Korea Kaskazini yakaidi vikwazo vipya vya UN

Korea Kaskazini imetoa ujumbe mpya ikipinga vikwazo vipya vilivyowekwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) kutokana na muendelezo wa programu za nyuklia na makombora za siri.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yawekewa vikwazo vipya

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limepiga kura kwa kauli moja kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini kama adhabu ya kufanyia majaribio zana zake za nuklia

 

6 months ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Vikwazo vipya ni kama vita

Korea Kaskazini imetaja vikwazo vya hivi majuzi vya Umoja wa Mataifa dhidi yake kuwo kitendo cha vita.

 

9 months ago

VOASwahili

Marekani yaandaa rasimu ya vikwazo vipya UN dhidi ya Korea Kaskazini

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) litajadili azimio linaloagiza vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Korea Kaskazini.

 

4 months ago

VOASwahili

Vikwazo vipya Marekani kulenga Tanzania, China, Korea Kaskazini

Baada ya Marekani kutangaza kuwa itaiwekea Korea Kaskazini vikwazo vikali zaidi katika mitandao yake ya kibiashara duniani kote, Ijumaa Rais Donald Trump alitishia kuwepo “awamu ya pili” ya vikwazo iwapo vya kwanza vinalegalega.

 

11 months ago

BBCSwahili

Umoja wa Mataifa, umeunga mkono Vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini

Majirani wao Korea Kusini, wameiomba Korea Kaskazini kufuata njia ya mazungumzo, ili kutanzua mzozo uliopo wa mpango wa Pyongyang, kuhusu zana za kinuklia

 

11 months ago

BBCSwahili

Umoja wa Mataifa waunga mkono vikwazo vipya dhidi ya Korea Kaskazini

Majirani wao Korea Kusini, wameiomba Korea Kaskazini kufuata njia ya mazungumzo, ili kutanzua mzozo uliopo wa mpango wa Pyongyang, kuhusu zana za kinuklia

 

9 months ago

Channelten

Baada ya kuweka vikwazo vipya na UN, Korea kaskazini yaaapa kuharakisha mpango wake wa silaha za nyuklia.

38410717_303

Korea kaskazini imeapa kuharakisha mpango wake wa silaha za nyuklia kama hatua ya kujibu vikwazo vilivyowekwa na baraza la uslama la umoja wa mataifa baada ya jaribio lake la sita na kubwa kabisa la silaha za nyuklia

Wizara ya mambo ya nchi za kigeni ya Korea kaskaini imesema katika taaarifa kwamba taifa hilop litaongeza maradufu juhudi za kujiimarisha ili kuulinda uhuru na haki uale.

Vikwazo vipya vilivyoandaliwa na Marekani vilipitishwa mapama wiki hii na vinajumuisha marufuku ya kuuza...

 

2 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yakaidi onyo na kufyatua kombora

Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa marefu anga ya mbali kinyume na maazimio ya umoja wa mataifa na kusababisha shutuma za kimataifa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yajibu vikwazo vya UN

Taifa hilo limerusha makombora ya masafa mafupi, kuonyesha ghathabu yake dhidi ya vikwazo vipya vya Umoja wa Mataifa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani