Kujiuzulu kwa Rais Ravia kwaishangaza ZFA

Chama cha mpira Miguu Zanzibar (ZFA) kimesema kimeshtushwa na kitendo cha Raisi wa chama cha mpira wa miguu Zanzibar kujiuzulu bila ya kutaja sababu ya msingi kwenye barua yake aliyoituma kwenda ZFA.

Akizugumza na Zanzibar24 Katibu Mkuu wa chama hicho Muhamed Ali Hilali amesema  licha ya Raisi Ravia kuleta barua hiyo bila ya sababu ya msingi inafanya ZFA kupigwa na mshangao .

Aidha ameeleza wao kama ZFA wameipokea barua hiyo ingawa imeiweka tasisi hiyo katika kipindi kigumu, hata hivyo...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Zanzibar 24

Miaka 6 ya Uongozi wa Rais Ravia ndani ya ZFA

Hali sio shwari katika visiwa vya Zanzibar kwenye upande wa Soka baada ya vigogo wakubwa waliopewa dhamana ya kuingoza ZFA kujiuzulu wenyewe kwa kuwa wameshindwa kuendesha mpira wa Zanzibar kwa utaalamu na ukweli.

Kwa muda mrefu sana wamekuwa  wakionyesheana vidole wadau wa soka na viongozi wa Chama cha Mpira miguu Zanzibar ( ZFA)  kwa kushindwa kuwa waaminifu katika kuliendeleza Soka la Visiwani.

Leo tumefika hapa tulipofika kwa utashi wetu na malumbano yetu tunakuwa wamoja kwa muda mfupi...

 

3 years ago

Bongo5

Rais wa (CAF), Issa Hayatou ampongeza Ravia Idarous kuchaguliwa kuwa Rais wa Soka Zanzibar (ZFA)

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF), Issa Hayatou amemtumia salamu za pongezi Ravia Idarous Faina kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) mwishoni mwa juma lililomalizika.

hayatou

Katika salamu zake, Hayatou amesema kwa niaba ya CAF, Kamati ya Utendaji na yeye binafsi wanampongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA).

CAF wanaimani na uzoefu wa Ravia katika uongozi, kuwa ataendeleza uongozi bora kwa faida ya maendeleo ya soka...

 

1 year ago

Channelten

Baada ya rais Mugabe Kujiuzulu, Aliyekuwa makamu wa Rais kuapishwa kuchukua nafasi hiyo kwa muda

SAFRICA-ZIMBABWE-DIPLOMACY-POLITICS

Shirka la utangaaji la Zimbabwe ZBC limetangaza kuwa Makamu wa zamani wa rais wa Zimbabwe, ambaye kufutwa kwake kazi kulishababisha kujiuzulu kwa kiongozi wa muda mrefu Robert Mugabe, anatarajiwa kuapishwa kesho kushika nafasi ya uongozi kwa kipindi cha mpito

Emmerson Mnangagwa, aliyetorokea nchini Afrika Kusini wiki mbili zilizopita, anawasili leo nchini Zimbabwe kwa ajili ya kushika hatamu ya uongozi kwa muda.

Kuondoshwa kwake madarakani kulisababisha chama na jeshi kwa pamoja kuingilia...

 

4 years ago

Bongo5

Fahamu kwa undani sakata la kujiuzulu kwa rais wa Guatemala

Masaa machache baada ya rais wa Guatemala, Otto Perez Molina kujiuzalu, alitupwa jela kusubiri kesi yake ya upotevu wa fedha nyingi ambazo zimetikisha nchi hiyo kiuchumi na kanda nzima. Maamuzi hayo yalifikiwa baada ya maandamano ambayo yamekuwa yakifanywa toke mwezi wa nne wakimtaka aondoke madarakani na kushtakiwa kwa makosa ya rushwa kubwa. Kitu hicho ambacho […]

 

2 years ago

VOASwahili

Rais wa Korea Kusini akubali kujiuzulu lakini kwa masharti

Rais wa Korea Kusini, Park Geun-hye, amesema kuwa yuko tayari kuondoka madarakani iwapo bunge litapitisha kuwa afenye hivyo. Lakini rais huyo amesema atafanya hivyo kwa masharti fulani. Akihutubia taifa kupitia televisheni siku ya Jumanne, Geun-hye alisema kuwa atasitisha mipango yake ya awali iwapo bunge litamtaka kufanya hivyo. Lakini punde tu baada ya hotuba hiyo, baadhi ya viongozi wa upinzani walielezea shaka yao kuhusiana na hatua ya rais huyo. Wengine walishuku kuwa alichukua...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Rais Mugabe apewa masaa machache kujiuzulu kwa hiyari

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amepewa masaakadhaa na Chama cha Zanu- PF  kujiuzulu mwenyewe kwenye nafasi ya Urais wa nchi hiyo bila kutumia nguvu.

Chama tawala nchini humo leo baada ya kutangaza kuwa kimemvua uongozi Rais huyo mkongwe zaidi barani Afrika, Robert Mugabe, kimemwambia hadi kesho saa 6 mchana awe tayari ametangaza kujiuzulu nafasi ya Urais huku kikimuonya kuwa endapo atakaidi nguvu ya ziada itatumika kumng’oa madarakani.

“Rais wetu wa zamani, Robert Mugabe amepewa muda hadi...

 

1 year ago

Malunde

WAZIRI MKUU AANDIKA BARUA YA KUJIUZULU KWENDA KWA RAIS


Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico ameandika barua ya kujiuzulu kwenda kwa Rais wa nchi hiyo, baada ya mauaji ya mwandishi wa habari Jan Kuciak na mpenzi wake Martin Kusnirova.


Rais wa taifa hilo, Andrej Kiska amekubaliana na uamuzi huo wa Waziri Mkuu na kumuagiza Naibu Waziri Mkuu Peter Pellegrin kuunda Serikali mpya.
Kwa takribani wiki mbili wananchi wamekuwa wakiandamana kupinga mauaji ya mwanahabari huyo aliyebobea katika kuandika habari za kiuchunguzi.
Bwana Robert Fico amehudumu katika...

 

4 years ago

Michuzi

Kujiuzulu kwa Makamu Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Kufuatia Uteuzi Mpya..


Ndugu Zangu Wana-DMV, Napenda kuchukua fursa hii kuwafahamisha kwamba tarehe 14/9/2015, niliteuliwa rasmi kuwa makamu mwenyekiti wa African Affairs Advisory Group (AAAG) iliyopo chini ya serikali ya kata ya Montgomery, Maryland (Montgomery County). Nafasi hii inausika na nyanja zote za maswala ya wahamiaji toka barani Afrika hususani; elimu,uchumi,uhamiaji, afya, tamaduni, bajeti,sera na miswada itakayoboresha huduma za jamii kwa Waafrika. Kutokana na majukumu haya, nimejiuzulu katika nafasi...

 

3 years ago

Bongo5

Ofisi ya makamu wa Rais yapinga taarifa za kujiuzulu kwa Mama Samia Suluhu

Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni ambazo zinazodai kuwa makamu huyo wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameomba kujiuzulu nafasi yake hiyo.

Samia

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi hiyo, habari hizo zilizoenezwa mitandaoni ni za uzushi na uongo kwa kuwa zinalenga kuleta uchochezi na kuliweka taifa kwenye taharuki.

Taarifa ya ofisi hiyo imeendelea kwa kuwataka wananchi wote kwa ujumla kupuuza taarifa hiyo ambayo inalenga...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani