KUELEKEA MTIHANI WA TAIFA MEI 2018 WANAFUNZI 1003 KIDATO CHA SITA SIMIYU WAPIGA KAMBI YA KITAALUMA

Na Stella Kalinga, Simiyu

Takribani wanafunzi 1003 wa Kidato cha sita kutoka shule za Sekondri 11 zenye kidato cha tano na sita Mkoani Simiyu, wamepiga kambi katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Maswa na Shule ya Sekondari Binza, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mtihani wa Taifa ambao unatarajia kufanyika mapema mwezi Mei mwaka huu.

Akifungua kambi hiyo Aprili 03 katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Maswa wilayani Maswa, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amesema ili mkoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

WADAU WATOA MSAADA WA FEDHA, CHAKULA KUWEZESHA KAMBI YA KITAALUMA KWA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA SIMIYU

Baadhi ya wanafunzi wasichana wa Kidato cha Sita kutoka shule 11 mkoani Simiyu wakifurahia jambo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe Anthony Mtaka na Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Mhe.Dkt.Seif Shekalaghe(mwenye miwani) mara baada ya kukabidhiwa msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali.
Na Stella Kalinga, Simiyu
Wadau mbalimbali wa maendeleo wa Mkoa wa Simiyu wametoa shilingi Milioni 10 na Kilo 1200 za mchele , mafuta ya kula, sabuni, sukari na mahitaji mengine kwa ajili ya kuwezesha wanafunzi wa kidato...

 

2 years ago

Malunde

WANAFUNZI 10 WAFUTIWA MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2017Wakati matokeo ya mtihani wa kidato cha sita yakitolewa leo, Jumamosi Julai 15, imebainika kuwa watahiniwa 10 walifutiwa matokeo kwa makosa ya kufanya udanganyifu.


Taarifa iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk Charles Msonde imeeleza kuwa kati ya watahiniwa hao kumi, saba ni wa shule na watatu ni wa kujitegemea.

Pamoja na hao kumi, matokeo ya watahiniwa wengine 15 yalizuiliwa kwa kuwa hawakufanya mitihani ya baadhi ya masomo.

Watahiniwa hao walishindwa...

 

1 year ago

Malunde

NECTA YATANGAZA TAREHE YA KUFANYA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2018..HII HAPA RATIBA

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema mitihani ya kuhitimu kidato cha sita itaanza Mei 7 hadi 24, 2018.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Necta Januari 26, 2018 inaonyesha somo la kwanza litakuwa ni masomo ya jumla ‘General Studies’ na somo la mwisho litakalofanyika Mei 24 litakuwa ni Baiolojia 3C (kwa vitendo).

Msemaji wa Necta, John Nchimbi amesema “lengo la kutoa ratiba ni kuwafanya wanafunzi na walimu wao kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao.”

“Ratiba inawasaidia wao kuweza kufanya...

 

2 years ago

Channelten

Wanafunzi walioungana Iringa wamefanya Mtihani wao wa mwisho na kuhitimu rasmi kidato cha sita

WALIOUNGANA

WANAFUNZI walioungana kiwiliwili Maria na Consolata wanaosoma katika shule ya sekondari ya Udzungwa iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wamehitimu rasmi elimu ya sekondari jana baada ya kufanikiwa kufanya mtihani wao wa mwisho wa kidato cha sita na kuipongeza serikali ya awamu ya 5 inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa utekelezaji wa elimu bure kwa wote.

Maria na Consolata wakiwa na nyuso za furaha ni moja ya wanafunzi wengi nchini ambao wamefanya mtihani...

 

10 months ago

Malunde

TAARIFA KUHUSU UTEUZI WA WANAFUNZI WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2018 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT 2018.Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limefanya uteuzi wa wanafunzi waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kutoka shule zote za Tanzania Bara kwa mwaka 2018, kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.

Sanjari na uteuzi huo, JKT limewapangia Makambi ya JKT watakayokwenda kupatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01-10 June 2018.
Wahitimu hao, wamepangiwa katika Kambi za JKT Rwamkoma – Mara, JKT Msange – Tabora, JKT Ruvu – Pwani, JKT...

 

1 year ago

Malunde

WANAFUNZI 19,242 WACHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2018 SIMIYU


Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Ndg. Jumanne Sagini akifungua kikao cha kutangaza matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kujiunga Kidato cha Kwanza mwaka 2018 Mkoani humo, kilichofanyika leo Mjini Bariadi.Afisa Elimu Mkoa, Mwl. Julius Nestory akiwasilisha taarifa ya hali ya ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba kwa mwaka 2017, katika kikao cha kutangaza matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kujiunga Kidato cha Kwanza mwaka 2018 Mkoani Simiyu, kilichofanyika leo Mjini Bariadi.Mkuu wa Wiayaya...

 

5 years ago

Michuzi

UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2014.

AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA...

 

10 months ago

Malunde

Taarifa Rasmi : HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT MUJIBU WA SHERIA 2018
 TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limefanya uteuzi wa wanafunzi waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kutoka shule zote za Tanzania Bara kwa mwaka 2018, kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.

Sanjari na uteuzi huo, JKT limewapangia Makambi ya JKT watakayokwenda kupatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01-10 June 2018.
Wahitimu hao, wamepangiwa katika Kambi za JKT Rwamkoma – Mara, JKT Msange – Tabora, JKT Ruvu –...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani