Kocha Wenger apuuza wanaomkosoa Asema ni utamaduni mbaya, asisitiza Arsenal itabaki imara

screen-shot-2016-12-27-at-10-50-26-am

Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa ukosoaji unaoendelea dhidi yake kwa sasa umepita kiasi, hasa wakati ambapo timu yake inaendelea kuimarisha harakati zake za kushinda taji la ligi kuu.

Gunners wako katika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kwa kuwa na alama 37, ambazo ni tisa chini ya vinara Chelsea.

Wenger akiwa katika msimu wake wa 20 na Arsenal amelifananisha soka na siasa katika jamii akisema kila mtu ana maoni yake.

Kocha huyo ambaye ni raia wa Ufaransa...

Channelten

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Wenger: Benki zilitaka nisalie kocha wa Arsenal

Mkufunzi wa timu ya Arsenal sasa anasema kuwa uwepo wake katika kilabu hiyo uliisaidia kilabu hiyo kupata mkopo wa ujenzi wa uwanja wa Emirates.

 

2 years ago

Mwananchi

Arsenal inakabiliwa na vita mbili, asema Wenger

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amekiri timu yake inakutana na mtihani wa kumaliza ndani ya timu nne za juu huku ikiwa bado na lengo la kuifukuza Chelsea kileleni.

 

3 years ago

MillardAyo

Henry kaacha kazi Arsenal kisa kocha Arsene Wenger

Thierry-Henry-Arsene-Wenger

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry ambaye amestaafu soka na kuingia kwenye kazi ya ukocha katika klabu yake ya zamani ya Arsenal, Juy 12 2016 ameamua kutangaza maamuzi magumu kuhusu ajira yake ndani ya klabu ya Arsenal. Henry ameamua kuacha kazi ya kuendelea kukifundisha kikosi cha vijana cha Arsenal, baada ya kocha mkuu wa […]

The post Henry kaacha kazi Arsenal kisa kocha Arsene Wenger appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Taarifa ambazo ni pigo kwa mashabiki wa Arsenal na kocha Wenger

arsene-wenger-425512

Ni kweli taarifa zilizotolewa leo na klabu ya Arsenal haziwezi kuwapa furaha mashabiki wa Arsenal na kocha wao Arsene Wenger, ukizingatia wakati huu ambao watakuwa na mtihani mzito wa kurudisha heshima katika Ligi Kuu England. Arsenal leo October 26 2016 wamepokea taarifa mbaya kuhusu mshambauliaji wao raia wa Hispania Lucas Perez kuwa atakaa nje ya […]

The post Taarifa ambazo ni pigo kwa mashabiki wa Arsenal na kocha Wenger appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mwananchi

Wenger aambiwa ajipime upya Arsenal, kocha aangua kilio

Kocha Arsene Wenger ameambiwa ajipime kama anafaa kuendelea kubaki au kuondoka kwenye klabu hiyo msimu ujao.

 

1 year ago

BBCSwahili

Arsenal: Ni kocha gani Ulaya anayeweza kuchukua mahala pake Wenger?

Huku Arsenal ikimtafuta mrithi wa Arsene Wenger , wanahabari wa BBC Radio 5 James Horncastle, Rafael Honigstein na Julien wanawachanganua wakufunzi walioorodheshwa kuchukua nafasi hiyo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger asema 'alisita' kutia saini mkataba mpya Arsenal

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amesema ''alisita'' wakati wa kutia saini mkataba mpya mwishoni mwa msimu uliopita kwa sababu hakuwa na uhakika kwamba ''angeweza kuiongoza klabu hiyo.''

 

2 years ago

BBCSwahili

Arsene Wenger: Meneja wa Arsenal asema bado atakuwa kazi msimu ujao

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kwamba hana shaka yoyote kwamba atakuwa bado anafanya kazi ya umeneja msimu ujao.

 

2 years ago

Mwananchi

Wenger apuuza makombora ya Tony Adams

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ameonyesha kutotilia maanani kuhusu matamshi aliyoyatoa na beki wake wa zamani Tony Adams anayefundisha Granada.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani