KUHUSU TAARIFA ZA KIFO CHA SHABIKI MAARUFU WA TIMU YA YANGA 'ALLY YANGA'Shabiki maarufu wa timu ya Yanga Ally Mohamed almaarufu kwa jina la Ally Yanga.amefariki Dunia mapema leo katika ajali ya gari eneo la kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. 

Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa amethibitisha kifo cha aliyekuwa shabiki maarufu wa klabu ya soka ya Yanga Ally Yanga kilichotokea leo katika ajali ya gari aina ya Rav4 eneo la Chipogolo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.
Ally Yanga ambaye pia ni mkereketwa wa Mwenge wa Uhuru alikutwa na mauti...

Malunde

Read more


Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani