Kuchaguliwa kwa Trump: Urais wa Marekani sio biashara ya familia, asema Obama

Rais Barack Obama na Rais Mteule Donald Trump walipokutana katika ikulu ya White House mara baada ya uchaguzi nchini Marekani.

RAIS wa Marekani Barack Obama amesema alimshauri mrithi wake Donald Trump kutojaribu kuiendesha ikulu ya nchi hiyo “jinsi ambavyo mtu anaweza kuisimamia biashara ya familia.”

Katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, Barack Obama alisema kwamba Trump lazima “aheshimu” taasisi za Marekani.

“Baada ya kuapishwa,” alisema, “unasimamia taasisi kubwa zaidi...

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Obama asema Trump hawezi kuwa rais Marekani

Barack Obama

Rais Barack Obama.

Rais Barack Obama amesema kuwa anaamini mgombea urais nchini humo kupitia Chama cha Republican, Donald Trump hatakuwa rais wa Marekani.
Amesema kazi hiyo ni “kazi kubwa”.

“Ninaendelea kuamini kwamba Bw. Trump hatakuwa rais. Na sababu ni kwamba nina imani sana na Wamarekani,” amesema Bw. Obama.

Watu hawatampigia kura, alisema Bw Obama, kwa sababu “wanajua kuwa rais ni kazi kubwa”.
“(Kazi hii ) Si kama kuzungumza katika kipindi cha runinga, si matangazo au mauzo ya bidhaa,...

 

2 years ago

Global Publishers

Obama: Kama Trump Atashinda Urais, Nitaihama Marekani

Barack ObamaRais Barack Obama

Marekani

Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa iwapo mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump atashinda katika uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo yeye ataondoka Marekani.

Barack Obama Rais wa Marekani ameliambia Gazeti la World News Politics kwamba, kama Trump atashinda uchaguzo ujao wa rais, yeye na familia yake wataondoka Marekani bila ya mapema.

donald-trump-wants-to-wage-economic-war-on-mexico-to-get-them-to-pay-for-a-border-wallMgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump

Obama amesema kuwa amejadiliana na mke na watoto wake...

 

2 years ago

Bongo5

Kaka yake Obama kuwa mgeni wa Trump kwenye mdahalo wa tatu wa Urais Marekani

Kaka yake Rais Baraka Obama, mzaliwa wa Kenya, Malik atakuwepo kwenye mdahalo wa tatu na wa mwisho wa Urais wa Jumatano hii kati ya Donald Trump na Hillary Clinton.

malik-obama-barack-obama-ha

Malik — raia wa Marekani anayeishi Washington, DC, anapokuwa nje ya Kenya, amesema atakuwa mgeni wa Trump, mgombea wa chama cha Republican anayemuunga mkono.

“Nina hamu kubwa kuwepo kwenye mdahalo. Trump anaweza kuifanya Marekani bora tena,” Malik aliliambia gazeti la New York Post.

“Ninatazamia kuonana na Malik,” alisema Trump...

 

1 year ago

Malunde

TRUMP ATAKA OBAMA ACHUNGUZWE KWA KUTUMIA MAMLAKA YA URAIS VIBAYA


Rais wa Marekani Donald Trump ametaka bunge la Congress kuchunguza ikiwa Barack Obama alitumia vibaya mamlaka yake wakati wa kampeni ya uchaguzi siku moja baada ya kudai kuwa Obama alikuwa akidukua simu zake.
Msemaji wa Trump alisema kwa uchunguzi kuhusu kuingia kwa Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani utasaidia uchunguzi huo.
Trump alitoa madai hayo kwenye mtandao wa tittwer lakini hakutoa ushahidi wowote.
Aliyekuwa mkuu wa ujasusi nchini Marekani James Clapper, wakati wa kampeni alikana kuwa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Trump kuwacha biashara yake kwa sababu ya urais

Rais mteule wa Marekani Donald Trump, ametangaza kuwa atatenganisha maslahi yake ya kibiashara kabisa na majukumu yake kama rais wa Marekani

 

5 months ago

VOASwahili

Trump asema yeye sio mbaguzi

Rais Donald Trump amesema yeye sio mbaguzi Jumapili, siku tatu baada ya kuripotiwa kuwa amesema wahamiaji kutoka Haiti, El Salvador na Afrika wanatokea katika nchi alizozifananisha na choo.

 

2 years ago

Mwananchi

Urais wa Trump Marekani na athari zake kwa uchumi wa Afrika

Mgombea wa urais nchini Marekani kupitia Chama cha Republican, Donald Trump alishinda kinyang’anyiro hicho dhidi ya mgombea wa Chama cha Democratic, Hillary Clinton na kuhitimisha mchakato wa kumpata mkuu wa taifa hilo kubwa kiuchumi duniani.

 

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli ampongeza Donald Trump kwa kushinda urais Marekani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, amemuandikia ujumbe wa kumpongeza Rais mpya wa Marekani Donald Trump baada ya kushinda na kuwa rais mpya wa nchi hiyo.

magufuli

Rais Magufuli amemuandikia ujumbe huo katika mtandao wa Twitter kutoa hongera zake kwa kiongozi huyo aliyekuwa akishindana na Hillary Clinton wa chama cha Republican.

Donald ameshinda majimbo ya uchaguzi 276, huku Clinton akishinda 218.

BY: EMMY MWAIPOPO

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi...

 

2 years ago

Raia Mwema

Wababe wanavyozungumzia kuchaguliwa kwa Trump

WAKATI Rais-mteule wa Marekani, Donald Trump, anaandaa timu ya watumishi itakayoingia katika Ikulu ya nchi hiyo mwezi Januari mwakani, vigogo katika maeneo mbalimbali duniani wanajiandaa kwa mabadiliko yao binafsi, hasa kuhusu uhusiano na rais ajaye wa Marekani.

Ni akina nani ambao wako tayari kufanya kazi na Trump? Ni viongozi wale ambao kwa sehemu kubwa ni wababe. Shirika la Habari la Marekani la ABC linatazama matamshi ya hivi karibuni ya viongozi hao, kuanzia kwa Rais wa Syria...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani