KUHUSU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI KISHA KUJEUHI NA KUUA

Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea ajali ya basi la abiria/daladala (T 435 DGG) kutoka Gongo la Mboto kwenda Mnazi Mmoja kuigonga treni ya Pugu leo Aprili 19, 2017 saa 11 alfajiri katika makutano ya reli na barabara ya Nkurumah jijini Dar es Salaam.
Majeruhi wa ajali ni 23 , wanane wapo hospitali ya Amana na waliobakia 15 wapo Hospitali ya Taifa Muhimbili MOI watatu kati yao ni mahututi. Taarifa zaidi itatolewa kuhusu ajali hiyo.
Hata hivyo treni ya Pugu inaendelea na huduma zake kwa kufuata ratiba.
Imetolewa na Afisi ya Uhusiano kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL
Nd. Focus Sahani,Dar es Salaam,Aprili 19, 2017.

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

GPL

MAAJABU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI

Stori: Dustan Shekidele NImaajabu ya Mungu! Nyuma ya tukio la ajali ya basi kugona treni iliyotokea hivi karibuni, yamebainika maajabu ya aina yake baada ya mtoto Alhaji Mdoe aliyekuwa amepakatwa na mama yake kukutwa akiwa hai wakati mama yake akiwa amefariki dunia. Soma zaid hapa====>http://bit.ly/1LMsk2c

 

2 years ago

Vijimambo

AJALI YATOKEA MKOANI TABORA BAADA YA BASI KUGONGA TRENI

 Ajali imetokea barabara ya kwenda Urambo eneo la Mororo,Tabora ikihusisha treni na basi la abiria. Inasemekana kuna watu wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio baada ya gari la abiria kugongana na treni la mizigo, watu waliofariki bado hajafahamika idadi yao kamili waliotambuliwa ni wawili mmoja ni Samweli mkazi wa kata ya Ufuruma wilayani Uyui na Mwingine ni Issa.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

 

3 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA SUPER ALJABIR KUGONGA TRENI IFAKARA, MAJINA YA MAREHEMU YATAJWA


Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Leonard L. Paulo-SACP akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo.…

 

4 years ago

GPL

BASI LA MTEI LATEKETEZWA KWA MOTO BAADA YA KUGONGA NA KUUA SINGIDA

Mojawapo ya basi la Mtei sio lililopata ajali. Habari ambazo mtandao huu umezipata kutoka Singida sasa hivi zinasema Basi la abiria la Matei linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Dar  limechomwa moto na kuteketea kabisa na watu wenye hasira kali baada ya kugonda bodaboda ambayo ilikuwa imepakia ‘mshikaki’ wa watu watatu ambao walikufa papohapo eneo la tukio. Hakuna abiria wa basi aliyeumia.  Mwandishi wetu aliye...

 

1 month ago

Mwananchi

Watu wawili wafariki ajali ya daladala kugonga treni

Watu wawili wamekufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika  ajali iliyotokea leo asubuhi ikihusisha gari ya abiria aina ya coaster kukigonga kichwa cha treni maeneo ya Yombo Devis Kona.

 

2 years ago

Vijimambo

AJALI YA ROLI KUGONGA TRENI ENEO LA KARUME JIJINI DAR LEO ASUBUHI


Injini ya treni almaarufu kama kichwa cha treni kikiwa nje ya njia yake (reli), jirani na machinga complex, barabara ya Kawawa jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Machi 27, 2015, baada ya kulibamiza lori lililokuwa na shehena ya ngano mali ya kampuni ya Nyati. Dhahma hiyo ilitokea mapema asubuhi, lakini hadi inafika saa nane mchana, bado shughuli ya kukirejesha kichwa hicho kwenye nia yake ilikuwa pevu ambapo muda wote huo barabara ya Kawawa kutoka machinga compelex hadi kwenye mataa ya...

 

3 years ago

GPL

BASI LAGONGA TRENI NA KUUA IFAKARA

Basi la Super Aljabir baada ya ajali. Basi hilo likiwa limepinduka.…

 

3 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:Watu wawili wanaidaiwa kufariki kufuatia ajali ya Basi la Super Feo kuacha njia na kugonga mti

Watu wawili Wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya iliyotokea leo  katika  eneo la  Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma,ikilihusisha basi la Super Feo linalofanya safari zake kati ya Songea - Makambako lililoacha njia na kugonga mti. Aidha inaelezewa kuwa chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni mwendo kasi. Sehemu ya basi hilo la Super Feo lionekanavyo pichani likiwa limepondeka pondeka baada ya kuacha njia na kugonga mti
Baadhi ya...

 

3 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani