KRC Genk imelazimishwa sare na Lokomotiva ugenini, Samatta akipachika goli

1

Usiku wa August 18 2016 michezo ya Play offs ya kuwania kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa katika viwanja mbalimbali barani Ulaya, moja kati ya michezo ya Europa iliyochezwa usiku wa August 18 ni mchezo kati ya Lokomotiva Zagreb ya Croatia dhidi ya KRC Genk inayochezewa na Mbwana Samatta. Katika […]

The post KRC Genk imelazimishwa sare na Lokomotiva ugenini, Samatta akipachika goli appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Video ya goli la Mbwana Samatta alipoisaidia KRC Genk kuibuka na ushindi wa goli 4-1

1

March 13 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta alipata nafasi ya kuanza na kikosi cha Genk kwa mara ya kwanza na hili ndio goli lake la kwanza akicheza first eleven na la pili toka ajiunge na klabu hiyo. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]

The post Video ya goli la Mbwana Samatta alipoisaidia KRC Genk kuibuka na ushindi wa goli 4-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Samatta kaiongoza KRC Genk katika ushindi wa goli 4-1, video ya goli lake hii

sa

Kwa mara ya kwanza klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo inaongozwa na kocha lakini inachezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, imempa nafasi ya kuanza katika mchezo wa leo dhidi ya klabu ya KV Oastende. Samatta amepata nafasi hiyo ya kuanza mchezo wa leo March 13, ikiwa ni zaidi […]

The post Samatta kaiongoza KRC Genk katika ushindi wa goli 4-1, video ya goli lake hii appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

Pichaz 7 za mechi ya ushindi wa KRC Genk ya Samatta wa goli 6-1, huku Mbwana Samatta akicheza pia

6

February 13 Ligi Kuu Ubelgiji imeendelea kama kawaida, Ligi ambayo kwa sasa watanzania wanaifuatilia ili kumuangalia nahodhwa wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta akicheza Ligi hiyo, klabu ya KRC Genk inayochezewa na Mbwana Samatta ilicheza leo February 13 katika uwanja wake wa nyumbani dhidi ya Waasland Beveren. KRC Genk ambayo ilikuwa imeshuka nafasi […]

The post Pichaz 7 za mechi ya ushindi wa KRC Genk ya Samatta wa goli 6-1, huku Mbwana Samatta akicheza pia appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

KRC Genk ya Samatta imeibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya KV Oostende, hili ndio goli la Samatta (+Video)

sama2

Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania ambaye pia ni nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta kuzidi kufanya vizuri zinazidi kuongezeka kila kukicha ndani ya Ligi Kuu Ubelgiji akiichezea klabu ya KRC Genk. Samatta amerudi kwenye headlines baada ya kocha wa klabu ya KRC Genk kumpa nafasi ya kucheza mechi dhidi ya KV Oostende. KRC […]

The post KRC Genk ya Samatta imeibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya KV Oostende, hili ndio goli la Samatta (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Bongo5

Samatta aifungia timu yake KRC Genk katika ushindi wa goli 4-1

Samatta 3

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji March 13 alipata nafasi ya kuanza katika kikosi cha Genk.

Samatta 3

Alifanikiwa kufunga goli lake la kwanza akicheza katika kikosi cha first eleven na goli lake la pili toka ajiunge na klabu hiyo, Genk iliifunga Oostende kwa magoli 4-1 kwenye ligi ya Belgium Pro Leaue.

samatta-genk

Magoli ya KRC Genk yalifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 25, Balley dakika ya 39, Pozuelo dakika ya 81 na Camargo dakika ya 88, wakati...

 

2 years ago

MillardAyo

KRC Genk yalazimishwa sare nyumbani, Samatta akitokea benchi

gnkwbe-770x317

KRC Genk wakati wanasubiria kucheza mchezo wao wa mchujo wa mwisho ili kufuzu Europa League hatua ya Makundi, usiku wa August 13 ilicheza mchezo wake wa tatu wa Ligi Kuu Ubelgiji dhidi ya klabu ya Waasland Beveren katika uwanja wa Luminus Arena. Huu ulikuwa ni mchezo wa tatu kwa KRC Genk kucheza toka kuanza kwa Ligi […]

The post KRC Genk yalazimishwa sare nyumbani, Samatta akitokea benchi appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Bongo5

Video: Goli la kwanza la Samatta na Klabu yake ya KRC Genk dhidi ya Club Bruge

samatta-1

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana Feb 28 alifunga bao lake la kwanza katika klabu yake mpya, KRC Genk katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ubelgiji wakishinda 3-2 dhidi ya Club Bruge Uwanja wa Cristal Arena, Genk.

samatta-1

Screenshot_2016-02-28-18-40-48-1-1

Video ya goli la kwanza la Mbwana Ally Samatta katika klabu yake mpya, KRC Genk

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

1 year ago

MillardAyo

Mbwana Samatta kaipatia point tatu KRC Genk kwa kuifungia goli pekee

Mtanzania Mbwana Samatta anayeichezea timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, usiku wa January 21 2017 alirudi tena kwenye headlines baada ya kuisaidia timu yake ya KRC Genk, kutoka na point tatu ugenini katika uwanja wa Stadion am Kehrweg dhidi ya wenyeji wao AS Eupen. Mbwana Samatta ambaye alipata nafasi ya kucheza kwa dakika zote 90, […]

The post Mbwana Samatta kaipatia point tatu KRC Genk kwa kuifungia goli pekee appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la Samatta lililoiokoa KRC Genk na kipigo dhidi ya Standard Liege Dec 18 2016

screen-shot-2016-12-19-at-12-54-16-am

Jumapili ya December 18 2016 KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta iliwakaribisha Standard de Liege katika uwanja wao wa Luminus kucheza mchezo wao wa 18 wa Ligi Kuu Ubelgiji msimu wa 2016/2017. Genk wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani walianza kupata goli la uongozi dakika ya 3 kupitia Omar Colley kabla ya dakika ya 16 […]

The post VIDEO: Goli la Samatta lililoiokoa KRC Genk na kipigo dhidi ya Standard Liege Dec 18 2016 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani