KRC Genk ya Mbwana Samatta imepoteza nafasi ya Europa League

Usiku wa May 31 2017 Club ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilicheza game yake ya mwisho ya play off ya kuwania kushiriki michuano ya UEFA Europa League msimu wa 2017/18 dhidi ya KV Oostende. KRC Genk ambao msimu uliyoisha walifanikiwa kushiriki michuano ya Europa League na kufanikiwa kuingia hatua ya robo fainali […]

The post KRC Genk ya Mbwana Samatta imepoteza nafasi ya Europa League appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Ushindi wa KRC Genk ya Samatta uliyoipeleka round ya 3 Europa League

cork-krc-jpg_1470346451

Ni muendelezo wa good news kwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta kuwa sehemu ya kikosi cha KRC Genk kilichoisaidia timu kupata matokeo ugenini dhidi ya wenyeji wao Cork City. Katika mchezo huo wa pili wa round ya pili KRC Genk wamefanikiwa kuibuka […]

The post Ushindi wa KRC Genk ya Samatta uliyoipeleka round ya 3 Europa League appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Dakika 10 zilizobadili furaha ya KRC Genk ya Samatta Europa League

850x520-jpg_1473964793

Usiku wa Alhamisi ya Septemba 15 2016 ilikuwa siku ambayo macho ya watanzania wengi waliyaelekeza Australia kumuangalia nahodha wao wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta akiandika historia mpya katika maisha yake ya soka kwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi ya Europa League akiwa na KRC Genk. Samatta […]

The post Dakika 10 zilizobadili furaha ya KRC Genk ya Samatta Europa League appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Samatta kaisaidia KRC Genk kutinga round ya pili ya Europa League

bud-krcgenk-jpg_1469136432

Mtanzania Mbwana Samatta bado anaendelea kufanya vizuri na kuzidi kuaminiwa na kocha wake Peter Maes ambaye kwa sasa amekuwa akimpa nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza na kucheza dakika zote 90, usiku wa July 21 2016 Mbwana Samatta aliichezea KRC Genk mchezo wa pili wa Europa League dhidi ya Buducnost ya Montenegro. Genk imecheza mchezo […]

The post Samatta kaisaidia KRC Genk kutinga round ya pili ya Europa League appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Hatua ya 32 bora ya Europa League, KRC Genk yakina Samatta imepangwa …..

screen-shot-2016-12-12-at-4-06-14-pm-copy

December 12 2016 hatua ya 32 bora ya michuano ya UEFA Europa League droo yake ilichezeshwa na kuweza kufahamu timu ipi imepangwa kucheza na timu ipi. Droo imecheshwa na kwa upande wa wale ambao walikuwa wanataka kufahamu, timu ya KRC Genk inayochezewa na nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta itapangwa na timu gani, taarifa ikufikie kuwa […]

The post Hatua ya 32 bora ya Europa League, KRC Genk yakina Samatta imepangwa ….. appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Alichokisema Mbwana Samatta baada ya Genk kufuzu Europa League

Nahodha wa timu ya taifa anayekipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta ameingia katika historia nchhini kwa kuwa mchezaji wa kwanza nchini kupata nafasi kucheza Ligi ya Vilabu barani Ulaya (Europa League) baada ya hapo jana Genk kuibuka na ushindi wa goli 5-1 dhidi ya Sporting Charleroi.

Akizungumza katika kipindi cha Sports Xtra cha Clouds Fm, Samatta alisema limekuwa jambo la heshima kupata nafasi ya kupata nafasi hiyo ya kushiriki mashindano ya vilabu Ulaya na anaamini...

 

3 years ago

MillardAyo

Ushindi mwingine wa KRC Genk ya Samatta Europa League leo July 28 2016

krc-cork-jpg_1469732403

Usiku wa July 28 klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji inayochezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ilishuka tena dimbani kucheza mchezo wake wa kwanza wa round ya pili wa kuwania kucheza hatua ya makndi ya Kombe la UEFA Europa League dhidi ya Cork City ya Ireland. Mchezo wa […]

The post Ushindi mwingine wa KRC Genk ya Samatta Europa League leo July 28 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Usisahau kuwa KRC Genk inayochezewa na Samatta imecheza Europa League leo

Usiku wa February 16 2017 ilikuwa ni siku ya kihistoria tena kwa mtanzania Mbwana Samatta ambapo akiwa na KRC Genk alipata nafasi ya kucheza mchezo wa 32 bora wa Europa League ugenini dhidi ya FC Astra ya Romania hiyo ikiwa ni mara yake ya kwanza kucheza hatua hiyo. Katika mchezo huo uliyochezwa Romania, KRC Genk wakiwa […]

The post Usisahau kuwa KRC Genk inayochezewa na Samatta imecheza Europa League leo appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

SAMATTA KAZINI TENA LEO EUROPA LEAGUE na TIMU YAKE KRC Genk ya Ubelgiji

Kwa hisani ya Bin Zubeiry
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta leo anatarajiwa kuiongoza timu yake, KRC Genk ya Ubelgiji katika mchezo wa kwanza hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya kuingia kwenye makundi ya Europa League dhidi ya Lokomotiva Zagreb ya Croatia.Genk wamesafiri hadi Zagreb kwa mchezo wa kwanza leo, wakati marudiano yatakuwa Alhamisi ya Agosti 25 Uwanja wa Luminus Arena, Genk na mshindi wa jumla atafuzu hatua ya makundi moja kwa moja, ambako...

 

2 years ago

MillardAyo

KRC Genk ya Samatta imepoteza mchezo dhidi ya Zulte-Waregem

screen-shot-2016-12-22-at-12-35-46-am

Ligi Kuu soka Ubelgiji iliendelea usiku wa December 21 2016 kwa michezo kadhaa kuchezwa, timu ya KRC Genk inayochezewa na mtanzania Mbwana Samatta ilikuwa mgeni wa timu ya Zulte-Waregem katika uwanja wa Regenboog. KRC Genk ikiwa ugenini imekubali kupoteza mchezo kwa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na  Souahilo Meite dakika ya 26 ya mchezo, kwa […]

The post KRC Genk ya Samatta imepoteza mchezo dhidi ya Zulte-Waregem appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani