFF yanukia – Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar

Chama cha Soka Visiwani Zanzibar “ZFA” huwenda ikawa ZFF, yani Zanzibar Football Federation (Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar) ikatoka kwenye Zanzibar Football Association (Chama cha mpira wa miguu Zanzibar).

 

Mchakato wa hayo mambo huwenda yakaanza kujadiliwa katika kikao cha Kamati Tendaji ya ZFA kitakachokaliwa siku ya Jumapili ya Machi 26 katika ukumbi wa Magereza Kilimani Mjini Unguja kuanzia saa2:30 asubuhi ambapo pia mambo mengine zaidi yatapelekwa katika mkutano mkuu ambao...

 

2 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MICHUANO YA MPIRA WA MIGUU YA MAJIMBO YA CCM ZANZIBAR

 Vijana wa CCM Family wakipita kwa  maandamano wakati wa  Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohanmed Shein Vijana wa CCM Jimbo la Jang'ombe wakipita kwa  maandamano wakati wa  Uzinduzi wa Mashindano ya michuano ya Majimbo ya CCM Mpira wa Miguu katika uwanja wa Amaan leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti...

 

3 years ago

Bongo5

Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Pwani (COREFA) cha simamisha uchaguzi wa Wilaya ya Bagamoyo (BFA)

Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Pwani (COREFA), kwa mara nyingine imeusimamisha uchaguzi wa Chama cha Soka Wilaya ya Bagamoyo (BFA) uliokuwa ufanyike kesho July 30, 2016.

Kusimamishwa kwa uchaguzi huo ni kutokana na mapingamizi kutoka kwa baadhi ya wagombea wakipinga mfumo mzima wa usaili uliofanyika jana na kuwahalalisha wagombea wote kuingia katika kinyang’anyilo wakati miongoni mwao wakiwa hawana sifa za kuwa wagombea.

Hussein Kipindula ni mmoja wa wagombea...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Wizara ya Afya Zanzibar yaandaa michuano ya mpira wa miguu kuadhimisha siku ya kisukari Duniani

Waandaaji wa michuano ya maadhimisho ya siku ya kisukari Duniani kwa Zanzibar Timu ya Wizara ya Afya imeyaaga mashindano hayo katika mchezo  wa ufunguzi baada ya kufungwa na timu ya Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na watoto kwa mikwajuni ya penelti katika kiwanja cha Amani nje.

Michezo hiyo inayoshirikisha Timu  nane za Wizara za Serikali ya Mapnduzi ya Zanzibar  inachezwa kwa mtindo wa mtoano na fainali itachezwa tarehe 13 mwezi huu, siku moja kabla ya kilele cha...

 

2 years ago

Zanzibar 24

RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amezindua mashindano ya Mpira wa miguu ‘Majimbo Cup’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua mashindano ya Mpira wa miguu ‘Majimbo Cup’ na kuwataka vijana wanaoshiriki mashindano hayo kucheza kwa maadili na nidhamu kama kilivyo chama chao cha CCM.t

Uzinduzi huo umefanyika katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar ikiwa ni maadhimisho ya mwaka mmoja tokea kuapishwa kwa Dk. Shein kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kufuatia ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi mkuu...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya Zanzibar yaandaa michuano ya mpira wa miguu kuadhimisha siku ya Kisukari Duniani Novemba 14

Afya imeyaaga mashindano hayo katika mchezo  wa ufunguzi baada ya kufungwa na timu ya Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na watoto kwa mikwajuni ya penelti katika kiwanja cha Amani nje.

Michezo hiyo inayoshirikisha Timu  nane za Wizara za Serikali ya Mapnduzi ya Zanzibar  inachezwa kwa mtindo wa mtoano na fainali itachezwa tarehe 13 mwezi huu, siku moja kabla ya kilele cha maadhimisho hayo yanayofanyika kili ifikapo 14 Novemba, ya kila mwaka.

Timu hizo zilimaliza dakika 90...

 

3 years ago

Michuzi

KUELEKEA NOVEMBA 14 WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAANDAA MICHUANO YA MPIRA WA MIGUU KUADHIMISHA SIKU YA KISUKARI DUNIANI

Na Ramadhani Ali, Maelezo           Waandaaji wa michuano ya maadhimisho ya siku ya kisukari Duniani kwa Zanzibar Timu ya Wizara ya Afya imeyaaga mashindano hayo katika mchezo  wa ufunguzi baada ya kufungwa na timu ya Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na watoto kwa mikwajuni ya penelti katika kiwanja cha Amani nje.Michezo hiyo inayoshirikisha Timu  nane za Wizara za Serikali ya Mapnduzi ya Zanzibar  inachezwa kwa mtindo wa mtoano na fainali itachezwa tarehe 13 mwezi huu,...

 

3 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU IRINGA (IRFA) KUJENGA UWANJA WA KISASA.

Kulia ni mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava akiwa na baadhi ya viongozi wa uwanja wa samora.
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa (IRFA) kiko mbioni kujenga uwanja wake wa kisasa utakaosaidia kuendeshea ligi mbalimbali zikiwemo ligi za kimataifa hali itakayosaidia kuinua soka la mkoa huo .
Akizungumza ofisini kwake mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava alisema wameamua kujenga uwanja wao ili...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani