KONGWA WAFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU KUTEMBELEA MIRADI YA VIJANA ILI KUJIFUNZA

Na Stella Kalinga, SimiyuViongozi kutoka Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Deo Ndejembi pamoja na baadhi ya viongozi wa vikundi vya vijana wilayani humo wamefanya ziara Mkoani Simiyu ili kujifunza namna vikundi vya vijana vinavyotekeleza miradi yake.
Timu hiyo imefanya ziara ya siku mbili hadi Juni 08, 2018  katika miradi inayotekelezwa na vijana kwa kushirikiana na Halmashauri ambayo ni Kiwanda cha Chaki,  Kiwanda cha kutengeneza bidhaa za ngozi wilayani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

WAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUTEMBELEA MIRADI YA UMEME

Waziri wa Nishati na Madini akiulizia utekelezaji wa umeme katika kijiji cha Kamgendi katika siku yake ya kwanza ya siku 6 za ziara katika Wilaya zote za Mkoa wa MaraMeneja wa TANESCO mkoani Mara, Henry Byabato (kulia) akifafanua usambazaji wa umeme vijijini katika mkoa huoWananchi wakimsikiliza

 

3 years ago

Michuzi

BALOZI SIMBA AWAPONGEZA WAOKOAJI AJALI YA MV KILOMBERO, AMALIZA ZIARA YAKE YA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO YA JESHI LA MAGEREZA MKOANI MOROGORO.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya (katikati) pamoja na ujumbe wake, wakiingia katika lango kuu la kuingilia abiria wakati alipotembelea eneo kilipozama kivuko cha MV Kilombero II na kushuhudia shughuli za uokoaji wa magari, utafutaji miili ya watu na uokoaji wa kivuko hicho ukiendelea. Balozi Simba alifanya ziara ya kikazi mkoani Morogoro kwa kutembelea miradi ya maendeleo ya Jeshi la Magereza mkoani humo. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani...

 

4 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA WA MOYO WAFANYA ZIARA MKOA WA SIMIYU. Madaktari  bingwa kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimfanyia  upasuaji  mgonjwa  katika hosptali ya Wilaya ya Bariadi mkoani  Simiyu Zowezi  hilo lina endelea katika  hosptali ya Wilaya ya Bariadi hadi sasa zaidi ya watu 480Bingwa wa magonjwa ya moyo Dokta Tatizo Wane akimpima mgonjwa kwa kutumia mashine ya kisasa inayojulikana kama ECHOCARDIOGRAM Machine Zowezi  hilo lina endelea katika  hosptali ya Wilaya ya Bariadi hadi sasa zaidi ya watu 480. Wakazi wa mji wa Bariadi na maeneo...

 

3 years ago

Michuzi

TPDC na Jeshi la Polisi wafanya ziara ya kutembelea miundombinu- Mtwar hadi Dar

Kwa kuzingatia umuhimu wa miundombinu kuchakata na kusafirisha gesi asilia hapa nchini, Serikali imedhamiria kuimarisha zaidi ulinzi wa miundombinu hii.
Haya yalibainishwa mwishoni mwa juma ambapo Mkuu wa Jeshi la polisi Tanzania, IGP Ernets Mangu alifanya ziara kutembelea miundombinu ya gesi asilia kutokea Mtwara mpaka Dar es Salaam. 
Katika ziara hiyo, IGP aliambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC Dr. James Mataragio, ambapo kwa pamoja walipata fursa ya kuona visima...

 

3 years ago

Michuzi

Rais afanya ziara kisiwani Pemba kutembelea miradi ya Maendeleo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Issa Juma Othman (kulia) na Mkuu wa Wilaya yaMkoani Hemedi Rashid wakati alipotembelea leo miradi ya ujenzi wa Vidaraja (Steps)Kikwajuni Skuli ya Ng’ombeni vilivyojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar  ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

11 months ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII YAVUTIWA NA MIRADI YA TASAF MKOANI SIMIYU.


NA ESTOM SANGA- BARIADI

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii wamefanya ziara mkoani Simiyu na kuvutiwa na mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF-mkoani humo.

Wajumbe hao walianza ziara yao kwa kusomewa taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ambapo Katibu Tawala wa Mkoa huo , Jumanne Sagini aliwajulisha Wajumbe hao kuwa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa na TASAF,umekuwa chachu muhimu katika...

 

4 years ago

Michuzi

Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo yahitimisha mafunzo kwa kutembelea miradi mbalimbali wilaya ya Nzega

 Mwenyekiti wa Kikundi cha Tujiajiri Group cha Tarafa ya Nyasa wilaya ya Nzega Bw.Fanuel Kifunyu(waKwanza kulia)akiongea na kuonyesha ujumbe kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo kuhusu Bidhaa mbalimbali wanazotengeneza zikiwamo Sabuni,matofali ya kufungamana,na karanga baada ya kupata mafunzo ya mfuko wa Maendeleo ya Vijana,Stadi za Maisha,Ujasiriamali na Uongozi Bora.Wengine pichani ni Afisa Vijana Laurean Masele(wa pili kutoka kulia),Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AENDELEA NA ZIARA YAKE JIMBO LA KONGWA MKOANI DODOMA.

Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Mkoka wakitazama Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na ujumbe wake ukikatiza kwenye moja ya daraja wakati wakielekea katika kijiji hicho cha Mkoka,Wilayani Kongwa mkoani Dodoma,Ndugu kinana aliweka jiwe la msingi la kitega uchumi cha tawi la CCM pamoja na kufungua Ofisi ya CCM Tawi la Mkoka.Ndugu Kinana akiwa amembatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa,Nape Nnauye anaendelea na ziara yake ya siku tisa mkoani humo,akikagua na...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani