Korea Kaskazini ilivyoufuta mkutano wa makamu wa rais wa Marekani Mike Pence

Mkuu wa watumishi wa Pence, Nick Ayres, amesema makamu huyo wa Rais alikuwa amepangiwa kukutana na wajumbe wa Pyongyang akiwemo Kim Yo Jong - dadake kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yamuita 'mjinga' Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence

Siku za hivi karibuni Marekani na Korea Kaskazini zimeonya kuwa mkutanoa wa Juni 12 unaweza kuharishwa au kufutwa kabisa.

 

2 years ago

Bongo5

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence atajwa kuhudhuria kwenye ‘Super Bowl 51′

Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence ameripotiwa kuwa atahudhuria fainali za Super Bowl 51 Houston, Marekani.

Endapo Pence atahudhuria kwenye tamasha hilo atakuwa makamu wa Rais wanne wa Marekani kuhudhuria baada ya Spiro Agnew, George H.W. Bush na Al Gore ambao wamemtangulia. Wasanii ambao wanatarajiwa kutumbuiza kwenye fainali hizo ni pamoja na Lady Gaga, Hamilton, Luke Bryan na wengine.

Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika Jumapili hii ya Februari 5 kwenye uwanja wa NRG Stadium ambao...

 

2 years ago

BBCSwahili

Mike Pence Taro Aso wateta kuhusu Korea Kaskazini

Mike Pence Taro Aso wateta kuhusu Korea Kaskazini

 

2 years ago

BBCSwahili

Pence: Marekani haitaivumilia tena Korea Kaskazini

Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence amesema "njia zote" zinaweza kutumiwa kukabiliana na Pyongyang.

 

2 years ago

VOASwahili

Pence aitaka Korea Kaskazini kutoijaribu Marekani

Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence ametoa onyo kali kwa Korea Kaskazini Jumatatu, akirejea kutaja mashambulizi ya angani yaliofanywa hivi karibuni na Marekani huko Syria na Afghanistan.

 

2 years ago

BBCSwahili

Makamu wa rais mteule Mike Pence azomewa New York

Makamu wa rais wa Marekani, Mike Pence, alizomewa kwenye ukumbi wa tamthilia mjini New York.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Korea Kaskazini yamtusi makamu wa Rais wa Marekani

Afisa wa cheo cha juu wa Korea Kaskazini amemlaumu Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence kwa kuwa “mjinga” na kuonya kuwa kutakuwa na maonyeshano ya ubabe wa nyuklia ikiwa mazungumzo yatafeli.

Choe Son-hui alisema Pyongyang haitaweza kuibembeleza Marekani kwa mazungumzo.

Siku za hivi karibuni pande hizo mbili zimeonya kuwa mkutano wa Juni 12 unaweza kuhairishwa au kufutwa kabisa.

Korea Kaskazini ilisema itafikiria tena iwapo itahudhuria mkutano ikiwa Marekani itaendelea kusisitiza kuwa...

 

1 year ago

BBCSwahili

Makamu rais wa Marekani agoma kula chakula cha jioni na dada rais wa Korea Kaskazini

Makamu rais wa Marekani, Mike Pence amegoma kuwepo katika chakula cha jioni na kiongozi wa serikali ya Korea Kaskazini Kim Yong-nam

 

1 year ago

VOASwahili

Pence awaepuka maafisa wa Korea Kaskazini katika Olympic

Makamu wa Rais Mike Pence, kiongozi wa Korea Kusini na mwakilishi wa Korea Kaskazini walijikuta wako pamoja katika jukwaa la wageni rasmi Ijumaa wakati wa ufunguzi wa Michezo ya Olympic 2018 nchini Korea Kusini.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani