Korea Kaskazini kurusha tena bomu la nyuklia

2af6d777-98e6-46ef-b59e-f9f59910e577_cx0_cy5_cw0_mw1024_mh1024_s

SEOUL, KOREA KUSINI

MAOFISA wa Korea Kusini wametahadharisha kwamba huenda Korea Kaskazini ikafanya jaribio lingine la bomu la nyuklia wakati wowote.

Wasiwasi huo unakuja baada ya Ijumaa iliyopita Korea Kaskazini kufanya jaribio linalohesabiwa kubwa zaidi katika historia ya taifa hilo.

Msemaji wa jeshi la Korea Kusini amesema bado kuna shimo la kulipua bomu ambalo halijatumiwa katika eneo la kufanyia majaribio la Punggye-ri, ambalo linaweza kutumiwa kulipua bomu la sita wakati wowote.

Korea...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini 'kulipua bomu la nyuklia tena'

Maafisa wa korea kusini wametahadharisha kwamba huenda Korea Kaskazini ikafanya jaribio jingine la bomu la nyuklia wakati wowote, baada ya kutekeleza jaribio jingine la bomu la nyuklia Ijumaa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini kulipua bomu la nyuklia

Korea Kusini imesema imepata dalili kwamba Korea Kaskazini inajiandaa kufanya jaribio la tano la bomu la nyuklia

 

2 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Jaribio la bomu la nyuklia limefanikiwa kwa asilimia 100

Korea Kaskazini imesema zoezi la kujaribu makombora yake lilifanikiwa kwa asilimia 100 siku ya Jumapili.

 

1 year ago

MwanaHALISI

Korea washangilia bomu la Nyuklia

KOREA Kaskazini imefanya sherehe kubwa kwa ajili ya kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa ya bomu la Nyuklia nchini humo, anaandika Irene Emmanuel. Sherehe hiyo imefanyika katika Mji Mmkuu, Pyongyang huku wananchi wakishangilia wanasayansi waliokuwa ndani ya basi katika barabara kuu za mji huo. Wananchi walijumuika katika Uwanja wa Kim II-Sung yu kuwapongeza wanasayansi hao. Siku ...

 

3 years ago

BBCSwahili

Marekani:Korea Kaskazini kurusha roketi

Korea Kaskazini huenda inajiandaa kurusha roketi, maafisa wa Marekani wamesema kufuatia vitendo vingi vinavyofanywa katika kituo cha satelite cha Sohae.

 

3 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yashindwa katika kurusha kombora

Korea Kaskazini imefanya jaribio la kufyatua kombora lakini dalili zote zinaonesha jaribio hilo halikufanikiwa, maafisa wa Marekani na Korea Kusini wanasema.

 

3 years ago

Global Publishers

UN Yalaani Korea Kaskazini Kurusha Kombora la Masafa Marefu

korea (2)
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani hatua ya Korea Kaskazini kulipua Kombora la masafa marefu.

Katika taarifa iliyotolewa baada kikao cha dharura mjini New York imesema baraza limekubaliana kuiwekea nchini hiyo vikwazo vya kiuchumi mapema iwezekanavyo,lakini pia baraza hilo limeilaumu Korea Kaskazini kwa kukiuka maazimio ikiwa ni pamoja na hatua yake ya kulipua bomu la nyuklia mwezi January.

korea (3)Kauli hizo za kuilaani hatua hiyo Korea Kaskazini zimetowa maeneo mbali mbali duniani...

 

3 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yafufua mtambo wa nyuklia

Korea Kaskazini imeuwasha mtambo wake wa kinyuklia kwa nia ya kuzalisha madini ya Plutonium.

 

3 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini kufanyia majaribio nyuklia

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ametangaza kwamba taifa hilo litafanyia majaribio silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu karibuni.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani