Kuelekea mechi Simba Vs Yanga, TFF watafunga sehemu ya barabara hii Feb 20

Tanzania_Football_Federation

February 20 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam klabu kongwe na zenye upinzani Tanzania Simba na Yanga zitashuka dimbani kupambana katika mchezo wao wa marudiano wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania bara, hivyo presha na idadi kubwa ya watu inategemewa kujaa uwanja wa Taifa. Kufuatia mchezo huo kuwa na utamaduni wa kujaza idadi […]

The post Kuelekea mechi Simba Vs Yanga, TFF watafunga sehemu ya barabara hii Feb 20 appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

DSC_0003

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya […]

The post Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Kuelekea mchezo wa Simba Vs Yanga Feb 20, hivi ni vibonzo 9 ambavyo hutumiwa na mashabiki kutaniana (+Pichaz)

ka - kobe 657 jmosi

Mtu wangu wa nguvu kwa wapenzi wa soka la Bongo kwa sasa ni kuhusu mchezo kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya February 20 katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, mchezo ambao unazikutanisha timu zote zenye nafasi ya kutwa Ubimgwa wa Ligi Kuu, huu ni mchezo wa marudiano na kisasi kwa Simba, […]

The post Kuelekea mchezo wa Simba Vs Yanga Feb 20, hivi ni vibonzo 9 ambavyo hutumiwa na mashabiki kutaniana (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Ushindi wa Simba dhidi ya Mgambo JKT umeisaidia kuisogelea Yanga kileleni, Matokeo ya mechi za VPL Feb 3

DSC_0602

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena leo February 3 kwa michezo mitatu kupigwa katika viwanja tofauti tofauti Tanzania, klabu ya Dar Es Salaam Young Africans ilikuwa mgeni wa klabu ya Tanzania Prisons uwanja wa Sokoine Mbeya, wakati watani zao wa jadi Simba walikuwa wenyeji wa Mgambo JKT uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Simba […]

The post Ushindi wa Simba dhidi ya Mgambo JKT umeisaidia kuisogelea Yanga kileleni, Matokeo ya mechi za VPL Feb 3 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kuelekea mechi ya Simba vs Yanga, mashabiki wataja matukio wanayoyakumbuka

yanga-v-simba

October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam mashabiki wa soka wa Afrika Mashariki hususani Tanzania watapata nafasi ya kuangalia mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga, huu huwa ni mchezo wenye historia kubwa katika soka la Tanzania, AyoTV imeamua kupita mtaania na kuwauliza mashabiki wa timu hizo ni mechi […]

The post VIDEO: Kuelekea mechi ya Simba vs Yanga, mashabiki wataja matukio wanayoyakumbuka appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

MillardAyo

Maamuzi ya kwanza ya TFF kwa marefa waliochezesha mechi ya Yanga na Simba

6b54sanya-320x210

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo December 7 2016 limetoa taarifa kuhusu wale marefa Martin Saanya na Samwel Mpenzu waliochezesha mchezo wa 49 wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kati ya Yanga na Simba uwanja wa Taifa Dar es Salaam na mchezo kumalizika kwa sare ya goli 1-1. Maamuzi yaliofanywa katika kikao cha uendeshaji wa […]

The post Maamuzi ya kwanza ya TFF kwa marefa waliochezesha mechi ya Yanga na Simba appeared first on millardayo.com.

 

5 years ago

Michuzi

BONIFACE WAMBURA WA TFF AONGELEA MAANDALZI YA MECHI YA WATANI WA JADI YANGA NA SIMBA

Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000. Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni wale watakaokaa viti vya rangi ya bluu na kijani ambavyo jumla yake ni 36,693 katika uwanja huo wenye viti 57,558. Viingilio vingine ni sh. 10,000 kwa viti vya rangi ya chungwa, sh. 20,000 kwa VIP B na C wakati VIP A itakuwa sh. 30,000. Tiketi zitakazotumika kwenye mechi hiyo...

 

3 years ago

Channelten

Mechi kubwa ya Kihistoria kufanyika Jumamosi hii ni Kati ya Simba na Yanga veterani

Screen Shot 2016-07-28 at 5.40.20 PM

Wadauwa Mchezo wa mpira wa miguu Nchini  wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Michezo chenye historia ya Timu za Simba naYanga kwenye uwanja wa Uhuru  jijini Dar es salam . ambapo kwenye bonanza hilo kutakuepo na mechi mbalimbali . maveterani wa Simba watakutana na watani wao wa jadi Yanga . huku Timu ya wabunge ikitaraji kukipiga na timu ya Mabalozi wa Nchi mbalimbali Nchini Tanzania.

Akitoawito huo jijini Dar es salaam Balozi wa Algeria. Saad Bal Abeed....

 

2 years ago

Mwanaspoti

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU TFF 2017: Simba yashikilia Umakamu TFF

MWANASPOTI inaendelea kukupa habari za kina kuelekea uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utakaofanyika Agosti 12 mjini Dodoma. Katika uchaguzi huo nafasi zinazowaniwa ni Rais, Makamu Rais na Ujumbe.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani