Kongamano la Uwekezaji kati ya Tanzania na China lafanyika Arusha Inbox xWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki akizungumza wakati wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na wawekezaji kutoka Jimbo la Zhejiang la China lililofanyika jijini Arusha tarehe 13 Mei 2019. Katika hotuba yake Mhe. Kairuki alisisitiz akuwa Tanzania ni eneo salama zaidi kuwekeza barani Afrika kutokana na sababu za msingi kama amani, mazingira na sheria rafiki za uwekezaji pamoja na maeneo lukuki ya kuwekeza kama kilimo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA INDIA

Kufuatia tukio la ugeni wa kitaifa wa Mheshimiwa Narendra Modi, Waziri Mkuu wa India hapa nchini, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), pamoja na Jukwaa la Biashara la India (IBF) na Shirikisho la Biashara na Viwanda la India (FICCI) wanaandaa Kongamano la Biashara na Uwekezaji litakalofanyika Siku ya Jumapili tarehe 10 Julai 2016 kuanzia saa 3:00 asubuhi katika Ukumbi wa Kilimanjaro uliopo Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es...

 

2 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MAURITIUS

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki; Taasisi ya Sekta Binafsi ya Tanzania (TPSF); Bodi ya Uwekezaji ya Mauritius (BOI), Taasisi ya Biashara na Viwanda ya Mauritius (MCCI) pamoja na Shirika la Serikali la Viwanda Vidogovidogo la Mauritius (Enterprise Muritius kinaratibu Kongamano la Biashara na Uwekezaji Kati ya Tanzania na Mauritius litakalofanyika tarehe 23 Machi, 2017 Port Louis, Mauritius. 
Lengo la kongamano hili...

 

5 years ago

Michuzi

makamu wa rais wa china,Li Yuanchao afungua mkutano wa uwekezaji kati ya tanzania na china jijini Dar leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao wakitazama picha za ziara ya hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam  Juni 23, 3014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya kinyago, Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao  kabla ya mgeni huyo kufungua mkutano wa Uwekezaji kati ya Tanzania na China...

 

2 years ago

Michuzi

Siku ya Kongamano la Biashara ya Kilimo na Uwekezaji kati ya Tanzania na Uholanzi yafanaKatika kutekeleza Sera ya Diplomasia ya Uchumi, Ubalozi wa Tanzania kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi uliopo Tanzania, Wizara ya Masuala ya Uchumi na Wizara ya Mambo ya Nje za Uholanzi na Taasisi ya Netherlands–African Business Council (NABC)kwa pamoja ziliandaa Kongamano la Biashara na Uwekezaji lililofanyika hapa The Hague, Uholanzi tarehe 31 Mei 2017. 
Lengo kuu la Kongamamo hilo, pamoja na kuendeleza na kukuza uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Uholanzi, nikutangaza fursa...

 

11 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Malawi ambalo litafanyika Julai 26 hadi Julai 27 mwaka huu mkoani Mbeya.
Kongamano hilo limeandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji  Tanzania(TIC), Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade) pamoja na Taasisi ya Biashara na Uwekezaji ya Malawi(MITC).
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam...

 

4 years ago

Dewji Blog

Kongamano la upatikanaji wa fedha za ndani za maendeleo lafanyika jijini Arusha

CDF 1

Mratibu Mkazi  Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) na Mwakilishili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez ambaye alikua mgeni rasmi katika Kongamano la upatikanaji wa fedha za ndani za maendeleo akitoa hotuba yake kwa washiriki  kutoka Halmashauri za wilaya nchini lililofanyika jijini Arusha. CDF 2

Mkuu wa Mfuko wa Umoja wa mataifa wa Ukuzaji Mitaji (UNCDF) nchini na Meneja wa LFI duniani, Peter Malika akizungumza wakati Kongamano hilo.

CDF 4

Mkurugenzi wa...

 

4 years ago

GPL

SERIKALI KUITISHA KONGAMANO LA UWEKEZAJI WA BISHARA NDOGO NA ZA KATI

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (Maelezo),  Zamaradi  Kawawa  akimtambulisha (Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Diaspora, Rosemary Jairo, (Kulia). Bi. Jairo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza. SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kwa kushirikiana na  Kituo cha Uwekezaji cha Kimataifa...

 

4 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA KONGAMANO LA 3 LA VIJANA WA TANZANIA NA CHINA, JIJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake jana Machi 29, 2015 wakati akifunga rasmi Kongamano la tatu la Vijana wa Tanzania na China, lililohusu masuala ya Uongozi, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto jijini arusha.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la China na Afrika, Chen Lin, baada...

 

2 years ago

Channelten

Kongamano la vyombo vya habari vya China na nchi za Afrika Mashariki lafanyika Kenya

screen-shot-2016-12-03-at-7-15-02-pm

Kongamano la vyombo vya habari vya China na nchi za Afrika Mashariki limefanyika huko Nairobi. Wajumbe waliohudhuria kongamano hilo wamebadilishana maoni kuhusu kupanua jukwaa la ushirikiano, kuzidisha mawasiliano na kutembeleana, kufundishana kuhusu vyombo vipya vya habari na kushirikiana katika kuongeza sauti kwenye jukwaa la kimataifa .

Kongamano hilo limefanyika mwaka mmoja baada ya mkutano wa kilele wa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika uliofanyika huko Johannesburg,...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani